"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

kama kweli alikuwa namenga mke wa mtu basi ndio faida yake hiyo na alale kwake
 
Kama wanaochukuwa wake za watu wanakula shaba ya shingo basi mwigulu nchemba nae akayechonjo kumfuta baro liberatus!!!!!!!
 
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

Wanaojaribu kuleta habari tata za kwamba alikuwa na mwanamke, au nini ni wale wa CCM na vibaraka wake kwa kuficha kile kilicho ukweli.

Kamanda hawezi kuwa peke yake lazima alikuwa na ulinzi kisheria, na hivyo walinzi wake wameshawekwa sawa na magamba na pia huenda ndio walioshirikishwa katika kutimiza azima hiyo.

Kinachofanyika hapa ni kupotosha umma ili kuficha ukweli wa tukio.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Polisi jamii walimfananisha RPC na jambazi,walitega mtego naye akatokea muda huohuo na alikuwa anatumia gari la aina ile ile ambayo intelijensia ya polisi ilikuwa na habari nalo.
 
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

Mbona sijaona habari za mume wa huyu teacher? alikuwepo wakati Kamanda anarudisha mzigo?
 
kikubwa tuelewe mke wa mtu ni sumu narudia tena mke wa mtu ni sumu tuchukueni hatua
 
Roho ya Kamanda iende mahali pema..!!

Mh! If what has been said is true R.I.P????????? WHERE Aristides Pastory???????? .
May God help all of us to live a dignity life. Death is just around the corner, it is a blink of an eye u are gone, the worst thing without repentance.
Queen Esther
 
Mbona sijaona habari za mume wa huyu teacher? alikuwepo wakati Kamanda anarudisha mzigo?
Habari nilizosikia ni kwamba huyu mama alikuwa mjane.., sasa sijui hizo habari za mume @Baijabolobi amezitoa wapi nadhani ni vema akarekebisha Dish lake ili aweke habari hii vizuri
 
jamani maishagani tunaishi kama movie za kiindi maana police ndo maadui au raia ndo maadui
 
Asante Bolobi.

Usizime dish lako naona linaweza kutusaidia kuujua ukweli haraka zaidi.

Vipi Kikwete atahudhuria mazishi?
 
bado,kamuhanda,kova,mwema,shilogire...muda unaongea

Kova kichwa yule...wala siyo fal.a fa.la kama watu wanavyomchukulia.
Anafanya hayo anayoyafanya kwasababu anajua Dar ni makunguru zaidi ya warukao, na ni waimbaji kuliko wale wa taarabu na wana majigambo na mitazamo ya kibongo flava.
The same Kova ukimpeleka mikoa tata hujikita zaidi upande wa wananchi. Hivyo vile kovya anavyoonekana ni matokeo ya aina ya watu waliomzunguka.
 
Kweli JF ni zaidi ya M1, FBI, CIA na hata MOSAD. Nilikuwa sijui JF kuna dish ya intelijensi.
 
tunasikitika kwa kila roho inayopotea kwa ukatiri, tunaposema haki za msingi za raia,haiondoi maaskari wetu, poleni sana
 
Naumia kwa kifo cha kamanda huyu..ila kifo cha kufa unakimbilia wake za watu ni cha kipuuzi, na makaburi ya watu wengi ikiwamo na mimi yataandikwa amekufa kifo cha kijinga,na mwisho tutasubiri hukumu ya MUNGU.Mungu tusaidie.
 
Back
Top Bottom