"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

hii ya kwako inaweza kuwa ya kweli lakini kuna mambo mawili yanatatanisha kwanza kikao walichotoka ni kile cha harusi kinachosemwa au kikao cha hao wawili ? Na pili ni kweli hao ni polisi jamii au waliamua kujitambulisha hivyo kwa bwana mkubwa ?
 
wasingemuua mwanamke kwani bado anahitajika,bado nafikiri upeo wa kamanda kuto gundua mapema climate change since walipoanza kumsimamisha.an old dog always have old techniques!
 
Tatizo ni kwamba huyo mama anaisaidia polisi ambayo mwisho wa siku itaficha ukweli na kusema yale yawapendezayo. Ila hiyo ndio picha halisi ya maadili ya viongozi wetu.

ukweli uwekwe mezani watu wafahamu ila am very sorry cuz sina uhakika kama jeshi letu la polisi litafanya hivyo kwasababu mazingira ya mauaji yenyewe yamegubikwa na utata mkubwa,sasa ili kutokujivua nguo mchana kweupe kama kawaida yao usanii lazima ufanyike(mambo ya flying object),kwa uelewa wangu mdogo naona mauaji hayo yametoka na visasi,na kama kweli kamanda alikua anatembea na mke halali wa mtu,na mwenye mali alishajua we unadhani jamaa angeweza kuvumilia adi lini?mke anauma jamani,wengine wanawakatalii jamaa zao kwa kutembea na mahawara wao tu sembuse uyu mke?any way ngoja nigeukie upande wa pili,hao wajambazi wamechukua nini?walijuaje kamanda atakuwepo eneo hilo mda huo?walikua wanahitaji nini kutoka kwake?otherwise inavyoonekana hapo ni matumizi mabaya ya madaraka kuchukua mali za wanyonge though the case doesnt justify the kind of punishment awarded to him.ni maoni yangu jamani and i stand to be corrected.
 
wasingemuua mwanamke kwani bado anahitajika,bado nafikiri upeo wa kamanda kuto gundua mapema climate change since walipoanza kumsimamisha.an old dog always have old techniques!

"an old dog always have old techniques"i like it
 
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

Polisi Jamii wanakuwa na bunduki?
 
Haiingii akilini kuwa aliuawa na majambazi! KWani baada ya kuua, wamechukua nini?
 
ukweli uwekwe mezani watu wafahamu ila am very sorry cuz sina uhakika kama jeshi letu la polisi litafanya hivyo kwasababu mazingira ya mauaji yenyewe yamegubikwa na utata mkubwa,sasa ili kutokujivua nguo mchana kweupe kama kawaida yao usanii lazima ufanyike(mambo ya flying object),kwa uelewa wangu mdogo naona mauaji hayo yametoka na visasi,na kama kweli kamanda alikua anatembea na mke halali wa mtu,na mwenye mali alishajua we unadhani jamaa angeweza kuvumilia adi lini?mke anauma jamani,wengine wanawakatalii jamaa zao kwa kutembea na mahawara wao tu sembuse uyu mke?any way ngoja nigeukie upande wa pili,hao wajambazi wamechukua nini?walijuaje kamanda atakuwepo eneo hilo mda huo?walikua wanahitaji nini kutoka kwake?otherwise inavyoonekana hapo ni matumizi mabaya ya madaraka kuchukua mali za wanyonge though the case doesnt justify the kind of punishment awarded to him.ni maoni yangu jamani and i stand to be corrected.
kwenye green,haijawah kutokea na haitatokea,,,tume ya dr ULI iko wapi,,,kesi ngapi polisi wanazipotezea?????
Kwenye Papo hapo,,,usaniii na ukosefu wa vifaa ni kikwazo hicho,,,,,,

mkumbuke pia polisi mwanza wanalaumiwa kwa kuzembea kupigwa kwa wabunge.........mnadhan hilo LIMEISHA?????
 
Ukitaka kula cha mwenzio....sharti na chako kiliwe the the the damu ya ndugu yetu daudi hiyo inaanza kufanya kazi
 
Wanaojaribu kuleta habari tata za kwamba alikuwa na mwanamke, au nini ni wale wa CCM na vibaraka wake kwa kuficha kile kilicho ukweli.

Kamanda hawezi kuwa peke yake lazima alikuwa na ulinzi kisheria, na hivyo walinzi wake wameshawekwa sawa na magamba na pia huenda ndio walioshirikishwa katika kutimiza azima hiyo.

Kinachofanyika hapa ni kupotosha umma ili kuficha ukweli wa tukio.

So sad Candide Scope waTz rahisi kweli kupelekwa na upepo bila kuangalia mambo kwa macho ya ndani...Kamanda wa polisi kuuawa na majambazi ama hata polisi jamii ngumu kumeza! Majambazi nao wanaakli zao timamu usiseme polisi jamii ambao hata training ya military hawana...Duuh kweli waTZ wanatia huruma jamani!
 
Nchimbi ajiuzulu haraka sana kama rpc anaweza uliwa na sungusungu hatuna jeshi la polisi kabisa na kama lipo halijui kwa nini lipo
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.

Nimeipenda hii kamanda sihitaji tena uchunguzi now i know the truth
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

Nimeipenda hii kamanda sihitaji tena uchunguzi now i know the truth
 
Nchi hii imekuwa ya hatari kuliko hata afganistan....Duuh yet watanzania bado hawajastuka masikini....Lakini ile taasisi yetu ya akili imeshindwa kutwist hiyo equation jamani? Ama tumeingiliwa bila kujijua? Kama hata mkuu anashindwa ku-control I wonder kama hata yeye anajiamini ki-usalama (God forbid)....So sad....Please those who know how and what prayer is let us pray mambo hayako sawa believe me! Conscious yangu inanitahadharisha kuna tusilolijua lipo ninatutafuna na watu hawajui chakufanya...
 
Uchunguzi wako haukidhi haja kwa sababu zifuatazo;

1.0 Nidhamu ya kijeshi kwa jinsi ilivyo, kama kweli hao polisi walimtambua ni RPC siyo rahisi kumnyang'anya radio call na kisha baadae kumuua bosi wao bila sababu ya msingi.

2.0 Polisi jamii mara nyingi hawana silaha, isipokuwa polisi hawa tunaowawaita VODA FASTA hao ndiyo wanakuwa na silaha muda wote na wanakuwa wawili wawili kwa ajili ya usalama zaidi.

3.0 Bado hujakidhi haja malumbano hayo yalikuwa kiasi gani, labda marehemu aliwatukana hao askari na kughadhibika na kuamua kumuua. Lakini bado siamini mtu ambaye huna visa nae na tena bosi wako akikuelekeza jambo ambalo ni kosa ukareact!!!!!

MoDs binafsi naamini katika nadharia hizi;

(a) Marehemu ameuawa na watu walijipanga baada ya kumfuatilia nyendo zake, chanzo kikuu kikiwa ni unafiki wa polisi kushirikiana na majambazi kisha kuyageuka.
(b) Visa vya kibiashara kama alishawahi kudhurumiana na wafanyabiashara
(c) Mapenzi hasa kutembea na mke wa mtu ambaye mumewe akajua na kisha kuamua kulipiza kisasi.

MoDs siamini katika alichokiita Baija Bolobi kama uchunguzi, mkuu Invisible hebu icheki hii kitu ingefaa kupewa status ya tetesi.
 
Last edited by a moderator:
unadhani kuliacha hai sio torture?,litakufa na minyege kwani hamna jogoo atakee lisogelea kwa kuogopa kifo.
 
naona muda unaanza kuamua now yote yaliyobehind the scene yatagundulika muda utasema
tangu nijue sijasikia kikao cha harusi kukaa hadi saa saba had saa nane usiku. naungana mkono na wewe mkuu
 
Kuna wingu zito katika hiki kifo na tusitarajie kupata maelezo sahihi kutoka vyombo vya dola
 
Da inanikumbusha wimbo wa bahati bukuku Dunia haina huruma,Mke wake sijui alikuwa anamdanganya nini kila mara anarudi kesho yake home.
Hata mimi nimeukumbuka wimbo wa Bukuku...
 
Back
Top Bottom