Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako.

Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer kutoka na Azizi Ki usiku na kuzurula naye.

Kwenye kikao cha kawaida pale Serena Gamond aliongea kistaabu kuiambia management kuwa kitendo kile si kizuri na kinaweza kuondoa umoja katika timu na akaomba kila mchezaji apate treatment sawa isipokuwa kwenye mishahara ndio kila mmoja alipwe kulingana na mkataba.

Mimi nadhani huu ulikuwa ushauri mzuri sana na Gamond aliona mbali. Kumbe engineer hakupendezwa na hujuma zikaanza.

Siku chache baadaye tukaambiwa Gamond anaharibu wachezaji, anawaacha tu wanakesha bar nk. Engineer unakumbuka ile simu ya Gamond kwako?

Mzee wa watu akajisemea kama nikweli nawachosha naomba tuachane kwa amani na sitafungua kesi ya madai lakini moyo umeuma sana.

Laana hii inaitafuna Yanga. Engineer usipoomba radhi kwa Gamond timu haifiki popote. Halafu ukikubali kusifiwa kubali pia kukosolewa, hujui kila kitu kaka.

Hii ni story tu yakutunga kwahiyo msiichukulie serious maana Ponjoro wa Kinondoni kakurupuka kuitunga kutokana na chuki binafsi.

All the best Yanga Africa, All the best rais wa Yanga, all the best rais wa TFF Ally Mayai, all the best Rais Humphrey Gwajima P.
 
Injinia feki kamind alikuwa anautaka ubunge kanyimwa
 
Injinia saiv anapuyanga tu kwenye usajili imagine kawatoa wana yanga kwa Pacome, Depu na Okello mpk kwa Sele, Mihambo, Chuga, Toure, Komaro na Zakwani 🤣
 
Back
Top Bottom