ukweli kuhusu KLOROKWIN

shemeji kale ka phd ka uöngo umekapata chuo gani vile?

Nilisoma darasa moja na mwenyekiti wa bunge wa hesabu za serikali, tulichukua PhD za kastama kea pale Bom Bom Kijiwe samri
Chuo kinaitwa MSUMALI UNACHOMA KOTE KOTE COLLEGE OF MANAGEMENT AND BUSINESS
 
Nilisoma darasa moja na mwenyekiti wa bunge wa hesabu za serikali, tulichukua PhD za kastama kea pale Bom Bom Kijiwe samri
Chuo kinaitwa MSUMALI UNACHOMA KOTE KOTE COLLEGE OF MANAGEMENT AND BUSINESS

umetisha kama kikombe cha babu.
 
Tokea nimejiunga JF sijawahi ku-log out hata siku moja sababu ID yangu ina hatimiliki na iko certified na ISO pia nina mpango wa kuilist ID yangu pale DSE ili muweze kununua shares
sasa hii ni ID au muvi ya kanumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…