Katika jambo linalonifanya nijione si lolote kwa Mwanamke ni pamoja na kulifikilia tendo hilo la kujifungua!
Pamoja na kaukorofi nilikonako, hata kama mwanamke kanitenda nini, nikipoga picha ya tendp hilo nguvu huisha!
Sie ni vidume ndio, lakini kwa zoezi hilo la mwanamke nadhani hatuna jambo tunaloweza kujivunia kama vidume aisee!