Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

Kwanza, hueleweki ama sijui hujui kuwasiliana. Pia, unalalamika sana kiasi cha kutoeleweka. Hivyo, inakuwa vigumu kukusaidia hata kimawazo. Cha mno, mambo yenu ya ndani jaribu kuyamaliza wenyewe kwanza. Pia, achana kulilia ya kale ya Magu. Kwani, hatarudi. Hata hivyo, si mnamsifia mama mbeba maono na mtenda miujiza mheshimwa rais daktari profesa SSH?
Kuelewa ni neno mtambuka Kwa maana kila mtu anaweza kuwa na uwezo tofauti wa kuelewa.
Kwa mfano umejionea mwenyewe hapa watu wengi wanatoa ushauri maana wameelewa. Wewe hujaelewa Kwa sababu kichwa chako ni kigumu.
Pia unaonekana kuwa ni mjinga kidogo Kwa sababu unalalamika jamaa haeleweki halafu hapo hapo unaanza kutoa ushauri kama si utaahira ni nini?
 
Uzuri mie si jinga kama wewe wala kichwa changu siyo kigumu kama chako kigumu sana
 
Back
Top Bottom