Kwanza, hueleweki ama sijui hujui kuwasiliana. Pia, unalalamika sana kiasi cha kutoeleweka. Hivyo, inakuwa vigumu kukusaidia hata kimawazo. Cha mno, mambo yenu ya ndani jaribu kuyamaliza wenyewe kwanza. Pia, achana kulilia ya kale ya Magu. Kwani, hatarudi. Hata hivyo, si mnamsifia mama mbeba maono na mtenda miujiza mheshimwa rais daktari profesa SSH?