Ukweli kuhusu mateso ya UTI kwa wanaume

Ukweli kuhusu mateso ya UTI kwa wanaume

Mkuu mchai chai unamaanisha huu pichani?View attachment 2310153
Huo huo mkuu,
Mimi ndio chai yangu pendwa kila siku,

Wanawake zangu wengi wanaumwa Sana UTI kila mara nawatibia, ila Hakuna hata mmoja wao aliwahi niambukiza.

Hapa nnapoongea,
Mchepuko wangu mmoja wiki lote hili Yuko kwenye dozi ya Cipro,UTI inamsumbua.

Naendelea kumchakata Na Jana usiku nmetoka kumchakata Kama kawaida bila hofu yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuuu hope mko poa sana.

Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa.

Nianze moja kwa moja nimekuwa mtu wa toto mbili tatu na kujichanganya sana na wanawake, ila katika miaka ya nyuma sija wahiii pata changamoto kama kuanzia miaka 5 ilio pita. Nianze kwa kusema tu ukweli kuwa nilikuwa nasikia sana kuhusu ugonjwa wa UTI ila nilikuwa sija wahii kuumwa wala kuupata na nilikuwa najua ni unatokana na uchafuu wa mwanamke mwenyewe na mara nyingi huwapata wao.

Nianze na tukio la kwanza mwaka X nilikuwa mkoani nilikutana na binti mmoja tukatokea kuelewana sana hivyo basi tukakuta tunaunganisha vi kojoleo kiukweli yule manzi alikuwa ni mtamu kiasi mpaka nika mpenda na kutamani kufanya nae tena na tena.

Ila baada ya kama week moja nilijikuta naumwa sana najisikia homa nika hisi hii itakuwa ni malaria tu ila nilivyo enda kupima nikakutwa sina nikapotezea nikaanza kusikia vichomi wakati wa kukojoa yani kama maumivu fulani hasa pale mkojo unapo ni bana.

Baada ya ushauri kuna mtu akaniambia kuwa nitafute hospital nyingine nikapime vizuri nilivyo enda kupima majibu yalitoka nina UTI 40 kama nina kumbuka vizuri.

Nilimeza dawa kwa mda mpaka nikapona na kwenda kumueleza binti majibu ilikuwa ni pole na sikujua vizuri kama nimepata kwake au laa? ila yeye alikuwa poa tu.

Sasa nikaja kuhama mkoa na kwenda mkoa mwingine nikaja ku experience UTI ya 5G, nili kwenda kwenye bar moja kupata kitimoto na beer mbili tatu kuna meza walikuwa wamekaa wadada kama wa 4 hivi ila mmoja ndo alikuwa kama yuko peke yake maaana walikuwa na jamaa yao ila kulikuwa na kama ka ugomvi so wakawa wanajitahidi kusuluhisha, basi yule mwingine alikuwa mpole sana na na alikuwa ameumbika kweli, na mimi kwa mda huoo nilikuwa sina time now.

Basi nikasema kunywa mwenyewe sio poa ngoja ni mpigie jamaa yangu aje tupunguze siku. Kweli alikuja akafika nikawa nina hype kama lote sasa hapa ndo msala ulipoa anzia. Beer zikakaa mahali pake maana nilikuwa nakunywa safari. mda umeenda kuja kutupa jichoo binti kaachiwa beer mezani na wenzake sijui wameenda wapi nikaona ngoja nijongee kwakuwa ni mda sana nimemuona tokea akiwa na wenzake, bila hiyana binti akakubali kuja meza yetu tukaanza kuburudika, beer zake nikaomba muhudumu amuhamishie meza yetu akafanyahivyo.

Cut stroy short tuliachiana number na akani promise kesho atajitahidi tuonane asubuhii maana anaenda town. basi mida ya saa 3-4 hivi huyu hapa nikawa nimeenda ndomu zangu ini case, mtoto akaingia ndani tukaanza mambo kiukweli kwa ufundi wake nilisahau mpaka ndomu nilikuja kushtuka baada ya bao la kwanza akili ndo ikajua nimeuza mechi nikasema sio kesiii. Akasepa nimekaa kama siku 2 naona mabadiliko kwenye mashine aiseee hiii kitu inatesa sana yani nilikaa siku ya tatu naona boxer inachafuka balaa na nimevaa asubuhi tu nikajua hapa nimesha kula GONO.

Manzi alinipigia anaongea romance kuwa amenimiss na anatamani tuonane tena, nilitamani kumtukana sana sema nilikausha maana najua na mimi ni mkosaji pia. Nikaenda hospital nikakutana na dokta wa kike nikagoma kumwambia nikaomba wa kiume ndo akaja nikamuelezea bila shida akaniambia nikapime wajue ni nini shida.

Basi nikaenda nikatoa mkojo uliokuwa una uma ukaenda kupimwa nikakutwa na UTI kiukweli mpaka dada wa mahabara alisikitika na akaomba nimuite alie nipa hata sikutaka nikamwambia hayupo kaondoka mkoa. Nikaja nikampigia yule ccy nikamwambia ukweli kuwa akatibiwe amenipa gonjwa la kijinga sana na kama ikiwezekana akapime na ngoma maana mimi siwezi onyesha, akakubali kwenda ila baada ya siku 3 akaja kuniletea majibu na alianza sindano zake. Hapa niseme sikutegemea kama mtoto mzuri kama yule ana kitu kamaa hii na sisitiza usimuamini mtu kwa macho.

Kisa kifupi kingine kuna maza alinielewa nikasema sio kesi maana alinipenda mwenyewe nikaenda kumtandika ila na ndom nikawa nachelewa balaa yani kiukweli nachelewa sana kiasi akawa analalamika nikaona sio kesiii nika chomoa nikaenda kavu nikamaliza baada ya siku 2 tu mkojo unaumaa balaa nikaenda kupima nikakutwa na UTI ila ilikuwa ya kawaida wakanipa tu dawa. Nika mfuata yule mazaa nahisi alijua ana UTI akaniambia alijua amepona maana ilikuwa ina msumbua na siku tume kutana alimaliza dozi jana yake ikabidi nipige chini maana nilikosa raha kabisa na kuhisi alifanya makusudi.

Ya mwisho nikaenda mkoani nikakutana na binti kiukweli ni mzuri sana, nikaomba namba tuka toka out siku ya weekend tukapiga beer za hapa na pale tukaenda kunyanduana maana alisema hawezi lala nilipofikia maana anatakiwa awe kwake basi kweli tukamaliza yetu akaasepa nikamwambia kesho tutaonana tena vizuri. Aiseee hiii ilikuwa ni 20G kesho yake nasikia maumivu kesho kutwa boxer ni chafu kiasi kwamba nikajua hili ni Gono tena.

Nilijitahidi kunywa maji na azuuma ila iligonga mwamba nikawa nimekaa kama siku 4 nawaza hiii ni gundu gani na hawa watoto aisee mashine ukienda kukojoa ni mteso makali sana sio kidogo mkojo ukikubana hata kama una usingizi wa kiasi gani utaamka mda huo huoo. Nilianza kuumwa mwili na kujisikia kama mwili hauko normal kabisa ilifikia dyudyu ilivimba ikaanza kunenepa bila sababu hadi kuishika ikawa shida nikikojo hata kuikung'uta tuilikuwa shida sana aiseee hatari sana.

Nilimfata dokta na kumwambia mkuu nipime kila kitu sio mkojo tu mpaka huu uchafu unao toka kwenye niaje. majibu yametoka nimekutwa na UTI 100. niliona imeandikawa 1: VDRL- NV
2: Urethal swab report
macroscopic finding
appearence - purulent swab stick
color - white grey
microscopic
GRAM STAIN SMEAR- showed intracelullular gram negative
diplococci, many leucocytes seen.

Akaniulizia muhusika nikamwambia hayupo na sitaki kumsikia, akaniandikia dawa na shindano juu ila za doxin sikumaliza maana zina kera balaa.

Kisa cha mwisho ni kuna siku kuna manzi nilikuwa nakaa nae mtaani na alikuwa ni pini kweli nikamchana ukweli akanielewa ila alikuwa na jamaa yake sasa siku mmoja nilienda kwa jirani kuwarekebishia TV na yeye alikuja wote walikuwa jikoni na nahisi alikuwa anajua hamna mtu ndani

Nikasikia wana wahadisia wenzake kuwa ana matatizo akiweka finger kwenye punani vinatoka vitu vyeupe na vina kuwa na kama harufu kwa mbali kitu kinacho mnyima raha mmoja akamuuliza kama jamaa yake anajua kuhusu hilo swala, alicho jibu ni kuwa hajuiii na huwa anakula hivyo hivyo na alikuja kugundua wakati ana nyanduana na wakati alikuwa anajipekuwa akiwa mwenyewe na aliulizwa ina mda gani?

Akajibu mwezi sasa na hsptl hajaenda, dhaaaa lahaula si nikatokea maana walikuwa wanaongea kwa nguvu niakenda jikoni (nilijitokeza tu ili anione) aisee naona waliona aibu wote, manzi aliganda hata kunipa hiii alishindwa na mimi ndo ukawa mwisho wa kusalimiana na kujuliana hali. maana nilijua kabisa haba nikila nakula bomu moja mtata sana,

Kwa malaya ni % kubwa sana kupata ukiona umenunua malaya kwa wale wapendwa na umekula kavu na hujapata magonjwa kama hayo ambayo ni common shukuru mungu sana maana hao viumbe wanakutana na watu wengi sana kwa siku wa aina tofauti na magonjwa ni mengi sna .

Swali langu huwa ni moja
inakuwaje hawa wanawake wanakaa na magonjwa yote hayo mda mrefu na wanakuwa wanajisikia normal kabisa mfano kama hiyoo UTI tokea nimekuja kupona na kurudi kutoka mkoa aliniambia yeye hajisikiii kitu na hajaenda hospital na wala hamna mpango wa kwenda ila huwa anasikia tu maumivu ya tumbo mda mwingine akiwa anaenda chooni basi.

Neno langu: kuna magonjwa ni common na ni ngumu sana kuongelewa hadharani kama hivi ila yana tuumiza na kutunyima raha sana hasa sisi wanaume, mwanamke mzuri ila kiafya huko down hapana ni vyema wawe hata wana pima tu kujua afya zaooo na kujitibu pale wanapoo ona dalili. mfano mzuri ni swala la harufu sijuiii huwa hawasikiii au unakuta ameizoea.

Kama huja wahiii kupatwa na huu ugonjwa mkuu usionge kabisa maana hujuii namaanisha nini na yalio nikuta hata sikupanga na sikutegemea japo ni wakati tofauti. kuna mda unaona bora u deal na hawa wa shule hasa vyuoni kuliko hawa wanao ajiriwa na kuwa na familia ukiamini wana jijali.

mimi kwa leo ni hayo tu kama kuna mengine nitaongeza. ila UTI kwetu ni mateso sana.
Mkuu unakula pisi mbovuuu mnooooo si mchezo, mwanaume kuambukizwa hayo ni hizi pisi za mafungu si kitoto, lakini pia wanawake ndio maana unasikia kansa sijui ya kizazi, sijui shingo ya kizazi ni haya magonjwa kuyachukulia poa.
Jitahidi pia ukimaliza kusex nenda chooni kojoa alafu osha dyudyu mara moja sio unaingia lodge choo chenyewe cha nje maji hakuna unajifuta futa utakuja kufa na dyudyu ikatike kabisa.
 
We ni mzinifu mashuhuri, ukimaliza kusex nenda chooni kajilazimishe ukojoe mkojo wa kawaida, pia osha mashine na sabuni muda huohuo,

Hi kwa kiasi fulani Mimi inanisaidiaga na kupiga maji kwa wingi
 
Unless otherwise wewe ni mshirika wa Mapenzi ya jinsia moja.....

UTI kwa wanaume [emoji26] Embu wataalamu wa Urology mtupe tips
Una unachofahamu ila mm nakazia hasa wadada wenye miaka kuanzia 30s ukipiga kavu ukikosa kupata U T.I sugu katambike
 
Dawa ya kumaliza maradhi ya UTI ipo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.
 
Mleta mada ulichoandika ni kweli! Siku hizi kuchepuka ni hatari sana…. Yaan miba na mitego iliyopo huko nje inatisha haswaaa
 
Labda hawajui UTI ni nini.... Unaweza vaaa boxer lichafu hujafua wiki lina mabactria kibao likasababisha ukapata UTi ..
kuna kitu umeelezea vizuri JUU na like nimekupa lakini hapa ukichozungumza si kweli ni Uongo
huwezi kupata UTI kwa kuvaa BOXER wiki nzima bila kufua achilia mbili wiko hata mwezi sio 7bu ya kupata U.T.I
 
Ukiwa mzinzi Sana,

-Uwe unakunywa maji meng kabla ya tendo ili upate kukojoa Mara kwa Mara katikati ya tendo ili kuflash mrija wa mkojo.

-Uwe na break za kunawisha mashine yako na maji tiririka kila baada ya pafu kadhaa za kunyanduana.

-maji yako ya kunywa yawe na mchanganyiko wa baking powder au kunywa chai ya mchai chai.
Ukiweza vyote itakua Bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnzinzi mwenzangu kwa hizo tips nakubari mzee wa kavu kavu
mie nina ANTFUNGAL naipaka kabla na baada ya mgegedo

kuna mwana huko juu anatembea CIPRO yeye dah
Mie nina mwanangu ye akishamaliza kugegeda tu anapiga AZUMA kidonge kimoja
ni hatari lakini SALAMA

U.T. I sugu ni janga sana Kwa wapenda KAVU

Usione town wauza madafu wanakuwa na NDIMU
Ile tiba mbadala sana badala ya madawa ya HOSPTARI

BY the way kwa namna tunakoendea MAGONJWA ya kufail FIGO yataongezeka sana
kwa matumizi mabaya ya MADAWA ya ANTBIOTIC

Hali ni mbaya sana mana hata mkeo anakuletea U.T.I
 
acha ujingaaa ndo maana nikasema kama haija wahiii kukutaa kausha... wewe ndo utakuwa na mapenzi ya jinsia moja
Wewe ni mjinga huna unalolifahamu kuhusu ulilolitaja.... UTI kwa wanaume? Wewe umepata hizo UDS, SYPHILIS , GONORRHOEA na STI's acha utoto....

Endekeza ngono, tunakusubiria OPD tukufanyie PITC uwe mtandaoni...

St**pid
 
Huo huo mkuu,
Mimi ndio chai yangu pendwa kila siku,

Wanawake zangu wengi wanaumwa Sana UTI kila mara nawatibia, ila Hakuna hata mmoja wao aliwahi niambukiza.

Hapa nnapoongea,
Mchepuko wangu mmoja wiki lote hili Yuko kwenye dozi ya Cipro,UTI inamsumbua.

Naendelea kumchakata Na Jana usiku nmetoka kumchakata Kama kawaida bila hofu yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakika umenipa bonge la ukombozi
Asante sana mkuu
 
Nashangaaga sana mimi hii
Saa nyingine mtu hana hata mwanamke anakwambia alikua anaumwa ameenda hosp ameambiwa ana uti [emoji3] wengi wetu elimu ndogo ya afya hatuna
Mimi ninakatabia kabaya hasa napotoa huduma anakuja mteja wa kiume badala aeleze dalili anakuambia ana UTI [emoji26][emoji26][emoji26] hapo nakuwa mkali sana....

Ukija kumuuliza anakupa dalili za STI's....

Vijana waache ngono za hovyo hovyo zisizo na mpangilio
 
Mkuu

KWA wanawake Njia ya mkojo,uke na Njia ya haja kubwa zipo karibu Sana!wakati wa kuchamba au kutawadha wakishakata gogo baadhi ya bacteria waliopo kwenye kinyesi au Njia ya haja kubwa huchanganyikana na maji ya kutawadha na kuingia kwenye mbususu hapo ndio chanzo cha UTI hasa KWA wanawake!!

Nadhani ni Hivyo!!

Beer zinakufanya uchukue mademu low quality sana
labda mkuu yaweza kuwa. maana tumetofautiana macho.
 
Story of my life yani kila nikila mzigo lazima niumwe mpk kwenda hospital naona aibu najifanyia self medication. Natamani sana kuacha kuacha kuchakata mbususu ila ndio hivyo siwezi
haya mambo yasikie tu kwa jirani. yani demu unamuangalia ni pisi kweli unaenda kuchakata safi kabisa ila baada ya siku mbili tu msala unaanza....
 
Wewe una UTI sugu ambayo ni tatizo utaishi nalo muda mrefu. Kuna majani fulani Wahaya wanaita karandarugo ndio mwisho wa matatizo. Ni very rare kwa sasa kupatikana, zamani miaka kama 10 nyuma wabongo wazinzi walivyogundua ni dawa nzuri sana wakayavuna magunia kwa magunia wakasambaza mikoani. Yanatibu magonjwa mengi ila ukiyapata UTI utabaki kuisoma kwenye dictionary.

Kwa sasa ishi na mchaichai tu. Otesha hapo kwako maana wewe ni lijinga unadandia malaya vilabuni
mkuu umeongea point ila wewe jinga umemalizia na utopolo....
 
Back
Top Bottom