Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Sio mkuu, Tigo walikua wanaiuza kama 430K hivi. Pia ni simu nzuri ya kawaida, camera pia ni Ya kawaida ila ukiweka Gcam quality inakua nzuri kidogo.Chief, Redmi note 12 kwa 550K ni value for money? Vp camera yake kwa ubora wa picha? Na workability yake
Ahsante sana mkuu, kwa bajeti hiyo unashauri simu ganiSio mkuu, Tigo walikua wanaiuza kama 430K hivi. Pia ni simu nzuri ya kawaida, camera pia ni Ya kawaida ila ukiweka Gcam quality inakua nzuri kidogo.
Hio redmi 12 kwa 430k sio mbaya mkuu.Ahsante sana mkuu, kwa bajeti hiyo unashauri simu gani
Ahdante sana mkuuHio redmi 12 kwa 430k sio mbaya mkuu.
Kwa around 500-600K labda simu za kuagiza nje kama redmi note 12 turbo ndio itakua much better,
Kwa hapa kwetu step up baada ya hio labda Samsung A34 ambayo bei zake ni around 600k.
Vp xperia 1 mark two?10 III ni midrange ina faida zake kama kukaa na chaji sana, ila premium features kama Camera na display nzuri 5 II ipo vizuri zaidi.
Xperia 1 ni kubwa zaidi ya 5 II kimuonekano, ila battery ni lile lile so haikai na chaji compare na 5II, ukitoa chaji mambo mengine kama Camera, Display, wireless charging itakua vizuri zaidi. Angalia mwenyewe priority zako.Vp xperia 1 mark two?
Sema naona Garena watu wana sema hizi simu zinamatatizo ya greenlineXperia 1 ni kubwa zaidi ya 5 II kimuonekano, ila battery ni lile lile so haikai na chaji compare na 5II, ukitoa chaji mambo mengine kama Camera, Display, wireless charging itakua vizuri zaidi. Angalia mwenyewe priority zako.
Sema naona Online watu wana mod wanatoa hio wireless charging na kufit battery kubwa la 5000mah kutoka Xperia mpya, lina fit, una calibrate na simu inakaa na chaji zaidi.
Ndio mkuu, ila ni karibia oled zote za kipindi hiki, Kuanzia iphone za mwanzo kama X, hizi Xperia, Samsung Around S10 na S20 etc.Sema naona Garena watu wana sema hizi simu zinamatatizo ya greenline
A series nzur nikuanzia A34, A15, au A24 sema ni garama sanaa lakin below apo samsung wanapiga watu tu,Ndio mkuu, ila ni karibia oled zote za kipindi hiki, Kuanzia iphone za mwanzo kama X, hizi Xperia, Samsung Around S10 na S20 etc.
Pia hizi sababu ya Oled kioo kikipasuka gharama ni kubwa kushinda bei utakayonunulia hio simu.
So risk za kununua Xperia ni kama Wanavyoita watu iphone za Makumbusho, Samsung za Zahor matelefon etc. Una risk kupata kitu kibovu ili kama kikiwa kizima upate Camera, Display na perfomance ya maana.
Cha muhimu mkuu ni warranty hata ya miezi kadhaa tu, kama mwenye duka yupo tayari kuwa responsible incase simu mbovu unanunua tu.
Otherwise kama unaogopa risk unarudi kwenye simu mpya kama Hizi redmi na Galaxy A series.
Pixel zinaingia kundi la refurbished, nazo zina matatizo kama refurbished nyengine hasa sudden death ya motherboard.A series nzur nikuanzia A34, A15, au A24 sema ni garama sanaa lakin below apo samsung wanapiga watu tu,
Labta redmi kidogo, pixels hapana nazo labda kuanzia 6 ivi
Naona kama mambo wanayaribu wenyewe tu,,Pixel zinaingia kundi la refurbished, nazo zina matatizo kama refurbished nyengine hasa sudden death ya motherboard.
Hata A14 5G ilikua nzuri, kifupi Samsung inabidi uwe makini kwenye midrange zao, na hata redmi nao wanafuata mkumbo huo huo tofauti na zamani.