Ndio mkuu, ila ni karibia oled zote za kipindi hiki, Kuanzia iphone za mwanzo kama X, hizi Xperia, Samsung Around S10 na S20 etc.
Pia hizi sababu ya Oled kioo kikipasuka gharama ni kubwa kushinda bei utakayonunulia hio simu.
So risk za kununua Xperia ni kama Wanavyoita watu iphone za Makumbusho, Samsung za Zahor matelefon etc. Una risk kupata kitu kibovu ili kama kikiwa kizima upate Camera, Display na perfomance ya maana.
Cha muhimu mkuu ni warranty hata ya miezi kadhaa tu, kama mwenye duka yupo tayari kuwa responsible incase simu mbovu unanunua tu.
Otherwise kama unaogopa risk unarudi kwenye simu mpya kama Hizi redmi na Galaxy A series.