Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi
Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe wanane lakini wajumbe saba hawakutia sahihi muhutasari huo. Kambenga hakuwahi kulipa kiasi chochote cha pesa wala mchango wowote kwenye kijiji hata ekari 100 aliopewa kihalali na kupata ofa bado anadaiwa zaidi ya shilingi za Tanzania millioni 4,000,000.
Zaidi ya kukimbilia mahakamani ambapo amekua akihonga mahakimu kupata ushindi .hadi tunavyoandika hapa Kambenga ameharibu mashamba ya wanakijiji waliokua wamelima na kumwaga mpunga akitumia risasi na kutukana wakulima ovyo wiki iliyopita amekua akitamba pia kua amepata ushindi wa kesi nyingine iliyopo mkoani mbele ya jaji Manyama cha kushangaza siku ya hukumu ilipangwa tarehe 17 mwezi huu na yeye anadai ameisha tumiwa nakala ya hukumu hiyo kabla kwa njia ya whatsaap ni maajabu sana kwa Mahakama .huku akiwaambia wakulima mbwa waende morogoro wakasomewe hukumu yeye ameishapewa ushindi hii ni aibu kubwa sana kwa idara ya mahakama.