falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
kama kuna baadhi ya sehem haziguswi mbona wengi huvunjikaga mfano johncena alivunjika shingo
hapa tunatafuta ukweli na tukubali kujifunza i dont think its ryt kumshambulia jamaa alie shuhudia ukweli.
ila mimi bado sijawa convinced khs dawa ya kupigwa nyundo usivunjike mifupa
Was he trying to tell?
telling and trying to tell are too different. falcon mombasa kasema alichoona kwa macho.
Ulikuwa na haja kweli ya kututukana watanzania WOTE?! Toa hoja ya kuwarekebisha hasa unaoona ni malimbukeni sio kusema watanzania ni wapumbavu sana!!
We nidharau na unitukane utakavyo, mi ntakuheshimu kwa kuwa mi ni muungwana. Sasa jibu swali la mtoa mada... huu ni mchezo au maigizo?endelea kuota kwenda marekani jinga wewe,yaani leo ndio nimekudharau kisawasawa.
heri ndugu unisaidie manake humu naona watu wengi wanapaona amerika ni kwa mungu
Ungekuwa umejibu hivi wala malumbano yasingekuwepo.mle wanapigana kweli na kuna kanuni zake,vile viti unavyoviona havina uzito kama viti vya darasani kwenu,mle hapigwi mtu nyundo wala mshale,na hawapigi kila sehemu ya mwili,kuna baadhi hawagusi kabisa,mwisho kabisa mazoezi wanayofanya sio ya mwaka moja kama kina cheka,chakula wanachokula pia sio kama cha kina cheka,yaani kwa kifupi hadi mtu unamuona amesimama pale jua amepitia mlolongo mrefu sana cheka wenu anaweza kukata tamaa na pia wataalamu wa viungo na madokta ni wengi sana ndo sababu kila kitu mnaona mnadanganya,huwez fananisha US na TZ
watu wengine wanakera brother,kwenye mambo ya kujifunza wao wanaendekeza ulimbukeni
sijaona tatizo kwenye info zako, sasa wadau wanakuwa na msongo wa mawazo sana, smh..
Mimi mwenyewe ni mtazamaji mzuri sana wa mieleka toka enzi nikiwa shule ya msingi mpaka sasa niko elimu ya juu.
Hawa jamaa najua wanafanya vitu ambavyo ni real, wanapigwa, wanaumia, wengine wanakufa kabisa.
Hivi inawezekana kweli mtoe atoe zaidi ya dola 200 kwa ajili ya kwenda kuangalia ujinga? fake things? serious?
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta
vile zile drama kama za donald trump na mr.mackain ......... kuna vitu vina pangwa sometimes unaweza tabiri mshindi kabisa kuna the good guys na the bad guys kama movies the good guys mfano john cena huaga wanapata shida mwanzo but thy always become heroes kweny mipambano mikali...bad guys mfano mzuri alikua umaga great khalee
sijaona tatizo kwenye info zako, sasa wadau wanakuwa na msongo wa mawazo sana, smh..
Mimi mwenyewe ni mtazamaji mzuri sana wa mieleka toka enzi nikiwa shule ya msingi mpaka sasa niko elimu ya juu.
Hawa jamaa najua wanafanya vitu ambavyo ni real, wanapigwa, wanaumia, wengine wanakufa kabisa.
Hivi inawezekana kweli mtoe atoe zaidi ya dola 200 kwa ajili ya kwenda kuangalia ujinga? fake things? serious?
Tumeshajua ulikuwa Italia, sasa jibu hoja... Ni maigizo au kweli??
Vinaitwaje?
Vitu vingi vinavyofanyika vinakuwa planned, performers wanafuata script kama movie vile, kunakuwa na reharsal before hawajaenda kuperform, si vitu vyote wanavyofanya vinakuwa planned ndio maana kunatokea vifo sometimes. Rey Mysterio alimuua Pedro Aguayo kwa bahati mbaya kwenye pambano lao march mwaka huu
atleast memba wengine wangejiuliza maswali kama haya wasingepata tabu ya kuamini fake moves
Kwani ku-act ni ujinga au fake things? Mbona movies nyingi za Hollywood tunajua kabisa wana-act na sio kweli lakini bado tunafurahia?
sio drama pale laiti kama ungalijua wacheza kamari wanavyotajirika kupitia mieleka wala usingeweka mawazo ya maigizo,nje ya ulingo kuna watu wanacheza kamari kwa kila moves inayofanywa pale,trust me watu wantumia hadi dollar laki 9 kwa usiku mmoja kwa ajili ya kamari
Nakuacha na huyu bwana anayeitwa Google! Naomba umuulize hivi: Is WWE real or fake!tunafurahia end product, sio raw material!
Mkuu tofautisha wale ambao wameshazalisha movie wewe ukiwa haupo, halafu hawa wanakuwa wanacheza na wewe ukiwepo unashuhudia!
Penye kudanganywa ni wapi labda???