Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

kama kuna baadhi ya sehem haziguswi mbona wengi huvunjikaga mfano johncena alivunjika shingo

sio kuvunjika tu mamii hata kufa pia unakufa,ila kumbuka hata gari ununue kwa mabilion ya dolari nalo ipo siku litaharibika tu
 
hapa tunatafuta ukweli na tukubali kujifunza i dont think its ryt kumshambulia jamaa alie shuhudia ukweli.

ila mimi bado sijawa convinced khs dawa ya kupigwa nyundo usivunjike mifupa

triple h huwa anaingiaga na nyundo lakini trust mi hajawah kumpiga mtu na chuma cha nyundo,sana sana atampiga na mpini wa nyundo tena harudii mara kwa mara
 
Ulikuwa na haja kweli ya kututukana watanzania WOTE?! Toa hoja ya kuwarekebisha hasa unaoona ni malimbukeni sio kusema watanzania ni wapumbavu sana!!

watu wengine wanakera brother,kwenye mambo ya kujifunza wao wanaendekeza ulimbukeni
 
heri ndugu unisaidie manake humu naona watu wengi wanapaona amerika ni kwa mungu

sijaona tatizo kwenye info zako, sasa wadau wanakuwa na msongo wa mawazo sana, smh..

Mimi mwenyewe ni mtazamaji mzuri sana wa mieleka toka enzi nikiwa shule ya msingi mpaka sasa niko elimu ya juu.

Hawa jamaa najua wanafanya vitu ambavyo ni real, wanapigwa, wanaumia, wengine wanakufa kabisa.

Hivi inawezekana kweli mtoe atoe zaidi ya dola 200 kwa ajili ya kwenda kuangalia ujinga? fake things? serious?
 
mle wanapigana kweli na kuna kanuni zake,vile viti unavyoviona havina uzito kama viti vya darasani kwenu,mle hapigwi mtu nyundo wala mshale,na hawapigi kila sehemu ya mwili,kuna baadhi hawagusi kabisa,mwisho kabisa mazoezi wanayofanya sio ya mwaka moja kama kina cheka,chakula wanachokula pia sio kama cha kina cheka,yaani kwa kifupi hadi mtu unamuona amesimama pale jua amepitia mlolongo mrefu sana cheka wenu anaweza kukata tamaa na pia wataalamu wa viungo na madokta ni wengi sana ndo sababu kila kitu mnaona mnadanganya,huwez fananisha US na TZ
Ungekuwa umejibu hivi wala malumbano yasingekuwepo.

Haya tuambie kwanini wanawapiga marefarii??
 
watu wengine wanakera brother,kwenye mambo ya kujifunza wao wanaendekeza ulimbukeni

vile zile drama kama za donald trump na mr.mackain ......... kuna vitu vina pangwa sometimes unaweza tabiri mshindi kabisa kuna the good guys na the bad guys kama movies the good guys mfano john cena huaga wanapata shida mwanzo but thy always become heroes kweny mipambano mikali...bad guys mfano mzuri alikua umaga great khalee
 
sijaona tatizo kwenye info zako, sasa wadau wanakuwa na msongo wa mawazo sana, smh..

Mimi mwenyewe ni mtazamaji mzuri sana wa mieleka toka enzi nikiwa shule ya msingi mpaka sasa niko elimu ya juu.

Hawa jamaa najua wanafanya vitu ambavyo ni real, wanapigwa, wanaumia, wengine wanakufa kabisa.

Hivi inawezekana kweli mtoe atoe zaidi ya dola 200 kwa ajili ya kwenda kuangalia ujinga? fake things? serious?

atleast memba wengine wangejiuliza maswali kama haya wasingepata tabu ya kuamini fake moves
 
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta

Usipende kuleta story za vijiweni za kujisifu kishamba. Wewe ungeelezea huu mchezo wanapigana kweli au wana-act? Jibu ni wana-act ila katika kufanya hiyo ''acting'' inahitaji watu wenye mazoezi na uwezo wa hali ya juu kwani kwenye ku-act kuna sehemu nyingine zinaendana na ukweli na zinahitaji nguvu, uwezo na mazoezi. Ni kama hizi movies za Hollywood ; sio kila mtu ana uwezo wa kucheza. BTW, Watanzania wengi wanotumia internet bado hawajui watafute wapi habari au majibu ya mambo mengi wasiyoyajua. Kama wangejua kutumia Google wala wasingekuwa wanalishwa habari za vijiweni zilizojaa majigambo kama hii uliyoileta hapa.
 
vile zile drama kama za donald trump na mr.mackain ......... kuna vitu vina pangwa sometimes unaweza tabiri mshindi kabisa kuna the good guys na the bad guys kama movies the good guys mfano john cena huaga wanapata shida mwanzo but thy always become heroes kweny mipambano mikali...bad guys mfano mzuri alikua umaga great khalee

sio drama pale laiti kama ungalijua wacheza kamari wanavyotajirika kupitia mieleka wala usingeweka mawazo ya maigizo,nje ya ulingo kuna watu wanacheza kamari kwa kila moves inayofanywa pale,trust me watu wantumia hadi dollar laki 9 kwa usiku mmoja kwa ajili ya kamari
 
sijaona tatizo kwenye info zako, sasa wadau wanakuwa na msongo wa mawazo sana, smh..

Mimi mwenyewe ni mtazamaji mzuri sana wa mieleka toka enzi nikiwa shule ya msingi mpaka sasa niko elimu ya juu.

Hawa jamaa najua wanafanya vitu ambavyo ni real, wanapigwa, wanaumia, wengine wanakufa kabisa.

Hivi inawezekana kweli mtoe atoe zaidi ya dola 200 kwa ajili ya kwenda kuangalia ujinga? fake things? serious?

Kwani ku-act ni ujinga au fake things? Mbona movies nyingi za Hollywood tunajua kabisa wana-act na sio kweli lakini bado tunafurahia?
 
Mmeshaambiwa ni ENTERTAINMENT... kama ilivyo movie n.k... Kimsing yale ni maigizo... Siyo mambo ya kweli
 
Vinaitwaje?

Steroids - sasa kitaalamu siwezi kuzielezea. Hizi dawa wanazotumi pia huwasaidi kudhibiti/kupunguza maumivu wakati wa mapambano yao. Na madawa haya ndiyo yanayowahamasisha kutumia madawa ya kulevya pia. Vilevile, madawa haya haya ndiyo yanayosababisha mashambulio ya moyo, na kusababisha vifo kwa wanamieleka wanapozidisha dozi.
 
Vitu vingi vinavyofanyika vinakuwa planned, performers wanafuata script kama movie vile, kunakuwa na reharsal before hawajaenda kuperform, si vitu vyote wanavyofanya vinakuwa planned ndio maana kunatokea vifo sometimes. Rey Mysterio alimuua Pedro Aguayo kwa bahati mbaya kwenye pambano lao march mwaka huu

Vifo vikitokea ni ajali tu, kama ajali zinazotea wakati wa ku shoot movies
 
atleast memba wengine wangejiuliza maswali kama haya wasingepata tabu ya kuamini fake moves

Batista mpaka sasa hayupo kwenye mashindano, anatembelea kiti.

Vicky Guelero pamoja na kwamba si mchezaji lakini anakumbana na maswahibu, na kuumizwa pia.

Yuko wapi powerful man of all time, kijana aliyekuwa na uwezo wa kubinua gari na hata kupigana na wana-mieleka wenzie zaidi ya 10 na kuwashinda? Bobby Lashley!

Ile michezo ni real jamani, hakuna mwanaume wa kweli miraba zaidi ya minne aende mbele ya kadamnasi na kujiliza vile!

Yale ni maumivu.! wanapigwa, wanaumia na wanakuwa suspended wakati mwingine sababu ya kuvunja protocol za game..

picha: Bobby lashley akiwa na mfilipino, Batista, mzee wa spear!

WWE-Superstar-Bobby-Lashley-Shaking-Hand-With-Batista.jpg
 
Kwani ku-act ni ujinga au fake things? Mbona movies nyingi za Hollywood tunajua kabisa wana-act na sio kweli lakini bado tunafurahia?

tunafurahia end product, sio raw material!

Mkuu tofautisha wale ambao wameshazalisha movie wewe ukiwa haupo, halafu hawa wanakuwa wanacheza na wewe ukiwepo unashuhudia!

Penye kudanganywa ni wapi labda???
 
sio drama pale laiti kama ungalijua wacheza kamari wanavyotajirika kupitia mieleka wala usingeweka mawazo ya maigizo,nje ya ulingo kuna watu wanacheza kamari kwa kila moves inayofanywa pale,trust me watu wantumia hadi dollar laki 9 kwa usiku mmoja kwa ajili ya kamari

nimepata jibu hili kutoka majuu.

Fake in a sense that the fights are pretty much
staged.
Layi, back when Hulk Hogan was a wrestler it was
real. He was a part of WWF. He left before the re-
invention of WWF and he left WAY before WWE.
Hulk Hogan
Randy Savage
Ted Debiosi
Jake the Snake
Rowdy Roddy Piper
All those guys were a part of WWF when it was
worth watching.
 
tunafurahia end product, sio raw material!

Mkuu tofautisha wale ambao wameshazalisha movie wewe ukiwa haupo, halafu hawa wanakuwa wanacheza na wewe ukiwepo unashuhudia!

Penye kudanganywa ni wapi labda???
Nakuacha na huyu bwana anayeitwa Google! Naomba umuulize hivi: Is WWE real or fake!
 
Back
Top Bottom