Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo


mkuu nimepata mawazo sana kwa hii post yako,, samahani lakin usinielewe vibaya ina maana hao wanaopigwa viti usoni wasipate ata alama na wewe ulielipiwa na mpemba dola 200 ukawaangalie nyie wote ni wanaume?? wataalam naombeni mnisaidie hivi hua kuna zoezi la kukomaza uso?
 
Mi nlishuhudia mieleka wakati nipo SA...ni uongo mtupu, hamna ukweli wowote. Since that day sijawahi kuangalia mieleka tena

angalia tena mwingine SA kuna uwanja wa mieleka? bora hata ungesema Dubai
 
Mkuu mimi bado napata mashaka kiduchu nikiangalia ule mchezo, inakuaje pale mtu anapopigwa na kiti cha chuma kichwani mpaka kiti kinasambaa na mtu anakuwa yupo fit hata kuchubuka wala kuvimba.

.......Mbona wakati wa sherehe sijui za Muungano sijui za nini pale Uwanja wa Taifa wale Makomandoo wetu walikuwa wanavunja matofali kwa kichwa na hawatoki damu au walikuwa wanaigiza?
 
angalia tena mwingine SA kuna uwanja wa mieleka? bora hata ungesema Dubai

Kama hujui uwe unanyamaza...wwe wanafanyaga tours sehemu mbalimbali duniani, na mimi nilipata fursa ya kuwaona walipofanya SA.
 
Binadamu wangekuwa wagumu kufa kiasi hicho ingekuwa raha sana. Unarushwa toka meta kadhaa juu unatua kwa kichwa halafu unapangusa vumbi unaendelea na mchezo!!
 
Kama hujui uwe unanyamaza...wwe wanafanyaga tours sehemu mbalimbali duniani, na mimi nilipata fursa ya kuwaona walipofanya SA.

Kadanganye watoto wadogo dada usitake kutuingza chaka!
 
.......Mbona wakati wa sherehe sijui za Muungano sijui za nini pale Uwanja wa Taifa wale Makomandoo wetu walikuwa wanavunja matofali kwa kichwa na hawatoki damu au walikuwa wanaigiza?

Akili za mende aliekunywa sumu ndyo hzi!!
 


Doh! Nimeiona. Inatia huruma sana. Maana jamaa apigwa vibaya sana akatupwa nje, kisha ile anarudi tuu, akapigwa teke la upande wa kushoto wa kichwa... Hakunyanyuka. Mchezo hatari sana huu.

Maana kama wanaoigiza wanakufa, vipi unaemuiga anaeigiza?
 
Well executed scripts kwa ajili ya burudani.

Michezo yote ya kupigana inayotambulika ulimwenguni, kigezo namba 1 ni usawa kwenye uzito na mambo mengine. Sio huyu ana rungu, huyu hana, hawa wako 10 huyu yuko peke yake.
 

sio sometimes...it is well scripted right from the start....(pre-determined)..
 

mkuu Excel...naomba unieleweshe maana ya hii sentensi..kisha toa hitimisho....

cc: plo lumumba jr, falcon mombasa, Asprin
kisha tazama hii video clip...ujiongeze maarifa..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kubali kwamba yale maelezo yako hayakujibu swali la mleta thread, badala yake ukaanza kuelezea computer vs reality. Swali lilikuwa ni planned vs reality, yaani hivi, pale wanapokuwa ulingoni, je wanakuwa walishapanga mapema kuwa baada ya hiki kitokee hiki AU hakuna mpango wa kabla ya mechi ila kila mtu ndo anapigana vile seriously?
 
kuna vidonge huwa wanatumia ili wasichanike hovyo,kwa mwaka mara mbili full dose ni dollar 8000

Swali kwako Chief...
Iko wazi kwamba dawa za kuongeza nguvu au kusaidia performance ya mchezaji kwa namna yoyote ile zinapigwa vita sana michezoni. Marion Jones, Rio Ferdinand, Lance Armstrong na wengine kadhaa wameshatolewa mifano kwamba watu wako serious kwa nyakati tofauti. Naomba unifafanulie kwanini wameruhusu hizo dawa zitumike kwenye mieleka, kama kweli ni mchezo halali??
 
kuna vidonge huwa wanatumia ili wasichanike hovyo,kwa mwaka mara mbili full dose ni dollar 8000

Vinaitwaje hivyo vidonge na wewe umejuaje kuwa hao jamaa huwa wanavitumia ili wasichanike hovyo?

Na vinauzwa wapi kwa dola 8,000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…