ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
mle wanapigana kweli na kuna kanuni zake,vile viti unavyoviona havina uzito kama viti vya darasani kwenu,mle hapigwi mtu nyundo wala mshale,na hawapigi kila sehemu ya mwili,kuna baadhi hawagusi kabisa,mwisho kabisa mazoezi wanayofanya sio ya mwaka moja kama kina cheka,chakula wanachokula pia sio kama cha kina cheka,yaani kwa kifupi hadi mtu unamuona amesimama pale jua amepitia mlolongo mrefu sana cheka wenu anaweza kukata tamaa na pia wataalamu wa viungo na madokta ni wengi sana ndo sababu kila kitu mnaona mnadanganya,huwez fananisha US na TZ
mkuu nimepata mawazo sana kwa hii post yako,, samahani lakin usinielewe vibaya ina maana hao wanaopigwa viti usoni wasipate ata alama na wewe ulielipiwa na mpemba dola 200 ukawaangalie nyie wote ni wanaume?? wataalam naombeni mnisaidie hivi hua kuna zoezi la kukomaza uso?