The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Hivi yeye amesema aliingia akaona UHALISIA,je wewe umeona uhalisia wa WWE kuwa ina uongo au hauna.Mbona tunakuwa na akili fupi sana,wewe ukiona jambo usiloliweza usidhani kuwa wengine hawawezi ndo maana kuna exceptional,kuna watu wanavunja/wanaweka record za dunia katika matukio mbalimbali napo watu wanasema uongo...kama hujui kaa kimya ueleweshwe kama huna uhakika kuwa muwazi sio unakataa tu bila hojaSawa tumeshajua ulikua Marekani.
Sasa tujuze,ni mchezo gani mwingine duniani ambapo refa huwa anaweza pia kupigwa,watu watano kumchangia mtu mmoja,mtu akishindwa ngumi anabeba hata kiti na kumtwanga mwenzake nk. Tena anaye pigwa na kiti,nyundo,rungu nk siku zote hata hatoki damu! Ni akili za kitoto tu zitakutuma useme ile ni real