Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Kwa wapenzi wa wrestling leo ni wrestemania 32, AT&T Stadium huko Texas.
Wababe wanakutana tena TripleH atetea mkanda akipambana na Roman Reigns.
Brock Lesnar anapambana na Dean Ambrose hili ndio pambano la uhakika maana litakuwa No holds street fight.
 
Haya leo Money in the Bank Seth Rollin Vs Roman Reign John Cena Vs AJ
 
Huo mchezo umejaa maigizo mengi na saa zingine na ucheshi ndani yake. Mchezo gani hauna fomula ya kueleweka? Mara wachezaji wakijickia wapige refa,mara cku nyingine mchezaji mmoja anakuwa refa wa pambano linalohusisha hasimu wake mkuu, mara great Khali ambane mtu kichwa hadi damu zichuluzike puani,mara mchezaji aje na nyundo na refa anachukulia poa tu. Na kuna kajamaa kamoja kafupiii kana madevu hivi hata cyo kachezaji kanakujaga kama kapambe kuna cku kalimpiga Big show na kakashinda pambano na kengele ikagongwa ilihali ni kapambe tu!
 
Acheni kubishana upuuzi, huwa mnaangalia ile michezo au mnahadithiwa? Yale ni purely maigizo, na huitaji elimu ya ziada kujua hilo. Labda kama mnapenda kubishana kwaheri....
 
So wataka kusema ile mtu anapigwa RKO juu ya meza ya wale commentators mpaka meza inavunjika ni uongo?? Kama ndio mbona basi wanazichomoaga kwanza zile TV pale mezani? si wangeziacha tu maana hata mtu haumii kweli bali wanaigiza tu
Unajua kirefu cha WWE? Sasa kama unajua E inasimama badala ya Entertainment je kwa kiswahili hilo neno linamaana gani? Jiulize kwanini Basket, football, rugby, boxing zinaitwa sports na siyo entertainment? Nazani umenielewa
Kwa taarifa yako mieleka wanaopigana huwa wanapanga kabla ya mchezo nani ashinde na namna watakavyopigana
 
So mfano yule Zack Ryder kila siku anapigwa yeye tu, yaani nae amekubal kupangiwa script ya kupigwa kila siku?
Seth Rollin alilivunja kundi la THE SHIELD kwa kuwatandika wenzie na kile kiti, unataka kusema kile kiti sio bati ni plastic labda hivyo hakiumi??
K
 
Mkuu ukisubili mtu atokee humu then akubadilishe jinsi unavyoelewa ww kamwe hautaelewa, mieleka ni michezo mizuri sana hasa kwa nchi za wenzetu kwao ni sehemu ya kuburudika kwakuwa ile kitu ni entertainment, kwao unakuta wamejaa uwanja kuangalia vichekesho sembuse mieleka?

Mimi katika makuzi yangu nimekuwa huku napenda sana kuangalia mieleka ila kuna umri fulani nilianza kuhoji baadhi ya maswali mwenyewe badae nikaja nikathibitisha kuwa hawa jamaa wanaigiza, wanachofanya wao ni kupewa script na kufata, na mshindi waga kapangwa kabisa ili kuvutia pambano, mfano utakuta rey mysterio anashinda pambano la watu 3 kati ya randy orton na john cena

Hivo usibishane kwa kuangalia et watu wanaumia ulingoni ile sometimes ipo katika script au ni bahati mbaya coz ata wanaoigiza movie waga wanaumia, kuvunjika mikono, mbavu, miguu nk, na mfano mzuri ni jack chain huyu waga anaumia sana wakat wa kuigiza na pia wapo ambao wanakufa kabisa wakati wanaigiza movie

Ukitaka kufupisha safari ya kujua kipi ni kweli anza kwanza kutofautisha kati ya sports na entertainment then ujiulize kwann mieleka ipo kundi la entertainment na sio sports, wala usitumie energy kubwa kubishana ingia Google tafuta maalifa mwenyewe wala hutobisha tena mkuu

Najua swali kubwa ni kwamba km ni maigizo kwann watu wanajaa ukumbi kuangalia uongo, hapo ni sawa na kwnn watu wanajaa ukumbi kuangalia vichekesho, wenzetu wamepiga hatua sana kwenye technology ndomana unaambiwa don't try this at home, naww utataka uruke kweny meza ya mninga wakat wenzio wanatumia Cyprus

Na kabla mchezaji hujafikia hatua ya kuingia wwe ile ni professional wrestling waga kuna ngazi za chini lazima kwanza upitie ndo upate cheti cha kucheza professional km kina cena, Olympic ni mkusanyiko wa sports zote za ukweli hujawahi jiuliza kwnn mieleka haipo? Anyway naomba niishie hapo mambo mengi yapo Google ingia ujifunze na at km utajua ni maigizo wala sio reason ya kuacha kuangalia coz wazungu wanajua km ni maigizo ila bado wanajaa ukumbini kupata burudani
 
Wrestling is scripted,mkitaka uhakika someni hizi makala wikipedia kayfabe(storyline),sports entertainment,na list of professional wrestling glossary mtaelewa,pia Brock lesnar ana interview you tube ambayo alisema wrestling is not real(ingia you tube andika Brock lesnar wwe is fake)
 
Nilitaka kusema, wengi wenu hapa inaonekana mmezaliwa hivi karibuni.
Kwa wale wahenga nadhani mnakumbuka enzi za mieleka hapa Tanzani.
Kwa sasa mieleka imeshindwa kuchezwa kwakuwa Bodi ya mieleka imeshindwa kutimiza masharti ya mieleka kama kuwa na jukwaa maalum, ambalo ni ghali sana na jukwaa la mieleka moja linafikia thamani ya Tsh, zaidi ya Bilioni moja.
Wakati ule wa mieleka akina Power Bernado. Power Mwanza. Power Chaka. Power Vurumroma, Power Mabura walikuwa wanacheza Mieleka ya Ukweli hapa Tanzania.
Viti vilikuwa vinatumika lakini sio kila kiti, ni viti maalum vya kupigania. Ukiangalia WWE utaona viti vyao wanavyo pigania vinafanana na sio kila kiti.
Katika mapambano ya Mieleka kuna mapambano ya kutumia silaha maalum, zinapitishwa kutumika kama Meza Viti, Rada yaani ngazi nk, na kuna aina ya upigaji wake, hata ile nyundo anayetumia mpinzani wa Underteker (nimemsahau jina) ina aina yake ya utumiaji, ndio maana huioni ikitumika kumtwanga nayo mtu kichwani au kwenye uti wa mgongo.
Kuna mapambano hayatakiwi kutumia silaha, na kuna mapambano hayatakiwi kuingiliwa, wachezaji wanacheza ndani ya wavu wa chuma.
Maana kuna wakati fulani ilikuwa mkicheza pambano na kama kuna mtu kaingilia kumpiga mchezaji X, basi Mchezaji Y anapewa ushindi.
Lakini wajanja wakaingiza hila ya kwamba adui wa mchezaji X anaingilia pambano na kumpiga mchezaji Y ili mchezaji X anyang'anywe ushindi.
Hivyo WWE ikaaamua kuwafunika wachezaji kwenye wavu wa chuma kama wanataka mshindi apatikane bila kusaidiwa na mchezaji mwingine.

MAIGIZO KATIKA MIELEKA.
Kuna kuigiza ndani ya mieleka lakini maigizo yale yanakuwa wakati wa kupanga pambano fulani ili kuvutia mashabiki, kwa mfano.
John Cena anataka kucheza na Rand Orton pambano la ukweli.
Ili kunogesha pambano John Cena ataandaliwa pambano na Rey Masterio, pambalo ambalo linakuwa la ushindani kama kawaida na mshindi atachukua zawadi yaani fedha kama kawaida.
Katikati ya pambano Cena bila kijua, Rand Orton ataingilia Pambano kumpiga John Cena na kumsaidia Ray kushinda pambano hilo, hivyo kuamsha hasira kwa Cena kutaka kulipa kisasi kwa Rand Orton, hapo sasa Pambano halisi linaandaliwa kati ya Cena na Orton.
Mfano hakisi ni pale WWE ilipotaka kuwapambanisha wacheaji ndugu Mart na Jeff hard.
Jeff alikuwa anagoma kucheza na ndugu yake lakini pesa nyingi iliyoandaliwa na WWE ambayo ilimvutia Mart na kutaka kumlazimisha Jeff akubali kupigana naye ili wavute ule mkwanja ama yeye Mart au ndugu yake Jeff.
Hivyo WWE wakafanya Njama kwa kumshirikisha Mart, wakaanda pambano kati ya Jeff na mchezaji mwingine, Jeff akiwa hana habari, katikati ya mchezo ambao Jeff alikalibia kushinda Mart akaingilia kati, akampiga Jeff na kumtolea maneno mengi ya kashfa hadi Jeff akakasirika na kukubali kucheza na kaka yake Mart hard, na wakacheza pambano ambalo liliingiza pesa nyingi kwakuwa liliandaliwa kwa jinsi hiyo, Mart mbaye ni yule kama anachechemea alishinda pambano.
Mieleka ni mchezo halisi ila unambwebwe wakati fulani ili kuhamasisha washabiki na kuingiza pesa nyingi

UHALISIA
Mzungu au mtu mwingine hawezi kupoteza muda wa kwenda kupoteza pesa yake kuangalia utapeli wa michezo wa watu mahali fulani.
Michezo ni kitu halisi, kama Komedi inaandikwa kabisa hii ni Komedi. Kama Bongo Muvi itawajulisha watazamaji wake kuwa hii ni Bongo Muvi.
Na wakati ule wa mieleka ya hapa Tanzania mimi nilikuwa naenda kuangalia na ilikuwa inacheza sawasawa na tunavyoona leo katika WWE, Viti vilitumika pia tena ni vilevile vya WWE, sema sasa hivi wenzetu wameboresha mambo mengi sana.
Kama kuna waliowahi kucheza mieleka, wapo humu JF wanaweza kututhibitishia zaidi ukweli huu.
Kukosolewa kunaruhusiwa.
 
dont get me wrong wengi pia mnaandika lakinoi hamjui kiundsani mnasema tu wanapanga mara uongo au ukweli pleas wanachofanya ni risk wewe usifanye sababu wanatake real riskss...
sio kwamba wanataniana wanapigana kweli na wanaumia kabisa........
kuna scripts ndio kuweka matukio endelevu ambayo yanafanya mchezo uwe mzuri, bila script ingeboa ingekuwa tu fulani amepigan ana fulanikashinda ikaisha..next fulani na fulani...no haina entertainment mwisho wa siku wapo hapo kupigana..so mwisho wa siku bora scripts ziwepo ambazo mwishoni zinawapelekea kupigana uwanjani inakuwa kama story fulani huyu kafanya hiki anasubiri alipe kisasi etc...;

but pamoja na scripts sio kwamba ni uongo au maigizo...kupigana wanapigana na wana take real risak wanaumia wanedna hospita miezi kutibiwa injuries etc

na inachukua miaka kutrain yani mtot anaandaliwa anakuwa anapenda michezo akiwa shule ...wenzetu wana mmfumo mzuri sana..so mwingine anacheza american football mwingine socce etc so baskteball na wrestling....then anayependa wrestling anakuwa trained zaidi akitaka...wenginee wanaanza ukubwani wanatrain develoipment program wanaingia huku....so wanakuwa physicaly ok kupigana...kiafya etc.

tuwe realistic hii sio 1987 kuwa unashangaa movie eti hi kweli au la...mara wanatumia computer mara sijui...sawa sawa unagali mike tyson kampa ngumi mpinzani kashinda kwa K.O af unasema sio kweli ni computer

back agin wanachofanya ni kweli na wanumia...ila sasa how? kila kitu kina trade mark hata silahaa au viti etc wanavopogana wao sio kama mtaaniunampiga mtu anakufa....

by the way ishu za watu kufa sio sana na ni chache.....owe heart alianguka juu wakati anaperfom stunt ya kuingia akkanguka meter kadhaa akapata majeraha akafariki, Eddie Guerero alipata heart attack akiwa uwanjani ila hakufa on the spot ...ni sawa na unacheza mpira unakimbia unaendesha gari ukapata mshtuko wa moyo.......REY Msterio alipiga 619 mtu akaumia ila alifariki nbaadae sio kwamba alikufa kwa kupigwa kiivo....ila death zimetokea bahjati mbaya.....watu wanaumia wanakaa miezi sita au mwaka wanajitibu wanarudi,..wengine wanakuwa forced to retire sababu za kiafya madaktari wamewaambia ni hatari...rejea ADAM COPELAND (EDGE), BRYAN DANIELSON (DANIEL BRYAN) japo amerejea baada ya kupona kabiza na kuruhusiwa na wataalamu.

kuna kitu kinaitwa character katika mchezo watu wana cahracter zao so wanakuwa hivo kila unapowaona...mtu atasema UNDERTAKER(MARK CALAWAY) mchawi(hasa watu wanaamini ushirikina au uwezo wao wa kufikiri na interest iko chini),,,no ni character yake..akiwa na mke wake na watoto wake hawi hivyo......na ndio tunasema scripts either mpinzani anaweza asijue kama sisi mashabiki hatujui ghafla return ....inakuwa shaangwe au kupigwa na butwaa..

watu wakipambana mambo yakawa sivyo kuna dalili za mkuumizana zaid wanaittwa marefa wawazuie au ikiwa zaidi sana vurugu locker room inakuja kuwazuia.....

NoRESERACH NO RIGHT TO SPEAK
nimakuwa mpenzi na nafuatilia tangi 1990's ya mwanzoni sana mpaka leo hii HELL INA CELLIMEISHA na mon day night raaw imeisha smackdown hiyo mbioni.....huwa nashangaa mtu anasema waongo mbona damu hawatoki.....unabaki unashangaa af huyo mtu hata hafuatiliagi au alikuwa anaona tu vipande kidogo ila pia anaona juu juu na kuponda waongo...wakati waangaliaji wa kila siku wanaona watu wanaumia na damu huwa zinatapakaa sana...miaka ya tisini mpaka le..hata tu Roman Reigns alipambana na Brock Lesnar midamu kibao...sasa kwa kuwa hawo watu huwa hawaangalii unaacha tu kumwelewsah maana ashachagua kusema hawatokagi damu au hawaumiagi....

kingine sisi na wa tofuti sana wao watu wa mazoezi mimi mtu wa kawaida tu nina hata JKT sijapitia siwezi fanana nao physic.....ni sawa na mwanajeshi au komandoo n araia wa kawaida,,,kuna tofauti kawaida wale ni maisha yao so ulaji na zoezi tofauti na sisi wa kawaida......msoso wa DROGBA ni tofauti na ......hapa bongo....wenzetu wako mbali kwa kila kitu....

all in all scripts hazifanyi uwe wa uongo bali ndio inakuwa entertainment kama unavoburudika ukiangalia boxing....au soccer.....all in all ni mchezo ila end of it ni kazi yao wanaumia ila kama urafiki unaendelea kama kawa nje ya mieleka...na huwa wanakuwa maadui pia maana ndio upinzani......so dont try this at home shaimaanishi wanacheza au hawaumii...ila usiige maana unaweza umia vibaya na wao wak kwenye field yao ya kazi/

NINGESEMA SAANA ILA nadhani tosha pia..kuna Xavie Woods (AUSTIN WATSON) ni Phd holder yani psychological DR
 
Kuna kitu huwa najiuliza kama mieleka ni uongo, kwanini maelfu ya mashabiki yanajazana ukumbuni kuangalia uongo?

Movie zina Maelf kuliko mieleka, tv shows zina maelf kuliko mieleka, mtu analia mbele ya tv kisa flan kafa kwenye movie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Kujaa uwanjani siyo factor
 
Nikuhakikishie wale jamaa hawapigani hata kidogo, na hawatumii computer yoyote kwenye kuonesha. Bali wanacheza kijanja sana mtazamaji unaona wamepigana kumbe wanagusana gusana tu , chunguza vizuri zile ngumi za one to one utagundua hili yaan ile ngumi haimfikii anayepigwa na yeye anajidai kaumia. Kazi ya refa siyo kuamua bali ndo director wa pale uwanjani ili script iende vizuri . Damu nyingi wanapewa kwenye vi package vidogo au anaikuta pale alipoangukia then anaipasua.. hamna mwanamieleka anayetoka dam na ikaonekana amepasuka sehem na mara nyingi wanakuwa wajanja dam zinatokea kichwani ili nywele zikufiche. Nimetazama mchezo huu kwa mda mrefu hawa jamaa ni professional kweli kweli yaan wana act kujua ni issue ukichanganya na zile lights za ulingoni ndo kabisa ni ngumu kujua..

Jiulize maswali haya .

1. Wakati wa mechi ya kawaida let’s say taker na mysterio mechi inachukua mda mrefu lakini hapo hapo taker anaweza vamia ukumbi akapiga watu kama sita hivi na taa zikiwaka wote wanakuwa chini kila mtu anaugulia maumivu alafu taker amesimama . Hili linawezekanaje?

2. Mtu kama big show anapigwa na myweather kisingizio kwamba dogo mjanja anaruka ruka anakwepa then mwisho big anapigwa, hii ni impossible katika hali ya kawaida

3. Kuna siku Rooney alipiga mwanamieleka tena ki ngumi kimoja tu jamaa chali

4 . Unakuta mtu kama stone cold anaingia na tractor /caterpillar tena limejaa zege anaingia nalo mpaka ndani bila kuonekana, ile anafika anaanza kuharibu vitu jamaa ndo wanajifanya kushtuka na kumzuia inakuwa too late , hii ni joke ya mwaka.

5. Kwenye ndondi za kawaida mtu round ya pili tu keshaumuka mwili tena ndondi wanavaa gloves wakati mieleka siyo lazima lakini mieleka mtu anapigizwa kwenye machuma kingo n.k then mwisho wa pambano anatoka baby face huku akizuga kachokaaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Huu nao ni utani

Hamna sehem yoyote mieleka inatangazwa kama mpira mfano mchezaji bora , tuzo n.k . Hamna maana ile ni watu wanapanga tu

Hayo mambo matano yatafakari ndo ujue hamna mtu anapigana na mwenzie pale bali wanaruka rukiana tu

Mrusha matangazo au match ni wao so wanaamua camera waweke upande upi, kipi kirushwe kipi kikatwe , mara chache wanakuwa exposed kama link hii chini angalia cena na mwenzie wanachofanya

Back
Top Bottom