dont get me wrong wengi pia mnaandika lakinoi hamjui kiundsani mnasema tu wanapanga mara uongo au ukweli pleas wanachofanya ni risk wewe usifanye sababu wanatake real riskss...
sio kwamba wanataniana wanapigana kweli na wanaumia kabisa........
kuna scripts ndio kuweka matukio endelevu ambayo yanafanya mchezo uwe mzuri, bila script ingeboa ingekuwa tu fulani amepigan ana fulanikashinda ikaisha..next fulani na fulani...no haina entertainment mwisho wa siku wapo hapo kupigana..so mwisho wa siku bora scripts ziwepo ambazo mwishoni zinawapelekea kupigana uwanjani inakuwa kama story fulani huyu kafanya hiki anasubiri alipe kisasi etc...;
but pamoja na scripts sio kwamba ni uongo au maigizo...kupigana wanapigana na wana take real risak wanaumia wanedna hospita miezi kutibiwa injuries etc
na inachukua miaka kutrain yani mtot anaandaliwa anakuwa anapenda michezo akiwa shule ...wenzetu wana mmfumo mzuri sana..so mwingine anacheza american football mwingine socce etc so baskteball na wrestling....then anayependa wrestling anakuwa trained zaidi akitaka...wenginee wanaanza ukubwani wanatrain develoipment program wanaingia huku....so wanakuwa physicaly ok kupigana...kiafya etc.
tuwe realistic hii sio 1987 kuwa unashangaa movie eti hi kweli au la...mara wanatumia computer mara sijui...sawa sawa unagali mike tyson kampa ngumi mpinzani kashinda kwa K.O af unasema sio kweli ni computer
back agin wanachofanya ni kweli na wanumia...ila sasa how? kila kitu kina trade mark hata silahaa au viti etc wanavopogana wao sio kama mtaaniunampiga mtu anakufa....
by the way ishu za watu kufa sio sana na ni chache.....owe heart alianguka juu wakati anaperfom stunt ya kuingia akkanguka meter kadhaa akapata majeraha akafariki, Eddie Guerero alipata heart attack akiwa uwanjani ila hakufa on the spot ...ni sawa na unacheza mpira unakimbia unaendesha gari ukapata mshtuko wa moyo.......REY Msterio alipiga 619 mtu akaumia ila alifariki nbaadae sio kwamba alikufa kwa kupigwa kiivo....ila death zimetokea bahjati mbaya.....watu wanaumia wanakaa miezi sita au mwaka wanajitibu wanarudi,..wengine wanakuwa forced to retire sababu za kiafya madaktari wamewaambia ni hatari...rejea ADAM COPELAND (EDGE), BRYAN DANIELSON (DANIEL BRYAN) japo amerejea baada ya kupona kabiza na kuruhusiwa na wataalamu.
kuna kitu kinaitwa character katika mchezo watu wana cahracter zao so wanakuwa hivo kila unapowaona...mtu atasema UNDERTAKER(MARK CALAWAY) mchawi(hasa watu wanaamini ushirikina au uwezo wao wa kufikiri na interest iko chini),,,no ni character yake..akiwa na mke wake na watoto wake hawi hivyo......na ndio tunasema scripts either mpinzani anaweza asijue kama sisi mashabiki hatujui ghafla return ....inakuwa shaangwe au kupigwa na butwaa..
watu wakipambana mambo yakawa sivyo kuna dalili za mkuumizana zaid wanaittwa marefa wawazuie au ikiwa zaidi sana vurugu locker room inakuja kuwazuia.....
NoRESERACH NO RIGHT TO SPEAK
nimakuwa mpenzi na nafuatilia tangi 1990's ya mwanzoni sana mpaka leo hii HELL INA CELLIMEISHA na mon day night raaw imeisha smackdown hiyo mbioni.....huwa nashangaa mtu anasema waongo mbona damu hawatoki.....unabaki unashangaa af huyo mtu hata hafuatiliagi au alikuwa anaona tu vipande kidogo ila pia anaona juu juu na kuponda waongo...wakati waangaliaji wa kila siku wanaona watu wanaumia na damu huwa zinatapakaa sana...miaka ya tisini mpaka le..hata tu Roman Reigns alipambana na Brock Lesnar midamu kibao...sasa kwa kuwa hawo watu huwa hawaangalii unaacha tu kumwelewsah maana ashachagua kusema hawatokagi damu au hawaumiagi....
kingine sisi na wa tofuti sana wao watu wa mazoezi mimi mtu wa kawaida tu nina hata JKT sijapitia siwezi fanana nao physic.....ni sawa na mwanajeshi au komandoo n araia wa kawaida,,,kuna tofauti kawaida wale ni maisha yao so ulaji na zoezi tofauti na sisi wa kawaida......msoso wa DROGBA ni tofauti na ......hapa bongo....wenzetu wako mbali kwa kila kitu....
all in all scripts hazifanyi uwe wa uongo bali ndio inakuwa entertainment kama unavoburudika ukiangalia boxing....au soccer.....all in all ni mchezo ila end of it ni kazi yao wanaumia ila kama urafiki unaendelea kama kawa nje ya mieleka...na huwa wanakuwa maadui pia maana ndio upinzani......so dont try this at home shaimaanishi wanacheza au hawaumii...ila usiige maana unaweza umia vibaya na wao wak kwenye field yao ya kazi/
NINGESEMA SAANA ILA nadhani tosha pia..kuna Xavie Woods (AUSTIN WATSON) ni Phd holder yani psychological DR
Nikuhakikishie wale jamaa hawapigani hata kidogo, na hawatumii computer yoyote kwenye kuonesha. Bali wanacheza kijanja sana mtazamaji unaona wamepigana kumbe wanagusana gusana tu , chunguza vizuri zile ngumi za one to one utagundua hili yaan ile ngumi haimfikii anayepigwa na yeye anajidai kaumia. Kazi ya refa siyo kuamua bali ndo director wa pale uwanjani ili script iende vizuri . Damu nyingi wanapewa kwenye vi package vidogo au anaikuta pale alipoangukia then anaipasua.. hamna mwanamieleka anayetoka dam na ikaonekana amepasuka sehem na mara nyingi wanakuwa wajanja dam zinatokea kichwani ili nywele zikufiche. Nimetazama mchezo huu kwa mda mrefu hawa jamaa ni professional kweli kweli yaan wana act kujua ni issue ukichanganya na zile lights za ulingoni ndo kabisa ni ngumu kujua..
Jiulize maswali haya .
1. Wakati wa mechi ya kawaida let’s say taker na mysterio mechi inachukua mda mrefu lakini hapo hapo taker anaweza vamia ukumbi akapiga watu kama sita hivi na taa zikiwaka wote wanakuwa chini kila mtu anaugulia maumivu alafu taker amesimama . Hili linawezekanaje?
2. Mtu kama big show anapigwa na myweather kisingizio kwamba dogo mjanja anaruka ruka anakwepa then mwisho big anapigwa, hii ni impossible katika hali ya kawaida
3. Kuna siku Rooney alipiga mwanamieleka tena ki ngumi kimoja tu jamaa chali
4 . Unakuta mtu kama stone cold anaingia na tractor /caterpillar tena limejaa zege anaingia nalo mpaka ndani bila kuonekana, ile anafika anaanza kuharibu vitu jamaa ndo wanajifanya kushtuka na kumzuia inakuwa too late , hii ni joke ya mwaka.
5. Kwenye ndondi za kawaida mtu round ya pili tu keshaumuka mwili tena ndondi wanavaa gloves wakati mieleka siyo lazima lakini mieleka mtu anapigizwa kwenye machuma kingo n.k then mwisho wa pambano anatoka baby face huku akizuga kachokaaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Huu nao ni utani
Hamna sehem yoyote mieleka inatangazwa kama mpira mfano mchezaji bora , tuzo n.k . Hamna maana ile ni watu wanapanga tu
Hayo mambo matano yatafakari ndo ujue hamna mtu anapigana na mwenzie pale bali wanaruka rukiana tu
Mrusha matangazo au match ni wao so wanaamua camera waweke upande upi, kipi kirushwe kipi kikatwe , mara chache wanakuwa exposed kama link hii chini angalia cena na mwenzie wanachofanya