Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

Kampuni ya Azimio ni ya nani???? Wabia wake ni kina nani??? Tuanzie hapo ndo wengine tunaojua fika ufisadi wa kihuni ulivyofanyika tushushe upupu!
Hiyo ni point muhimu. ni nadra awamu iliyopita miradi mikubwa inaondoka bila kifuru. haya mambo ya kuja jf kujiulizisha na kujijibu yanahitaji kukoma.kama hakuna uchafu kuweweseka kwa nini
 
Je mkataba ukimpelekea kwa AG kwa authenticication kama utaratibu unavyotaka? Kama LA,ni kwanini walokwepa hilo,dau jizi tu
 
Kumtetea Dau kivip?

Sasa wewe ukitakaje tusisimamie ukweli na tuwaache nyinyi mkifanya character assassination kwa mtu kama Dau ambae kayafanyia makubwa nchi hii hususan hapo Nssf?
 
Je mkataba ukimpelekea kwa AG kwa authenticication kama utaratibu unavyotaka? Kama LA,ni kwanini walokwepa hilo,dau jizi tu
mi sijui kama utaratibu inatakiwa uende kwa CAG ukabarikiwe,na kwamba haukwenda..

Nachojua tumepangua uongo uliotengezwa na watu wanaodhani watanzania wote hawana akili,

NSSF haijawahi kununua hekali moja kwa milioni 800
 
Tofautisha AG NA CAG,pia Nssf haikununua Bali waliingia ubia kwa thamani ya Tshs 800m kwa hekta ndiko wizi wa dau ulipo
 
Kumtetea Dau kivip?

Sasa wewe ukitakaje tusisimamie ukweli na tuwaache nyinyi mkifanya character assassination kwa mtu kama Dau ambae kayafanyia makubwa nchi hii hususan hapo Nssf?
Kweli dau kafanya makubwa maana upigaji huu haujawahi kutokea nchini tangu ipate uhuru
 
Inawezekana pia Waliosema NSSF imenunua Kiwanja Kigamboni kwa Million 800 Wana uelewa Kama wako!
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.
 
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.

Haya majinga hayataki kuelewa hilo yanang'ang'ania Nssf nimenunua shwaini hawa hebu waeleweshe mkuu
 
sio kununua tu..eneo wanalo...why walienda kukimbilia eneo la Akbar?

Mkuu Rejao nilijua umerest in pisi
 
Haya majinga hayataki kuelewa hilo yanang'ang'ania Nssf nimenunua shwaini hawa hebu waeleweshe mkuu
Mkuu wabongo na nyumbu hatuna tofauti. Mtu hajiulizi mara mbili, tayari anakurupuka, na akikurupuka mmoja wengi wanafuata. Tusamehane tu!
 
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.

Nashukuru kwa kuwa Muungwana kukiri kuwa Zile habari za kusema NSSF imenunua Kiwanja kwa Tsh 800 Million Kigamboni si za kweli!

Suala la umuhimu wa kununua au kutonunua ni opinion na zinatofautiana na hata wao wanaweza kuzitetea.

Mwisho kabisa Tujitahidi tujue Breakdown au content zilizopo kwny Kila Kiwanja kiasi cha kutajwa ni Million mia nane kwa heka ili Tuone 'Uzembe na Ufisadi' huo wa Dr. Dau. Hata JPM mwanzo nae alistuka kusikia kuwa kiwanja kimenunuliwa Million 800 baada ya kujua ukweli upi na Uongo upi akaamua Dkt Ramadhan Kitwana Dau aende Malaysia kuwa Balozi
 
kiwanja cha milioni 25kigamboni ongeza 35%ambayo mhindi wa azimio hajatoa hata kumi kinampa haki ya kumiliki 55% ya Mali za wafanyakazi masikini wa Tanzania huku vilaza wa uvccm wakija huku kutetea utumbo na kujiita wazalendo?
 
Tofautisha AG NA CAG,pia Nssf haikununua Bali waliingia ubia kwa thamani ya Tshs 800m kwa hekta ndiko wizi wa dau ulipo
bado inakataa mkuu,milion 800 zidisha kwa heka 20000 sawa na sh bilion 1600 kama sikosei,hiyo hela inazidi hela za mtaji wote wa mradi,so haiwezekani
 
kiwanja cha milioni 25kigamboni ongeza 35%ambayo mhindi wa azimio hajatoa hata kumi kinampa haki ya kumiliki 55% ya Mali za wafanyakazi masikini wa Tanzania huku ****** wa uvccm wakija huku kutetea utumbo na kujiita wazalendo?
kwanza mradi bado ndo kwanza unaelekea kumaliza phase one,azimio katoa kiwanja,na katoa karibu bilioni 12,
hata kama hawatatimiza it means NSSF watakuwa na hisa nyingi kuzidi azimio ,si ni mambo ya hisa bana
 
dawa ya magonjwa yote haya ni upinzani kushika dola. basi.

kuendelea kuwa-recycle watu wale wale kwa kuwapa chokaa is a f....g waste of space!

Unajua CCM sio kwamba inapendwa bali , ni aina ya upinzani mfano mbowe,lowasa ,karamagh, rostam, sumay.. Wanatofauti gani na ccm
 
Hiyo ni point muhimu. ni nadra awamu iliyopita miradi mikubwa inaondoka bila kifuru. haya mambo ya kuja jf kujiulizisha na kujijibu yanahitaji kukoma.kama hakuna uchafu kuweweseka kwa nini
kampuni ni Entity inayojitegemea,na iliingia ubia kihalali kupitia mpango wa public private partinership(PPP),
 
NSSF haikununua kiwanja, hilo ni wazi, ila imeingia ubia wa kizembe na kifasadi. Hakukuwa na umuhimu wa kuingia ubia wa namna hiyo kwani viwanja sehemu hiyo vingi vingi na bei nzuri.
waliingia ubia ndani ya mpango wa PPP,
So wako within the law bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…