Yani jambo lina faida alafu liachwe? Wahi milembeMimi Ni CCM kindakindaki,, Hili dude tuliache tuuu.Hata Kama linafaida.
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Swali la kijinga kabisa hilo! Ni kama Mkuu wa propaganda wa CCM Sophia Mjema aliyeuliza eti bandari kama imeuzwa itawekwa mfuko wa aina gani?Umewauliza anauzaje?
Hao ni mawakala wa Prof Tibaijuka wakiwa kazini. Na wapo wengi sana humu jukwaani.Yani jambo lina faida alafu liachwe? Wahi milembe
Unajidanganya tu.Umepita kona gani?.Hivyo vipengele walivyoviona majaji vitarekebishwa lakini sio mawazo yenu nyinyij tuwaache Ruwanda wawe bandari bila bahari na sisi tubaki na bandari iwe ya wavuvi wa dagaa.Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Siku ukitoka kwa shemeji yako utaelewa anauzaje.Umewauliza anauzaje?
Ulimaliza la saba?Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.
Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.
Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.
Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Kama swali la kijinga kwa nini mnasema imeuzwa? Thibitisheni huo uuzwajiSwali la kijinga kabisa hilo! Ni kama Mkuu wa propaganda wa CCM Sophia Mjema aliyeuliza eti bandari kama imeuzwa itawekwa mfuko wa aina gani?
Msidhanie wananchi ni mbumbumbu kama zamani, shule hizi za kata zimezalisha wengi tuu mitaani ambao wana uwezo wa kuhoji na kudadisi.
Ndo jibu lenu sio? Sasa tukisema nyie wehu mnabishaSiku ukitoka kwa shemeji yako utaelewa anauzaje.
Tatizo jingine la wajuaji ni hili hapa, kuleta dharau hata kwa watu wasiowajua.Ulimaliza la saba?
Hawawezi kuuweka wazi ushahidi wowote wa mauzo zaidi ya kuongea kwa hisia na mapovu tu.Kama swali la kijinga kwa nini mnasema imeuzwa? Thibitisheni huo uuzwaji
Ni wajinga fulani waliojawa na depression tuHawawezi kuuweka wazi ushahidi wowote wa mauzo zaidi ya kuongea kwa hisia na mapovu tu.
Kwahiyo huo mkataba umeingia bungeni kwakuwa ni wa kimataifa, ila kwenda kwenye mahakama zetu sio za kimataifa? Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.
Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.
Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.
Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Stop that shits,watu walioko busy kwenye mitandao kuhusiana na masuala ya siasa hawafikii asilimia 5 ya watumiaji wa Simu za kuparaza,tu wachache mno!,wengi au 95%of users wako na mambo mengine kabisa!,kama insta,udaku,umbea and likes! Hapa pana 60%.Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika
Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Wakati Magufuli anasema mbele yenu CCM kuwa gas yetu imeuzwa, alimuonyesha nani transaction ya hayo mauzo kama udhibitisho?Kama swali la kijinga kwa nini mnasema imeuzwa? Thibitisheni huo uuzwaji
Kwahiyo kwakuwa hakuna watu wengi humu, basi ni kuwa suala hilo halina utata? Wingi wa watu humu mitandaoni ndio kipimo cha watu kujua utata wa huo mkataba?Stop that shits,watu walioko busy kwenye mitandao kuhusiana na masuala ya siasa hawafikii asilimia 5 ya watumiaji wa Simu za kuparaza,tu wachache mno!,wengi au 95%of users wako na mambo mengine kabisa!
Sahivi hakuna mtu anamtaka tena zaidi ya wapambe wake wachacheSijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.