Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Wewe utakuwa shoqer
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.
Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.
Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.
Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.