Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

Wewe utakuwa shoqer
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.

Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.

Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.

Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
 
Kumbuka kuwa wanaoitakia Tanzania mema wote tupo na mama Samia Suluhu.

Wale mnaompinga tupingane kiheshima bila kutukana. Kwa matusi yenu hamuitakii mema JF wala wenye JF.
Peleka uajuza wako lumumba m.fuvck.
 
Kumbuka kuwa wanaoitakia Tanzania mema wote tupo na mama Samia Suluhu.

Wale mnaompinga tupingane kiheshima bila kutukana. Kwa matusi yenu hamuitakii mema JF wala wenye JF.
Wapi hapo nimetukana au ule udini na ujinga wako unakusumbua ? kusema hatumtaki ni tusi? jinga sn wewe
 
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.

Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.

Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.

Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Asantee
 
Wapi hapo nimetukana au ule udini na ujinga wako unakusumbua ? kusema hatumtaki ni tusi? jinga sn wewe
Kuna sehemu nimekutaja wewe kuwa umetukana? Pitia uzi huu halafu useme hakuna post zilizo tukana.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wewe uliamini hayo maneno? Sijawahi kuamini maneno ya kijinga mie
Kama gas ni yetu kwa nini tumeshindwa kui utilize kwa matumizi yetu muhimu yanayohitaji nishati kubwa kama kuzalisha umeme?
 
Kinyerezi 1, 2 na 3 zinatumia nini kuzalisha umeme?
 
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.

Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa

Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika

Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Hilo halina ubishi ndio maama wamehamia kwenye matumizi ya mitutu.

Kwnye hoja chaliii!!
 
Back
Top Bottom