Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
mawakala wa vyama wanakua wapi muda huo,au nawao wanauza kama bi maza alivyouza kwa DP?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kukaa kwako kimya wakati ule, nawe uliungana na mashetaniKuna kitu huwa hakizungumzwi, huenda it's no More classified Sasa, Wacha nikiseme tu. Walimu na baadhi ya watu walifungiwa kwenye vyuo vya ualimu, vyuo vya kawaida na baadhi ya kumbi ambazo ziliteuliwa Kwa KAZI hio tu na KAZI kubwa ilikua ni kuweka tick kwenye kura hizo.
Walikua hawaruhusiwi kuingia na simu, walikuta Kila kitu kimeandaliwa including chai, chakula na hizo kura feki. Hizi ndio zile baadhi zilikamatwa Kawe na kwingine.
Wakisoma hapa watashangaa tungejuaje ila tulijua tukakaa kimya, baadhi ya hizo stations ilikua ni korogwe, shinyanga na ukumbi wa Baraza la mitihani..... Kwa uchache.
Umewahi kusimamia uchaguzi?mawakala wa vyama wanakua wapi muda huo,au nawao wanauza kama bi maza alivyouza kwa DP?
Idiot, post ya kijinga. CCM hatujawahi kuiba kura, huwa tunapita kimtelezo na wananchi wanatukubali kwa 100%. Wapinzani uchwara tafuteni mbinu nyingine na visingizio. Naona mnaanza kutapa tapa baada ya kuona rais Dkt Samia anaelekea kuwagalagaza kwenye uchaguzi 2025.Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.
Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.
Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.
Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?
Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?
Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?
Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.
Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za Ccm, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.
Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.
Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na Ccm muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo Ccm ni kifo cha mende chaliii.
Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Kumbuka baadhi ya mawakala walitekwa sehemu mbalimbali nchini wengine walitishwa na dola na wengi wao kwa maelfu waliletewa zengwe wasiingie kwenye vyumba vya kupigia kura.mawakala wa vyama wanakua wapi muda huo,au nawao wanauza kama bi maza alivyouza kwa DP?
Alisikika Malaya Moja akisemaKazi ya Mungu haina makosa.
ndio.Umewahi kusimamia uchaguzi?
Mungu mwenye haki anaona dhamira yako na dhamiri pia kama ulichoandika sio mzaha basi Mungu akupe maisha marefu ili siku moja ccm ikae upande wa upinzani ! Ombeni sana wapinzani wasijelipa kisasi!Idiot, post ya kijinga. CCM hatujawahi kuiba kura, huwa tunapita kimtelezo na wananchi wanatukubali kwa 100%. Wapinzani uchwara tafuteni mbinu nyingine na visingizio. Naona mnaanza kutapa tapa baada ya kuona rais Dkt Samia anaelekea kuwagalagaza kwenye uchaguzi 2025.
CHADEMA baada ya Uchaguzi feki wa 2020 hawajawahi kushiriki Uchaguzi mdogo hata mmoja. Acha kujiongezea akili ambazo huna Zuzu wewe.Dalili za kulamba chakula cha nyuki ni kukwepa kutia timu majimbo 14 ya uchaguzi!!!
Wasitie timu na uchaguzi Mkuu ujao maana Ofisi ya msimamizi ni Ile ile!CHADEMA baada ya Uchaguzi feki wa 2020 hawajawahi kushiriki Uchaguzi mdogo hata mmoja. Acha kujiongezea akili ambazo huna Zuzu wewe.
Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.Idiot, post ya kijinga. CCM hatujawahi kuiba kura, huwa tunapita kimtelezo na wananchi wanatukubali kwa 100%. Wapinzani uchwara tafuteni mbinu nyingine na visingizio. Naona mnaanza kutapa tapa baada ya kuona rais Dkt Samia anaelekea kuwagalagaza kwenye uchaguzi 2025.
Kama umewahi kusimamia uchaguzi unajuwa ni kwa nini walimu ndio wasimamizi? Na unajuwa kwamba Msimamizi msaidizi analetwa na Ccm?ndio.
Upinzani ni viroboto na wajinga sana, hakuna mtanzania atakayekuja kuwaamini na it will never happen vibaraka wa mabeberu kutawala hii nchi.Mungu mwenye haki anaona dhamira yako na dhamiri pia kama ulichoandika sio mzaha basi Mungu akupe maisha marefu ili siku moja ccm ikae upande wa upinzani ! Ombeni sana wapinzani wasijelipa kisasi!
Kote umeeleza vizuri Ila naomba nikusahihishe sehemu moja. Hakuna Jimbo la kimkakati lililotolewa Kwa upinzani. Mtwara na Nkasi yaliyotwaliwa na wapinzani kilichoshindikana ni Polisi kutoshirikishwa baada kushindwa kuelewana na DC na DSO àmbao ndo waliopewa kusimamia uingizaji Kura feki kwenye vyumba vya kupigia Kura. Mkakati wa kutumia Watendaji Kata ilikuwa ni second alternative na wangehusika kwenye majumuisho ya Kura kama ulivyosema. Kitendo cha wagombea kwenye Majimbo hayo mawili kutokuwa na mahusiano mazuri na Wakurugenzi na Watendaji wengine wa serikali kilisaidia kutangaza matokeo halisi na Watendaji Kata kutotumika kubadilisha fomu za majumuisho.Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.
Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.
Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.
Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?
Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?
Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?
Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.
Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za Ccm, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.
Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.
Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na Ccm muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo Ccm ni kifo cha mende chaliii.
Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Hakuna uchaguzi uliokuwa huru na wa haki kama ule wa 2020. Acheni visingizio, tukiwauliza nyie wapinzani ajenda yenu 2015-2020 ilikuwa nini??? Kwa ufupi hamkuwa na ajenda zaidi ya kutukana viongozi wa serikali. Hata sasa tuwaulize 2020-2025 ajenda yenu ni nini???? Kwa ufupi hamna ajenda na eti mlivyo wajinga na wapumbavu mnategemea mpate kura wakati sisi CCM ajenda zetu tunatekeleza kwa vitendo na mwenyekiti wetu Dkt Samia anakubalika kwa 100%.Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.
Kura zinaibiwa kwenye majumuisho ya mwisho kwa Afisa Mtendaji Kata.Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.