Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Kwa kukaa kwako kimya wakati ule, nawe uliungana na mashetani
 
Idiot, post ya kijinga. CCM hatujawahi kuiba kura, huwa tunapita kimtelezo na wananchi wanatukubali kwa 100%. Wapinzani uchwara tafuteni mbinu nyingine na visingizio. Naona mnaanza kutapa tapa baada ya kuona rais Dkt Samia anaelekea kuwagalagaza kwenye uchaguzi 2025.
 
Mungu mwenye haki anaona dhamira yako na dhamiri pia kama ulichoandika sio mzaha basi Mungu akupe maisha marefu ili siku moja ccm ikae upande wa upinzani ! Ombeni sana wapinzani wasijelipa kisasi!
 
CHADEMA baada ya Uchaguzi feki wa 2020 hawajawahi kushiriki Uchaguzi mdogo hata mmoja. Acha kujiongezea akili ambazo huna Zuzu wewe.
Wasitie timu na uchaguzi Mkuu ujao maana Ofisi ya msimamizi ni Ile ile!
 
Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.
 
Kama umewahi kusimamia uchaguzi unajuwa ni kwa nini walimu ndio wasimamizi? Na unajuwa kwamba Msimamizi msaidizi analetwa na Ccm?

Umeshawahi kuingia kwa Afisa Mtendaji kwenye majumuisho ya kura za Kata nzima?

Kwenye majumuisho hakuna kuhesabu kura Bali ni fomu na matokeo yake na pale ndio vinapoubuka vituo hewa.

Kitu kama hujui kaa kimya, naandika kitu ninachokijuwa vizuri, Nina rafiki zangu ni viongozi wakubwa Ccm hawajuwagi tu kama sina mpango na liccm lao ila tuna mambo yetu nakula na vipofu, nikikwambia jambo zito kuhusu Ccm ni bona fide genuine.
 
Mungu mwenye haki anaona dhamira yako na dhamiri pia kama ulichoandika sio mzaha basi Mungu akupe maisha marefu ili siku moja ccm ikae upande wa upinzani ! Ombeni sana wapinzani wasijelipa kisasi!
Upinzani ni viroboto na wajinga sana, hakuna mtanzania atakayekuja kuwaamini na it will never happen vibaraka wa mabeberu kutawala hii nchi.
 
Hapa ndipo unapogundua kuwa watanzania ni wajinga kupita kiasi.

Hivi mna akili kweli nyie.

Tuseme tumekubali Magi aliiba kura, Kwa maana hiyo bila kufanya hivyo asingeshinda hivyo huyu mnaemsifia kuwa kawaoko asingekuwepo si ndio?

Mtu anaepobda wizi wa kura na kururahia hangaya kuwepo madarakani anahitaji msaada wa daktari.

Badala mzungumzie uuzwaji wa nchi mko busy kumjadili marehemu ambaye kama angekuwepo huu upuuzi wa kuuza bandari usingekuwepo
 
Kote umeeleza vizuri Ila naomba nikusahihishe sehemu moja. Hakuna Jimbo la kimkakati lililotolewa Kwa upinzani. Mtwara na Nkasi yaliyotwaliwa na wapinzani kilichoshindikana ni Polisi kutoshirikishwa baada kushindwa kuelewana na DC na DSO àmbao ndo waliopewa kusimamia uingizaji Kura feki kwenye vyumba vya kupigia Kura. Mkakati wa kutumia Watendaji Kata ilikuwa ni second alternative na wangehusika kwenye majumuisho ya Kura kama ulivyosema. Kitendo cha wagombea kwenye Majimbo hayo mawili kutokuwa na mahusiano mazuri na Wakurugenzi na Watendaji wengine wa serikali kilisaidia kutangaza matokeo halisi na Watendaji Kata kutotumika kubadilisha fomu za majumuisho.
 
Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.
Hakuna uchaguzi uliokuwa huru na wa haki kama ule wa 2020. Acheni visingizio, tukiwauliza nyie wapinzani ajenda yenu 2015-2020 ilikuwa nini??? Kwa ufupi hamkuwa na ajenda zaidi ya kutukana viongozi wa serikali. Hata sasa tuwaulize 2020-2025 ajenda yenu ni nini???? Kwa ufupi hamna ajenda na eti mlivyo wajinga na wapumbavu mnategemea mpate kura wakati sisi CCM ajenda zetu tunatekeleza kwa vitendo na mwenyekiti wetu Dkt Samia anakubalika kwa 100%.
 
Vituo vya kupigia kura viwe wazi ili wapiga kura wawe wanaona kinachoendelea na zihesabiwe na kutangazwa hadharani mbele ya wapiga kura na matokeo yabandikwe kwenye mbao za matangazo ili kumaliza ubishi.
Kura zinaibiwa kwenye majumuisho ya mwisho kwa Afisa Mtendaji Kata.

Ukitaka kuidhibiti Ccm lazima uhakika vituo, ni lazima uwe na mawakala waaminifu vituo vyote, uwape chakula na posho.

Upate nakala za fomu za vituo vyote kwa wakati muwe tallying center yenu, mkishafanya majumuisho yenu kama mmeisha sasa vibe linahahamia kwa Mtendaji atangaze matokeo, hiyo ni udiwani.

Ubunge Kata zote zina peleka matokeo kwa Mkurugenzi, Ki ukweli kama mawakala wana njaa mnapigwa tu.
 
Na sasa ndo mmeibiwa nchi kabisa, mtachuja wenyewe
 
Mbona hukusema wakati bado yuko hai? Upande wa pili tumuulize nani sasa? Acha unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…