Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.

Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.

Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.

Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?

Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?

Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?

Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.

Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za CCM, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.

Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.

Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na CCM muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo CCM ni kifo cha mende chaliii.

Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Sasa kama ushaidi upo na mna uhakika, kwanini CHADEMA haijafungua kesi mpaka leo!
 
Attachments

  • Magufuli.jpg
    Magufuli.jpg
    133.3 KB · Views: 6
Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.

Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Mbaazi ikikosa maua, husingizia jua!. Asiyekubali kushindwa sii mshindani. Licha ya changamoto ndogo ndogo, lakini
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!. TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!
P
 
Nahisi wewe ni mamluki unatumwa na mafisadi kueneza propaganda za kumchafua magufuli

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Umeme hakuna,
Maji hakuna,
Cemnt 20,000
Mafuta elfu 4,000
Bandari imeenda
Loriondo imeenda
Bei za vyakula juu
Ufisadi juu

Ni taahira na mpumbavu anaeweza kusema taifa limepona.
Huku ile nyumba aliyohongwa hawara bado haijarejeshwa
 
Kuna kitu huwa hakizungumzwi, huenda it's no More classified Sasa, Wacha nikiseme tu. Walimu na baadhi ya watu walifungiwa kwenye vyuo vya ualimu, vyuo vya kawaida na baadhi ya kumbi ambazo ziliteuliwa Kwa KAZI hio tu na KAZI kubwa ilikua ni kuweka tick kwenye kura hizo.

Walikua hawaruhusiwi kuingia na simu, walikuta Kila kitu kimeandaliwa including chai, chakula na hizo kura feki. Hizi ndio zile baadhi zilikamatwa Kawe na kwingine.

Wakisoma hapa watashangaa tungejuaje ila tulijua tukakaa kimya, baadhi ya hizo stations ilikua ni korogwe, shinyanga na ukumbi wa Baraza la mitihani..... Kwa uchache.
Mkuu, kuna siku tulipita Masaki na polisi afisa moja, alinionyesha jumba kubwa, akaniambia lilikuwa la majumuisho ya kura fake.

Aliongea kwa masikitiko ssna kilichofanyika kiliwaumiza hatacwao lkn hawakuwa na ucjaguzi zaidi ya kutiii
 
Kama umewahi kusimamia uchaguzi unajuwa ni kwa nini walimu ndio wasimamizi? Na unajuwa kwamba Msimamizi msaidizi analetwa na Ccm?

Umeshawahi kuingia kwa Afisa Mtendaji kwenye majumuisho ya kura za Kata nzima?

Kwenye majumuisho hakuna kuhesabu kura Bali ni fomu na matokeo yake na pale ndio vinapoubuka vituo hewa.

Kitu kama hujui kaa kimya, naandika kitu ninachokijuwa vizuri, Nina rafiki zangu ni viongozi wakubwa Ccm hawajuwagi tu kama sina mpango na liccm lao ila tuna mambo yetu nakula na vipofu, nikikwambia jambo zito kuhusu Ccm ni bona fide genuine.
Kwenye majumuisho hakuna kuhesabu kura Bali ni fomu na matokeo yake na pale ndio vinapoubuka vituo hewa.[emoji419][emoji375] nakazia
 
Nlicho jifunza kupitia post hii...... watu wengi wanafahamu ukweli namba na jinsi uchaguzi uchwara unavyo endesha ....nishauri tu bila tume huru na katiba mpya tunajitekenya wenyewe hawa ccm hawaachii nchi kuputia makaratasi tuamkeni
 
Mkuu, kuna siku tulipita Masaki na polisi afisa moja, alinionyesha jumba kubwa, akaniambia lilikuwa la majumuisho ya kura fake.

Aliongea kwa masikitiko ssna kilichofanyika kiliwaumiza hatacwao lkn hawakuwa na ucjaguzi zaidi ya kutiii
Da hii nchi ngumu sana Ndugu yangu
 
Wanasiasa jifunzeni kufanya mema mkiwa hai, maisha ya duniani ni mafupi sana kuliko mnavyofikiri
 
Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.

Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.

Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.

Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?

Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?

Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?

Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.

Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za CCM, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.

Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.

Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na CCM muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo CCM ni kifo cha mende chaliii.

Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Weka evidence
 
Back
Top Bottom