Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Umeme hakuna,
Maji hakuna,
Cemnt 20,000
Mafuta elfu 4,000
Bandari imeenda
Loriondo imeenda
Bei za vyakula juu
Ufisadi juu


Ni taahira na mpumbavu anaeweza kusema taifa limepona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] taifa limepona wewe ule ushetani ulikuwa siyo wa kawaida ni shetani tu anaweza kumuelewa yule mtu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] taifa limepona wewe ule ushetani ulikuwa siyo wa kawaida ni shetani tu anaweza kumuelewa yule mtu.
Taifa limepona wapi wakati kila kitu kipo ovyo watanzania kama wewe ni wa kupigwa fimbo kwa sababu mnarudisha nchi nyuma.
 
Kama huweki evidence wewe ni kama kichaa anayeropoka na kama mngekuwa na evidence mngependa mahakamani.
 
Magufuli ni shetani kwenye umbo la binadamu na kwakuwa kafa utabiri wake wa kuongoza malaika Mungu amempa kuongoza majini. Maana Mbinguni hapamfai.
Wajinga wachache, wafisadi,wala rushwa na wapenda magendo,wavivu makazini lazima muone hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…