tuseme tu ukifika sehem pesa imeshatatua yote uliokua unayataka kiuchumi basi wewe ni tajiri, unaweza ukawa na mil 100 ila cost ya uendeshaj ni mil 150 apo bado hujatokaMkuu mimi nina swali utajiri unaazia shilingi ngapi? Je ni million 10 ,20,30 au billion ngapi?
Maana kwangu mimi nikiwa na miaka 21 nilikuwa na 100 m kutoka kwenye kilimo ,je nilikuwa tajiri?
Kuwa wa mwisho sio vibayani kwel ila pia unaweza zaliwa familia nzuri ukanogewa ukaacha kukuza utajiri wa familia, ukiangalia ata mashulen watoto wa matajiri wanakuaga wa mwisho
Kaka asante umenijibu vizuri sanatuseme tu ukifika sehem pesa imeshatatua yote uliokua unayataka kiuchumi basi wewe ni tajiri, unaweza ukawa na mil 100 ila cost ya uendeshaj ni mil 150 apo bado hujatoka
na pia pesa haitakiwi kukuendesha, ukiona unafanya kazi sana kwa ajili ya pesa ata kama unaingiza pesa nyingi apo unakua bado pesa haina msaada kwako, mfano unaweza ukawa na cheo kikubwa unapokea million 10 kila mwezi, pesa hii ni nyingi sana na lazima inakua excess baada ya mahitaji yako kila mwezi lakini ili kupata hii ela inakubidi kila siku uende ofisini mapema na kutoka usiku apa unahesabika kama mtumwa wa pesaKaka asante umenijibu vizuri sana
Fupi yakuleweka alafu kali
maneno ya kujifariji ayo, ukizipata utaelewa
Better late and never.sifa moja wapo ya kua binadam ni matamanio
Duuuuh haya madini na shikilia kwa mikono miwilina pia pesa haitakiwi kukuendesha, ukiona unafanya kazi sana kwa ajili ya pesa ata kama unaingiza pesa nyingi apo unakua bado pesa haina msaada kwako, mfano unaweza ukawa na cheo kikubwa unapokea million 10 kila mwezi, pesa hii ni nyingi sana na lazima inakua excess baada ya mahitaji yako kila mwezi lakini ili kupata hii ela inakubidi kila siku uende ofisini mapema na kutoka usiku apa unahesabika kama mtumwa wa pesa
kutokana na hali ya maisha bila kujua unaweza kujikuta uko, mfano unatamani kupanda cheo ili ulipwe zaidi unasahau ukipanda cheo na majukumu yanaongezeka, unajikuta na tatizo jipya una hela nyingi ila mda wa kutumia hela huna, znaishia kutumika na familia yakoDuuuuh haya madini na shikilia kwa mikono miwili
Ila mkuu huoni kama utumwa wa pesa ni wa hiyari?
πππKuwa wa mwisho sio vibaya