Ukweli kuhusu utajiri wa halali

Ukweli kuhusu utajiri wa halali

Mkuu mimi nina swali utajiri unaazia shilingi ngapi? Je ni million 10 ,20,30 au billion ngapi?
Maana kwangu mimi nikiwa na miaka 21 nilikuwa na 100 m kutoka kwenye kilimo ,je nilikuwa tajiri?
tuseme tu ukifika sehem pesa imeshatatua yote uliokua unayataka kiuchumi basi wewe ni tajiri, unaweza ukawa na mil 100 ila cost ya uendeshaj ni mil 150 apo bado hujatoka
 
tuseme tu ukifika sehem pesa imeshatatua yote uliokua unayataka kiuchumi basi wewe ni tajiri, unaweza ukawa na mil 100 ila cost ya uendeshaj ni mil 150 apo bado hujatoka
Kaka asante umenijibu vizuri sana
Fupi yakuleweka alafu kali
 
Kaka asante umenijibu vizuri sana
Fupi yakuleweka alafu kali
na pia pesa haitakiwi kukuendesha, ukiona unafanya kazi sana kwa ajili ya pesa ata kama unaingiza pesa nyingi apo unakua bado pesa haina msaada kwako, mfano unaweza ukawa na cheo kikubwa unapokea million 10 kila mwezi, pesa hii ni nyingi sana na lazima inakua excess baada ya mahitaji yako kila mwezi lakini ili kupata hii ela inakubidi kila siku uende ofisini mapema na kutoka usiku apa unahesabika kama mtumwa wa pesa
 
Duuuuh haya madini na shikilia kwa mikono miwili
Ila mkuu huoni kama utumwa wa pesa ni wa hiyari?
 
Duuuuh haya madini na shikilia kwa mikono miwili
Ila mkuu huoni kama utumwa wa pesa ni wa hiyari?
kutokana na hali ya maisha bila kujua unaweza kujikuta uko, mfano unatamani kupanda cheo ili ulipwe zaidi unasahau ukipanda cheo na majukumu yanaongezeka, unajikuta na tatizo jipya una hela nyingi ila mda wa kutumia hela huna, znaishia kutumika na familia yako

mwanzon ulidhan pesa zaidi itatatua matatizo yako ila sasa yameongeza tatizo jingine, sawa sawa na ambae ameongeza biashara atapata pesa zaidi ila mda atakosa zaidi
 
Hakuna bahati bali ni timing tu, kuwa sehemu husika kwa wakati husika na kwa watu husika.
 
Back
Top Bottom