Right Marker Senior Member Joined Apr 30, 2018 Posts 194 Reaction score 625 May 4, 2025 #1 UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇 Attachments 2025-05-04_09-32-10_0.mp4 30.8 MB
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 3,349 Reaction score 6,423 May 4, 2025 #2 Jazia nyama kidogo huyo mtoto /mtu mzima ni nani ? Na hiyo Video inahusu nini? Na kwanini wahuni waikate? Sio tunachoma MB zetu Kwa mambo yakipuuzi?
Jazia nyama kidogo huyo mtoto /mtu mzima ni nani ? Na hiyo Video inahusu nini? Na kwanini wahuni waikate? Sio tunachoma MB zetu Kwa mambo yakipuuzi?