Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.


Makanyaga ,

Hiyo ni conspiracy game.

Tambua kuwa, wazungu koko wanapenda sana sifa!
Nakuhakikishia kama hiyo, issue ingekuwa ukweli wangekuwa wameisha wakamata aliens hata mmoja na kumleta watu washuhudie live.

Hizo ni hadithi za Abunuwasi.

Pyramids zimejengwa hata misri zimejaa.

Kwa mfano, hapo Israel tu, wamejenga vitu chini ya ardhi ukiingia na kuzama ardhini utadhani kuwa uko peponi.

Kwa hiyo, kama.hapo Israel siku wakimchukua mtu wakamfunga na kumpeleka kule chini ya ardhi akija kutolewa huko na kurudishwa ardhini juu kisha akaambiwa kuwa alikuwa mbinguni/peponi nakuhakikishia "katu hawezi kupinga"
Bali yeye ndiye atakaye anza kusambaza habari kuwa Kweli alikuwa mbinguni/peponi.

Achana na habari za kuaminishwa nawe ukasema kuwa ndivyo ilivyo.

In the world of propaganda and conspiracy theory "Nothing is as it seems"
 

Makanyaga

Mkuu unaona sasa hizi habari ni fix kinyama yaani.

Hakuna cha ukweli wala cha kucross breeding.

Hapo, wewe unasema.CIA walisema.ni hatari huyu anaandika kuwa huko wanawatengeneza na tuko nao miongoni mwa binadamu. Hasa huko ulaya na USA.

Kwa kifupi, hakuna cha aliens wala viumbe wa ajabu ama viumbe waliohamia aga za mbali.

Yeknologia zote wavumbuzi wako wazi na hata wengi waliwshi kuvumbua wasio na undugu wa aliens.

Nothing under the sun called as an aliens.
 
mada hizo huwa zinashindwa kupata mazingira ya ushaidi,hata ya kipatikana ukosa vigezo na mda mwingine tunasema kama ni mawazo tu,japo hatu katai
 
Acha woga. Mtafute mshana Jr utaishi Kwa Amani.
 
ata mimi mwanzo nliamini ivo...ila kuna jamaa alitoa njia kadhaa za kuwasiliana nao had kukutana...nkajarbu moja inaitwa telepathy...bwana wee nlivoona dalili nlizoambiwa nikaacha kabxaaa.....
 
How about the mysteries that science does not currently have the answers? Umesikiliza hiyo habari ya Pramids ukawaona wanasayamsi jinsi ambavyo wana-argue?
Sikiliza vipande hivi vitatu vya picha vitakupa mtizamo tofauti



 
ata mimi mwanzo nliamini ivo...ila kuna jamaa alitoa njia kadhaa za kuwasiliana nao had kukutana...nkajarbu moja inaitwa telepathy...bwana wee nlivoona dalili nlizoambiwa nikaacha kabxaaa.....

Mmmaaa!!! sasa na wewe unajitafutia matatizo au kifo tu haaa unataka kuwasiliana na hayo majitu daah una hatari sana, una bahati hajapiga chafya ungekua kiziwi milele
 
Ni Uongo wa Ngozi nyeupe....yaani hao viumbe wasituvamie kipindi cha mababu wakivaa migomba eti waje sasa??
 


Unaongelea imani za imani hapa.

Ila , hakuna cha aliens wala viumbe wenye akili sijui wavumbuzi .
Nothing do exists named as aliens.

How about the mysteries that science does not currently have the answers? Umesikiliza hiyo habari ya Pramids ukawaona wanasayamsi jinsi ambavyo wana-argue?
Sikiliza vipande hivi vitatu vya picha vitakupa mtizamo tofauti





White pigs always they don't accept anything good to come from Africa.
Or to hear anything great that they can't do or posses belonging to other races.

In short they failed to copy and build the same pyramid either in USA or Europe so, they decided to demonize those structures.

They used insolent words against OBama from 2008 till 2012 because he was very smart than most of white pigs.
Some named him that he's possed by devil, he's having a transparency hand which is not of human being and so forth.

White men, have failed to build pyramids therefore they can't argue in a positive approach with relations to those pyramids.

Failure can't correct success!
 
kwa ukaribu tulioufikia sauti niliweza kuzisikia lakini ilikua ni kama ya kumung'unya maneno sijui kama naeleweka yani kama unaongelea kwa ndani bila kuinua lips haikua rahisi kuelewa walichokua wakizungumza ata tulipowakaribia baada ya sisi kushtuka nao walionyesha mshtuko na sisi tulikimbia kurudi upande tuliokua tunatoka yani tuliwaachia mgongo lakini sidhani kama walikimbia sababu sisi ndio tulikua wakwanza kugeuka na kukimbia na sidhani kama nyuma walikua wakitukimbiza au la, lakini ninachokumbuka nyuma tuliacha kicheko lakini si cha sauti ya kawaida iliyozoeleka. alichoona na kusikia rafiki yangu kilikua kilekile.
 
Hakunaga..huyo atakua le profesee tu
 
Alien na majini ni vitu viwili tofauti mpaka hapo
Ila hii ni njama ambayo USA anaitumia kuwaaminiaha watu dunia ipo hatarini kuvamiwa sasa kunahaja ya kutunga sheria kwaajil ya kuikinga dunia na hao viumbe, kama kuwekewa micro chip, maas survillence n.k
 

Ni usela tu wa USA.
Ndiyo maana nimeandika kuwa hao wazungu koko wanapenda sana sifa. Kama hiyo issue ingekuwa ukweli Lazima wangekuwa wametukamatia mmoja wapo na kuuuonesha ulimwengu wote.

Tatizo ni moja tu kuwa , capitalist anaweza akakujengea hofu hata juu ya USO wako kuwa siyo mzuri ili tu akuuzie USO mpya.
 
Bangi sio lazma iwe majani hata karatasi tunazosoma(vitabu) vinaweza kugeuka na kua bangi
Brother hata aliyegundua kuwa dunia ndo inazunguka jua alikataliwa miongo mingi.wamekuja kuamini baadaye baada ya hata yeye kufa.tuwe na akiba ya maneno
 
Brother hata aliyegundua kuwa dunia ndo inazunguka jua alikataliwa miongo mingi.wamekuja kuamini baadaye baada ya hata yeye kufa.tuwe na akiba ya maneno

Ignatius31 ,
Mkuu siyo hi issue ya aliens.
Hakuna wala havitakuja.

Tatizo wazungu koko ni wanafiki na kujifanya kujua hata visivyo kuwepo. Na hata visivyokuwepo vitaumbwa ili waonekane kuwa wao ni much knows.
 
Kwa hiyo maelezo yako wewe kuhusiana na maajabu haya, ukiachilia mbali hayo mengine, ni yapi?
 

Daah shauri yako wale wa virginia watakuchukia sana na watakutafuta mpaka uvunguni Hahahahahaha na wakija hata King hatawazuia utajua mwenyewe
 
Kwa hiyo maelezo yako wewe kuhusiana na maajabu haya, ukiachilia mbali hayo mengine, ni yapi?

Makanyaga,
Mkuu,
Mimi ninachojua ni kuwa wazungu koko wanataka kufanya jamii zingine zikae kwa uoga Fulani na kuwaabudu wao.

Kwa mfano, leo hii hizi movies za Vampires na Zombies zinatengenezwa kama movies ila kuna watu huku ao hao wazungu koko wanaanza kudai kuwa miaka siyo mingi sana ijayo ni kweli kuwa hao vampires na zombies watakuja na watakuwa wanaua watu. Ila sasa hivi wataalamu wao wa chemistry, physics na biology wanasoma miundo mbalimbali ya kitaaluma ili siku wakija basi Dawa/ Tiba iwepo ili atakaye ng'atwa au kugusana na hao viumbe asibadilike na kuwa zombie au vampire.

Kwa hiyo, hii ni biashara ya wazungu koko ila sasa wanatumia hadi mbinu chafu ili kuuza bidhaa zao.

Mfano, worldwide biashara ya silaha inaongoza kwa kuingizia mataifa makubwa kiteknolojia fedha. Ikifatiwa na vitu kama vifaa tiba na dawa, machine mbalimbali na n.k.n.k.
Ila angalia wanaofaidika ni ao hao wazungu koko.

Kwa hiyo, hata hii kuna issue inatengenezwa ya kuzuia hao viumbe wa kufikirika waitwao aliens ili dunia nzima/ nchi zote zinunue kwa kuwaaminisha watu kuwa bila hicho kitu/kifua basi hao Aliens wataingia kwenye hiyo nchi na kuleta madhara makubwa sana hadi hata vifo vya watu.

Any way, Africa, we are in a wrong side of the line.

Na ndiyo maana , hadi unasikia porojo zao ni kuwa hao viumbe wanaruka kutoka South kwenda North parts of the globe mean that, wanatoka Afrika, Latin American na kuekekea USA na Europe hadi Eastern Europe yaani Russia.

Ukiangalia huo uelekeo ni kule kule kwenye machines na technology kiasi kwamba wao watawadhibiti ila huku wanakotoka tutamalizwa. Hivyo, dawa ni kununua mitambo au vifaa vya kuwazuia hao aliens kwa hiyo ni mchezo wa karata Fulani tunaochezeshwa huku anayetakiwa kushinda aliisha andaliwa hata kabla ya kuanza game yenyewe.

Kwa hiyo, hakuna cha aliens wala zombie au vampires Bali ni story za kutungwa kwa madhumuni ya kibiashara au kuogopesha watu na kutafuta kuabudu wazungu koko.

Zaidi ya hapo, nitaamini siku wakimkamata alien na watoto wake watuwekee pale New York , Brussels au London ama hata hapo South Africa or hapa Wellington, New Zealand ili tukawashuhudie.

Ndiyo maoni ya Poise na msimamo wa Poise ndiyo huo na hautabadilika. Mipaka pale labda watakapo mleta alien mmoja live au hata na vitoto vyake ndipo nitakubali hizo habari.
Bila hivyo zinabakia kuwa ni story za Alinacha na zile story za Abunuwasi.
 
Uwepo wa viumbe vywenye akili katija sayari zingine sio za leo wala jana. Hili la kutembelea dunia sio la ajabu. Changamoto ni capabilities za miili na technolojia. Mfano sisi binadamu tunatumia oxygen kule kwingine sidhani kama oxy ipo. Sisi tunatumia visible rays wao nadhani wanatumia hizi zingne. So kuwepo kwao nimi wala sidhani kama bi science fiction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…