goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Paint with pride.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo usikate kwamba Aliens hawapo, wapo. CIA wali-abondon research za UFO's baada ya kuona kuwa UFO's hwana threat kwa dunia yetu. Still, hata kama wangekuwa threat, bado hatuna teknoloji ya kuweza kuwakabili, so waliona is useless na kwamba ni vitu ambavyo vingeweza kusababisha chaos na panic kwa watu wanaoishi duniani.
By the way, hizi structure hapa ametengeneza nani?
The Mystery of the Engineering work of the Pyramids at Giza
aliens wapo....na njia za kuwasiliana nao kama telekinesis zipo....hawaongei kwa mdomo....ila inasemeka specie ya reptilians wamefanyiwa humanoid technology na kufanana na binadamu...so thet are among us...especially uko ulaya....UKO USA wanawatumia jamaa maana wanateknolojia y HALI YA JUU....
mada hizo huwa zinashindwa kupata mazingira ya ushaidi,hata ya kipatikana ukosa vigezo na mda mwingine tunasema kama ni mawazo tu,japo hatu kataiView attachment 638165
View attachment 638169
Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na nyuklia raia wa Canada Bwana Stanton Friedman amesema dunia imekua ikitembelewa sana na viumbe wa ajabu maarufu kama Aliens kwa lengo la kuangalia mienendo kadhaa ya kitekinolojia na maisha ya kawaida na muda sio mrefu wataweka makaazi kabisa duniani, "Hakuna doa la mashaka kwamba viumbe wa ajabu wenye akili nyingi sana wanafanya safari zao kuja duniani"
Bwana Friedman mwenye umri wa miaka 82 alikua akichunguza ajali ya chombo cha anga za juu hususani ajali ya mwaka 1947 iliohusu chombo cha anga kilichopata ajali mbaya katika anga za juu na kueleza kilipotezwa na kitu kisicho cha kawaida kabisa kilichokua na viumbe wa ajabu,
aidha, amesema faili lenye taarifa za siri sana za CIA juu ya uwepo wa viumbe hao ni moja ya ushahidi wa uwepo wa viumbe hao, anasema anafikiri viumbe hao maarufu Aliens wanataka kulinda anga lao ambalo limekua likitembelewa sana na vyombo na binaadamu kutoka duniani, nae aliekua Waziri wa Ulinzi wa Canada Paul Hellyer amesema dunia imekua ikitembelewa na viumbe hao kwa miongo kadhaa sasa amesema mwaka 1995 viumbe hao walitembelea dunia amesema mwaka 1961 kulikua na vyombo vya anga vya ajabu 50 vilivyojulikana kama UFO na visivyo vya kawaida kabisa vikiruka kutoka kusini ya dunia vikielekea Urusi na Ulaya.
Acha woga. Mtafute mshana Jr utaishi Kwa Amani.mimi na rafiki yangu wakati tupo secondary nakumbuka ilikua mida kama saa3 tunatoka kwenye matembezi yetu tunaelekea hostel, tuliona viumbe wa ajabu walikua wawili ni kama binadamu ila hawakua binadamu wa kawaida walikua bize na stori zao ghafla tukakutana uso kwa uso tulikosa uvumilivu kila mmoja alikimbilia njia yake tulienda kukutana hostel tusiamini tulichokiona na kila tuliemuadithia hakutuamini. viumbe wa ajabu wapo wazungu watawaita alliens ukija kwetu utasikia vibwengo nk ila kwa wataalam ndio wanaweza kuchunguza na kujua maisha yao technology yao wanaishi wapi nk. ila ni kweli wapo.
ata mimi mwanzo nliamini ivo...ila kuna jamaa alitoa njia kadhaa za kuwasiliana nao had kukutana...nkajarbu moja inaitwa telepathy...bwana wee nlivoona dalili nlizoambiwa nikaacha kabxaaa.....Makanyaga
Mkuu unaona sasa hizi habari ni fix kinyama yaani.
Hakuna cha ukweli wala cha kucross breeding.
Hapo, wewe unasema.CIA walisema.ni hatari huyu anaandika kuwa huko wanawatengeneza na tuko nao miongoni mwa binadamu. Hasa huko ulaya na USA.
Kwa kifupi, hakuna cha aliens wala viumbe wa ajabu ama viumbe waliohamia aga za mbali.
Yeknologia zote wavumbuzi wako wazi na hata wengi waliwshi kuvumbua wasio na undugu wa aliens.
Nothing under the sun called as an aliens.
How about the mysteries that science does not currently have the answers? Umesikiliza hiyo habari ya Pramids ukawaona wanasayamsi jinsi ambavyo wana-argue?Makanyaga
Mkuu unaona sasa hizi habari ni fix kinyama yaani.
Hakuna cha ukweli wala cha kucross breeding.
Hapo, wewe unasema.CIA walisema.ni hatari huyu anaandika kuwa huko wanawatengeneza na tuko nao miongoni mwa binadamu. Hasa huko ulaya na USA.
Kwa kifupi, hakuna cha aliens wala viumbe wa ajabu ama viumbe waliohamia aga za mbali.
Yeknologia zote wavumbuzi wako wazi na hata wengi waliwshi kuvumbua wasio na undugu wa aliens.
Nothing under the sun called as an aliens.
ata mimi mwanzo nliamini ivo...ila kuna jamaa alitoa njia kadhaa za kuwasiliana nao had kukutana...nkajarbu moja inaitwa telepathy...bwana wee nlivoona dalili nlizoambiwa nikaacha kabxaaa.....
mimi na rafiki yangu wakati tupo secondary nakumbuka ilikua mida kama saa3 tunatoka kwenye matembezi yetu tunaelekea hostel, tuliona viumbe wa ajabu walikua wawili ni kama binadamu ila hawakua binadamu wa kawaida walikua bize na stori zao ghafla tukakutana uso kwa uso tulikosa uvumilivu kila mmoja alikimbilia njia yake tulienda kukutana hostel tusiamini tulichokiona na kila tuliemuadithia hakutuamini. viumbe wa ajabu wapo wazungu watawaita alliens ukija kwetu utasikia vibwengo nk ila kwa wataalam ndio wanaweza kuchunguza na kujua maisha yao technology yao wanaishi wapi nk. ila ni kweli wapo.
How about the mysteries that science does not currently have the answers? Umesikiliza hiyo habari ya Pramids ukawaona wanasayamsi jinsi ambavyo wana-argue?
Sikiliza vipande hivi vitatu vya picha vitakupa mtizamo tofauti
kwa ukaribu tulioufikia sauti niliweza kuzisikia lakini ilikua ni kama ya kumung'unya maneno sijui kama naeleweka yani kama unaongelea kwa ndani bila kuinua lips haikua rahisi kuelewa walichokua wakizungumza ata tulipowakaribia baada ya sisi kushtuka nao walionyesha mshtuko na sisi tulikimbia kurudi upande tuliokua tunatoka yani tuliwaachia mgongo lakini sidhani kama walikimbia sababu sisi ndio tulikua wakwanza kugeuka na kukimbia na sidhani kama nyuma walikua wakitukimbiza au la, lakini ninachokumbuka nyuma tuliacha kicheko lakini si cha sauti ya kawaida iliyozoeleka. alichoona na kusikia rafiki yangu kilikua kilekile.umesema walikuwa kama wanapiga story haukuweza kusikia sauti zao..? je,zinafanana na binadamu..?
wkt mnaanza kukimbia wenyewe walichukua hatua gani(walisimama,walikimbia,waliendelea kutembea) nini walifanya wkt mnachukua hatua ya kukimbia..?
maelezo ya mwenzako na yakwako yanaendana kwa kile mlichokiona..?
Alien na majini ni vitu viwili tofauti mpaka hapoHakuna kitu kama hicho ni conspiracy game iliyokuwa inafanyika au inatumika katika jamii za wazungu koko ili kuwatenga baadhi ya wavumbuzi, watu wenye akili sana au hata mtu aliyeonekana kuwa atachukua uongozi wa nchi.
Basi , walimpakazia kuwa ana asili au mama yake mzazi alizaa na hao viumbe wa kusadikika ili watu wapate hofu ya kumchagua au kumkubali hata kufikia hatua ya kumtenga fulani hivi.
Siku hizi, za dini ya warabu pori na wazungu koko mnawaita hao viumbe wa kufikilika (aliens) kuwa ni mapepo au majini siju maruhani.
Mbona huku Afrika hawajawahi kuja!?
Kwa nini hawajawahi kuwakamata live.watuoneshe kwenye taarifa zao na aweke eneo tukamuone sote?
Je mahitaji yao hapa duniani yameisha kama ilivyokuwa hapo awali kuwa walikuwa wanakuja kuchukua mitambo na machine zao huku chini ya ardhi?
Wazungu koko ni wanafiki na watu wa fitina sana.
Any way, waafrika nao ni balaa tupu, wakiambiwa au kusikia tu chochote watazunguka nacho miaka Nenda rudi mwisho watajiaminisha kuwa ni ukweli.
Hata, Obama , mwaka 2008 walioanza kusema habari za ajabu juu yake kuwa naye anaongozwa na mara mapepo, oooh oooh ana alama Kichwani kama aliyeondolewa ubongo akawekewa mitambo ndani ya fuvu /Kichwa chake mara ana mkono wa kivuli.
Ila hali hizo zote ni kutaka kufanya mtu apoteze mvuto na kukubalika.
Alien na majini ni vitu viwili tofauti mpaka hapo
Ila hii ni njama ambayo USA anaitumia kuwaaminiaha watu dunia ipo hatarini kuvamiwa sasa kunahaja ya kutunga sheria kwaajil ya kuikinga dunia na hao viumbe, kama kuwekewa micro chip, maas survillence n.k
Brother hata aliyegundua kuwa dunia ndo inazunguka jua alikataliwa miongo mingi.wamekuja kuamini baadaye baada ya hata yeye kufa.tuwe na akiba ya manenoBangi sio lazma iwe majani hata karatasi tunazosoma(vitabu) vinaweza kugeuka na kua bangi
Brother hata aliyegundua kuwa dunia ndo inazunguka jua alikataliwa miongo mingi.wamekuja kuamini baadaye baada ya hata yeye kufa.tuwe na akiba ya maneno
Kwa hiyo maelezo yako wewe kuhusiana na maajabu haya, ukiachilia mbali hayo mengine, ni yapi?Unaongelea imani za imani hapa.
Ila , hakuna cha aliens wala viumbe wenye akili sijui wavumbuzi .
Nothing do exists named as aliens.
White pigs always they don't accept anything good to come from Africa.
Or to hear anything great that they can't do or posses belonging to other races.
In short they failed to copy and build the same pyramid either in USA or Europe so, they decided to demonize those structures.
They used insolent words against OBama from 2008 till 2012 because he was very smart than most of white pigs.
Some named him that he's possed by devil, he's having a transparency hand which is not of human being and so forth.
White men, have failed to build pyramids therefore they can't argue in a positive approach with relations to those pyramids.
Failure can't correct success!
Alien na majini ni vitu viwili tofauti mpaka hapo
Ila hii ni njama ambayo USA anaitumia kuwaaminiaha watu dunia ipo hatarini kuvamiwa sasa kunahaja ya kutunga sheria kwaajil ya kuikinga dunia na hao viumbe, kama kuwekewa micro chip, maas survillence n.k
Kwa hiyo maelezo yako wewe kuhusiana na maajabu haya, ukiachilia mbali hayo mengine, ni yapi?