Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

Status
Not open for further replies.
SOA: Ahsante kwa observation yako. Si hivyo situmii nguvu ni swali la mantiki na ujuzi. Hili somo nimelifanyia utafiti, kisha ni historia ya wazee wangu historia ambayo iko katika familia zetu hatuna haja ya kuhangaika kuitafuta, kisha niemeandika vitabu vitatu na vyote vimechapwa na wachapaji wenye heshima duniani, nimetoa paper katika vyuo kadhaa ndani na nje. Ni hiyo tu. Hata sahib wangu mmoja ananiambia Mohamed hii si haki wewe kupambana na hawa jamaa unawaonea. Jibu langu nimemwambia kuwa hapana mimi sichukulii kama mapambano mimi nasoma kwao kuna mengi wamenifunza na ndiyo maana unaona najitahidi kujibu kila hoja kwa adabu, heshima na utulivu wa hali ya juu. Naogopa kuwaudhi wasijenifukuza ukumbini kwa utovu wa adabu.
 
Mohamed Said,

..unaweza ukatueleza kisa kilichosababisha Christopher Kassanga-Tumbo, na Joseph Kasella Bantu kuwekwa kizuizini?

..pia kuna Machifu kama Fundikira na Kidaha Makwaia nao walitiwa msukosuku na Mwalimu Nyerere. hawa nao tatizo lao lilikuwa ni nini?
 
SOA: Hili somo nimelifanyia utafiti, kisha ni historia ya wazee wangu historia ambayo iko katika familia zetu hatuna haja ya kuhangaika kuitafuta,
Sawa sawa kabisa, ni historia ya wazee wako na iko katika familia zenu, je ninyi tu ndio Watanzania ? Unapata wapi jeuri ya kudai simulizi za familia zako ndio ukweli kuhusu historia ya harakati za kupigania uhuru Tanganyika ?
kisha niemeandika vitabu vitatu na vyote vimechapwa na wachapaji wenye heshima duniani, nimetoa paper katika vyuo kadhaa ndani na nje. Ni hiyo tu.
Huo uhuru wa kuandika vitabu na vikachapishwa inahusiana vipi na hizo hadith kuwa ndio sahihi. Hata walioandika historia kabla yako na vilivyotofautiana na hizi hadith zako, vitabu vyao kwani havikuchapishwa ?
Hata sahib wangu mmoja ananiambia Mohamed hii si haki wewe kupambana na hawa jamaa unawaonea. Jibu langu nimemwambia kuwa hapana mimi sichukulii kama mapambano mimi nasoma kwao kuna mengi wamenifunza
Uwe mkweli kwa nafsi yako kwani, kulingana na unayoyaandika hapa, haya kwako ni mapambano ambayo kamwe hutakubali kushindwa. Bahati mbaya kwako ni kuwa jamvi hili la JF ni tofauti na kumbi ulikozoea kumwaga upuuzi na kushangiliwa. Ungekuwa mtu wa kujifunza, mpaka sasa ungeanza kwa kuuvua udini uliokuganda kama gundi na uanze kuwaona Watanzania wenzako kama ndugu zako.
na ndiyo maana unaona najitahidi kujibu kila hoja kwa adabu, heshima na utulivu wa hali ya juu. Naogopa kuwaudhi wasijenifukuza ukumbini kwa utovu wa adabu.
Unarudi kule kule, eti unadai usije ukawaudhi wakakufukuza ukumbini hapa JF kwa utovu wa nidhamu, nani hao - mzimu wa Nyerere au wakatoliki ? Mohamed Said, maadam tukubaliane kuwa unayoyadai ni kweli, kitu gani hasa ungependa kifanyike hivi sasa. Pamoja na serikali pamoja na chama tawala hivi sasa kuwa mikononi mwa Waislamu, lakini bado unalalamika, hatua gani zaidi unayoitaka ili roho yako itulie ?
 
FM: Mbona hilo la kuwaenzi mashujaa wetu nimelisema? Ahsante sana kwa picha. Nilkwenda nyumbani kwa Mzee Japhet Kirilo IUsa River wakati nafanya utafiti tena alonipeleka alikuwa Abduwahid Ally Sykes hatukumkuta alikuwa kenda Nairobi.
Aaaaah mkuu wangu kwa kufunga kamba wewe hata huwezekani. Nimekusoma na nashindwa kukuelewa kabisaaaa. Hivi wewe una umri gani haswa maana hapo chini nasoma ukidai kwamba aliyekupeka kumwona mzee Japhet alikuwa AbdulWahid Sykes (ati wakati ukifanya utafiti) ambaye sisi sote tunajua alikufa mwaka 1968 sasa hii habari inakuwaje?..

Haya Ebu nambie habari hiii pia:- Je unaikubali kama ilivyoandikwa?

On October 10, 1953, there was a T.A.A. meeting in the little house with the beautifully carved Arab door which Sir Donald Cameron had built in New Street. Because T.A.A. was very low in funds, one of its rooms had been rented to an Asian, who was running a laundry. The other was the T.A.A. office.
In the small airless room Julius Nyerere sat on one chair at a decrepit desk, John Rupia on another chair, the Sykes brothers and Dossa Aziza perched on packing cases. Nyerere opened the meeting by saying that he had given much thought to T.A.A., but he could not transform it into a political organization. His friends were thrilled, as this meant that T.A.A. was finished and that they would now form a real political party.

There were many suggestions as to what to call it. Abdul Sykes remembered that while waiting for repatriation at kalian camp outside Bombay, they had discussed political organization and tried all sorts of names, of which he liked Tanganyika African Union best. To Nyerere this sounded too much like Kenya African Union, and he thought that something, for instance ‘national', should be added, calling it Tanganyika National African Union. Ally Sykes remarked that the initials of Tanganyika National African union T.N.A.U., were A tongue-twister; but if the name were rearranged to Tanganyika African National Union, T.A.N.U. would be easy to say. ‘T.A.N.U.'-they all repeated the four initials which were to become famous in African history. ‘T.A.N.U.' Thus was the Tanganyika African National Union born.

Nyerere modeled it's constitution on that of Nkrumah's Convention Peoples' Party; the basic structure and much of the actual phrasing was taken over. Tanu was ‘to fight relentlessly until Tanganyika is self-governing and independent', ‘to build up a united nationalism'; it was to fight for ‘elections for all bodies of local and central government ….to have African majorities'; for small industries, training schools artisans, fair prices for consumers and producers, minimum wage and compulsory primary education. Tanu was to fight against ‘tribalism and all isolationist tendencies amongst Africans….Against racialism and racial discrimination and federation until the demand ‘comes from the African inhabitants of these territories.'

Membership was to be open to Africans only, from the age of 18 ; trade unions and tribal associations could affiliate provided they charged their members a political levy which would be paid to Tanu. If Tanu was to become a political party, it had to have mass support. Already in 1948 T.A.A. had 39 branches, with 1,780 members. The chances were that all would join Tanu. But without money, without a publication, without means to advertise, it seemed hopeless to build these few hundred educated Africans into a popular following.

Then came an incident which convinced the nationalists more than ever that they had to organize themselves. In Lusaka, Harry Nkumubla's National Congress Party sponsored a Pan-African Congress, to which for the first time British, American and Far Eastern friends were also invited. It was a matter of prestige that, when the slogan was: ‘Yours is the national struggle for freedom ….' T.A.A., Bokhe Munanka, collected a sum sufficient for his own expenses. As the British authorities would not grant Munanka a passport, in the end Ally Sykes and Denis Phombeah became Tanganyika delegates. Ally was one of the three Sykes brothers, who had served during the war in the K.A.R.; he had then found employment in a dance band in Nairobi.

In 1948 he returned to Dar-es-salaam to become a civil servant; by 1952 he was running the Dar-es-salaam employment agency, a Government concern; he was also secretary-General of T.A.G.S.A., the Tanganyika African Government Servants Association. Denis Phombeah was in the happy position of owning a motor bicycle, the only means of transport the young nationalists had.

Ally Sykes induced T.A.G.S.A to pay for the two air tickets to Lusaka; from the funds left over from kirillo Japheth's trip to New York, they paid in advance for hotel accommodation in Salisbury, where they had to change aircraft and spend the night, and for their stay in Lusaka. Nothing was left to chance-or so they thought …

Ningependa sana kuiweka yote hapa ili tuijadili kama utapenda na utaona tofauti ya Uandishi baina yake na huyu njemba alokuwa wakili wa TANU..
 
JK: Sifahamu habari za Kasella Bantu kwa nini aliwekwa kizuizini na Nyerere wala sababu za Chief Kidaha Makwaia kupata misukosuko. Ila ninachojua ni kuwa Kassanga Tumbo alipojiuzulu ubalozi alirudi nchini na kuanzisha chama cha siasa Tanganyika Democratic Party (TDP). Inasemekana Kassanga Tumbo alikuwa anafanya mipango ya kukiunganisha chama chake na AMNUT. Huenda hii ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuwekwa kizuizini. Ninachojua kuhusu Chief Kidaha ni kuwa mwaka 1950 marehemu Abdulwahid Sykes alimshauri achukue uongozi wa TAA ili waunde TANU. Chief Kidaha hakukubaliana na Abdu Sykes na nafasi hiyo ikaja kuchukuliwa na Nyerere 1953.
 
Mkandara: Huyu Abdulwahid niliyemtaja ni Abdulwahid Ally Sykes mtoto wa Bwana Ally Sykes. Huyu ni bwana mdogo si marehemu Abdulwahid Kleist Sykes.

Hiyo nukuu ni kutoka kwa Lady Judith Listowel. Sijajua ungependa nifanye kitu gani. Tafadhali nifahamishe.
 
Mag3: Ahsante kwa mchango. Ningefurahi kama watu wengi wangeliandika kuhusu historia ya nchi yetu huu uwanja uko wazi kwa kila mtu. Mimi sisemi kuwa watu wote wakubaliane na mimi la hasha. Mbona mimi nimekataa historia ilyoandikwa na Chuo Kivukoni nitakuwa na haki gani kumkatalia mtu mwingine kughitilafiana na mimi? Mtu ana haki kabisa ya kuikataa historia niliyoandika. Wala sikasiriki kwa kupingwa ndiyo dunia ilivyo watu hawawezi kuwa wanakubaliana katika kila jambo. Ingekuwa hivyo dunia ingelichosha.
 
Mohammed Said , unachoshindwa kuelezea ni kwamba , pamoja na wengi kupenda na kupigania uhuru, Mwalimu Nyerere was the BRAINS behind the TAA/TANU movemement hadi uhuru.

Mkandara
On October 10, 1953, there was a T.A.A. meeting in the little house with the beautifully carved Arab door which Sir Donald Cameron had built in New Street. Because T.A.A. was very low in funds, one of its rooms had been rented to an Asian, who was running a laundry. The other was the T.A.A. office.
In the small airless room Julius Nyerere sat on one chair at a decrepit desk, John Rupia on another chair, the Sykes brothers and Dossa Aziza perched on packing cases. Nyerere opened the meeting by saying that he had given much thought to T.A.A., but he could not transform it into a political organization. His friends were thrilled, as this meant that T.A.A. was finished and that they would now form a real political party.

Nyerere's training and experience as a teacher,and also intellectual interaction with the colonial govt was much help in achieving Uhuru
 
LG: Hilo halikataliki kabisa. Soma hii hapo chini:

The election was by a show of hands. Phombeah who was in charge of the Arnatouglo Hall was the returning officer. Phombeah asked both Abdulwahid and Nyerere to go out of the hall for voting to begin. The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere. But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality. After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began. Abdulwahid ‘lost' the election-the first loss in his whole political career-and Nyerere won by a very small margin. This was the beginning of the end of the influence of the Sykes family in the TAA and the beginning of Nyerere's political career. From that day the political history of Tanganyika was never to be the same again.
 
JK: Sifahamu habari za Kasella Bantu kwa nini aliwekwa kizuizini na Nyerere wala sababu za Chief Kidaha Makwaia kupata misukosuko. Ila ninachojua ni kuwa Kassanga Tumbo alipojiuzulu ubalozi alirudi nchini na kuanzisha chama cha siasa Tanganyika Democratic Party (TDP). Inasemekana Kassanga Tumbo alikuwa anafanya mipango ya kukiunganisha chama chake na AMNUT. Huenda hii ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuwekwa kizuizini. Ninachojua kuhusu Chief Kidaha ni kuwa mwaka 1950 marehemu Abdulwahid Sykes alimshauri achukue uongozi wa TAA ili waunde TANU. Chief Kidaha hakukubaliana na Abdu Sykes na nafasi hiyo ikaja kuchukuliwa na Nyerere 1953.

Tumesema toka mwanzoni kuwa kama historia haimhusu mwislamu , basi Mohammed Said wala haiandiki maana itamuumbua.
Yeye (mohammed Said) anayojua ni kwanini waislamu wali wekwa ndani ,ati kwa sababu ya uislamu wao na sio kutofautiana as a matter of principle na Nyerere.Huu ni ishahidi wa kueneleza udini.

Historia ya waislamu wa AMNUT , imekuwa ikikwepwa na Mohammed Said na nitarudia posting ya hawa waislamu kupendekeza KUKATAA UHURU ili wawe sawa na waKristo kimasomo kwanza:

Lole Gwakisa (post 441)

Paper: Religions and Challenges of Development in Tanzania; Firefighters and Arsonists.
By: Dr. Amos Mhina, Associate Professor, Department of Political Science and Public Administration, University of Dar Es Salaam, Tanzania/ Visiting Scholar, Carleton University, Ottawa.

"ome Muslim groups were in a collision course with the coming nationalist government even before independence. As TANU and Nyerere were on course to independence in the late 1950s many Muslims supported the nationalist movement. There were however some conservative coastal Muslims who opposed TANU. According to Illife the most serious dissent came from the All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT) mostly based in Dar Es Salaam. In August 1959 its leaders went to the extent of proposing that Independence be delayed until Muslims achieved educational equality with Christians. (Illife 1979 pp.551-52). The nationalist party was able to calm moderate Muslims by promising to deal with the disparity after Independence.

Mohammed Said uwe na ujasiri wa kukubali kuwa pamoja na kupigania uhuru a section ya waislamu, kama ulivyo wewe, walikuwa na udini, toka hata kabla ya uhuru.
Sana sana mumshukuru Nyerere kwa kuwasomesha bure katika shule za misheni alizotaifisha, toka praimari hadi chuo kikuu bila ubaguzi.
Lakini hata waswahili wasemavyo,shukrani ya punda ni mateke.
 
Mkandara: Huyu Abdulwahid niliyemtaja ni Abdulwahid Ally Sykes mtoto wa Bwana Ally Sykes. Huyu ni bwana mdogo si marehemu Abdulwahid Kleist Sykes.

Hiyo nukuu ni kutoka kwa Lady Judith Listowel. Sijajua ungependa nifanye kitu gani. Tafadhali nifahamishe.
Maadam huyu ni rafiki yangu mkubwa nitahakikisha maneno yako...Kumbuka tu umesema alokupeleka ni AbdulWahid mtoto wa Ally Sykes....
 
JK: Sifahamu habari za Kasella Bantu kwa nini aliwekwa kizuizini na Nyerere wala sababu za Chief Kidaha Makwaia kupata misukosuko. Ila ninachojua ni kuwa Kassanga Tumbo alipojiuzulu ubalozi alirudi nchini na kuanzisha chama cha siasa Tanganyika Democratic Party (TDP). Inasemekana Kassanga Tumbo alikuwa anafanya mipango ya kukiunganisha chama chake na AMNUT. Huenda hii ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuwekwa kizuizini. Ninachojua kuhusu Chief Kidaha ni kuwa mwaka 1950 marehemu Abdulwahid Sykes alimshauri achukue uongozi wa TAA ili waunde TANU. Chief Kidaha hakukubaliana na Abdu Sykes na nafasi hiyo ikaja kuchukuliwa na Nyerere 1953.
Kassanga Tumbo aliporudi kutoka London mimi nilikuwa mwanafunzi pale Tambaza. Kitu kimoja ambacho nilifikiria Kassanga Tumbo ni mwenda wazimu alinukuliwa kwenye gazeti Nationalist akisema alipewa Paudi 60,000 na Waingereza kupindua serikali ya Nyerere. Tulikuwa na gumzo kubwa sana pale Aga Khan na tulijua haitachukua muda huyo jamaa kuishia kizuizini.
 
.....384...Huyu adui ujinga na umaskini hachagui dini wala kabila, mikakati tutakayoiweka
kama taifa lazima vile vile sehemu nyingine zenye upungufu wa maendeleo, jambo ambalo sote tunalikubali kuwa ni tatizo
..424...Sisi sote ni watanzania na ni lazima tufaidike na matunda ya uhuru, lakini kama
hujitayarishi kufaidi matunda haya nani atakulazimisha?
.439....Sasa leo mwananchi wa Tanzania anapochukea a leaf, ukurasa mmoja tu katika historia ya Tanganyika na kuifanya ndio utetezi wake kwa waislamu wote, hapo napata wasi wasi wa hatima ya Tanzania na umoja wake.
.444.....Sasa ni juu ya mtoa mada ambaye ni responsible awabebe watanzania wote au awabwage kwa yale anyoyatumikia
.....500..Pale mtakapoelewa kwamba maisha ya mtanzania pamoja na imani yake , ni umoja ,utaifa na maendeleo kwa kwenda mbele.
Mimi nawaona kwa utetezi wenu na hali mliyonayo ninyi ni wadandiaji tu wa mustakabali wa nchi hii.
..504...Wihout other Tanzanians support this issue will just smack on their faces.

UCHAMBUZI WA AMI
...384...
Wewe ni mtu wa porojo tu,nani anasikiliza ushauri wako huko serikalini.Unasema sote tunakubali kuhusu upungufu wa maendeleo sehemu nyengine.Unajua nini kuhusu sehemu za waislamu zilizokuwa na maendeleo halafu nyenzo za maendeleo zikaondoshwa?
...424...
Nani unayemjuwa hataki au hajajitayarisha kufaidi matunda ya uhuru?.Ukweli ni kuwa Nyerere na mtandao wake aliouwacha ndio wanaowanyima watu hasa waislamu kufaidi matunda ya uhuru.
...439...
Hii leaf ni ipi?.Mbona Mohammed Said kaandika volumes kutokana na utafiti wake!.
...444..na ..504....
Hapa hueleweki wakusudia nini,ni kama kwamba unaweweseka.Ukichoka pumzika kwanza.
...500...
Hilo la umoja na utaifa ndilo tunalopenda,lakini kwa sasa hatudanganyiki,kwani umoja na utaifa ni lazima uendane na lengo la kuumbwa kwetu na haki ya kikatiba ya kubaki na dini yetu.
Wadandiaji katika historia ya kupigania uhuru ni nyinyi akina Gwasika,lakini sasa mumeshika na kung'ang'ania udereva.
 
Ami,
Wewe ndugu yangu husaidii kabisa. In fact ndiyo unazidi kuharibu. Tanzania unayoitaka wewe kamwe wengine hatutaki kuwa sehemu yake.
 
Inawezekana kuwa kweli historia imeacha mambo fulani na ni vema yakawekwa sawa.

Ila mtu ambaye anataka kuweka sawa anatumia approach isiyo kubarika,sijajua kuwa audiance yake ni waislamu pekee au watu wote.

Mimi si mwislamu ila najua Nyerere alishirikiana na na hao watu kama na ndio aliowakuta, na hata katika baadhi ya speech zake alikuwa anasema wazi, na kuna nyingine aliyoonyesha kuwa watu aliokuwa ndio wazee wenyeji wake ndio hao waslamu ila hakutaja kwa dini alisema

tu alikuwa amefunga na baadaye wakafuturu kule bagamoyo.

Ila inatokea wapi hii kitu cha dini,nimesikiliza clip mbli nimeshindwa kuendelea maana naona labda ni kwa ajili ya waislam na niaangalia watu

wote na mtoa hotuba anasisitiza hivyo.Basi nikaishia hapo nikaona may be si kwa ajili yangu ingawa niko interested kusikia historia toka kwa

watu mbalimbali maana miaka 50 nyuma ni rahisi kusikia historia kutoak kwa wahusika au waliowasikia wahusika.

Kwa kweli Dr.Mohamed ni vema ukafanya hii kitu watu wengi wakaelewa nachokushauri badili aproach yako ww ni msomi unless kama nia

yako ni udini.

May be swali nini dhamira ya hiyo kitu ni kuhusu Uislam au kuhusu historia.?Kama kuhusu historia just iandike unavyoona sahihi kisa acha watu waone wenyewe kuwa waliochangia zaidi ni wailsam .

Kama ni kuhusu uislam basi labda nia yako itakuwa imetimia .
 
.....384...Huyu adui ujinga na umaskini hachagui dini wala kabila, mikakati tutakayoiweka
kama taifa lazima vile vile sehemu nyingine zenye upungufu wa maendeleo, jambo ambalo sote tunalikubali kuwa ni tatizo
..424...Sisi sote ni watanzania na ni lazima tufaidike na matunda ya uhuru, lakini kama
hujitayarishi kufaidi matunda haya nani atakulazimisha?
.439....Sasa leo mwananchi wa Tanzania anapochukea a leaf, ukurasa mmoja tu katika historia ya Tanganyika na kuifanya ndio utetezi wake kwa waislamu wote, hapo napata wasi wasi wa hatima ya Tanzania na umoja wake.
.444.....Sasa ni juu ya mtoa mada ambaye ni responsible awabebe watanzania wote au awabwage kwa yale anyoyatumikia
.....500..Pale mtakapoelewa kwamba maisha ya mtanzania pamoja na imani yake , ni umoja ,utaifa na maendeleo kwa kwenda mbele.
Mimi nawaona kwa utetezi wenu na hali mliyonayo ninyi ni wadandiaji tu wa mustakabali wa nchi hii.
..504...Wihout other Tanzanians support this issue will just smack on their faces.

UCHAMBUZI WA AMI
...384...
Wewe ni mtu wa porojo tu,nani anasikiliza ushauri wako huko serikalini.Unasema sote tunakubali kuhusu upungufu wa maendeleo sehemu nyengine.Unajua nini kuhusu sehemu za waislamu zilizokuwa na maendeleo halafu nyenzo za maendeleo zikaondoshwa?
...424...
Nani unayemjuwa hataki au hajajitayarisha kufaidi matunda ya uhuru?.Ukweli ni kuwa Nyerere na mtandao wake aliouwacha ndio wanaowanyima watu hasa waislamu kufaidi matunda ya uhuru.
...439...
Hii leaf ni ipi?.Mbona Mohammed Said kaandika volumes kutokana na utafiti wake!.
...444..na ..504....
Hapa hueleweki wakusudia nini,ni kama kwamba unaweweseka.Ukichoka pumzika kwanza.
...500...
Hilo la umoja na utaifa ndilo tunalopenda,lakini kwa sasa hatudanganyiki,kwani umoja na utaifa ni lazima uendane na lengo la kuumbwa kwetu na haki ya kikatiba ya kubaki na dini yetu.
Wadandiaji katika historia ya kupigania uhuru ni nyinyi akina Gwasika,lakini sasa mumeshika na kung'ang'ania udereva.

woooow kumbe its about dini!! I'm out
 
FM: Mbona hilo la kuwaenzi mashujaa wetu nimelisema? Ahsante sana kwa picha. Nilkwenda nyumbani kwa Mzee Japhet Kirilo IUsa River wakati nafanya utafiti tena alonipeleka alikuwa Abduwahid Ally Sykes hatukumkuta alikuwa kenda Nairobi.

Hapana. Ungesema hivyo, tusingekuwa tumefika hapa. Unawataja lakini si kwa nia ya kuwaenzi. Unachosema na kusisitiza ni kuwa stelin' wote wa uhuru wetu walikuwa waislamu na hawa wakina Kirilo na Julius walikuwa wapambe tu. Hii si kweli hata kidogo. Hawa walisimama bega kwa bega bila kujali dini ya mtu.

Amandla......
 
SOA: Ahsante kwa observation yako. Si hivyo situmii nguvu ni swali la mantiki na ujuzi. Hili somo nimelifanyia utafiti, kisha ni historia ya wazee wangu historia ambayo iko katika familia zetu hatuna haja ya kuhangaika kuitafuta, kisha niemeandika vitabu vitatu na vyote vimechapwa na wachapaji wenye heshima duniani, nimetoa paper katika vyuo kadhaa ndani na nje. Ni hiyo tu. Hata sahib wangu mmoja ananiambia Mohamed hii si haki wewe kupambana na hawa jamaa unawaonea. Jibu langu nimemwambia kuwa hapana mimi sichukulii kama mapambano mimi nasoma kwao kuna mengi wamenifunza na ndiyo maana unaona najitahidi kujibu kila hoja kwa adabu, heshima na utulivu wa hali ya juu. Naogopa kuwaudhi wasijenifukuza ukumbini kwa utovu wa adabu.

Majigambo, Mkuu, hayasaidii kitu. Hakuna mtu unayemwonea hapa. Hapa tunapinga mwelekeo wa matamshi yako na tutaendelea kupinga. Hakuna hata mmoja wetu ambaye ana uwezo wa kukufukuza. Sisi sote ni wanachama kama wewe. Au unataka ku-insinuate kuwa hili jukwaa ni la wakristu?

Amandla....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom