Ukweli Kuhusu Wahafidhina Wanaomnanga Hayati Magufuli

Unasahau kuwa club ya Mbowe ilivunjwa kabla ya huyu bwana unayemsema. Ukiwa unaandika uwe na kumbukumbu.

hebu nikuulize swali moja tu, ni lini serikali ya Tanzania haya mambo hayakuwepo?
 
Unasahau kuwa club ya Mbowe ilivunjwa kabla ya huyu bwana unayemsema. Ukiwa unaandika uwe na kumbukumbu.

hebu nikuulize swali moja tu, ni lini serikali ya Tanzania haya mambo hayakuwepo?
Serikali zilizopita zilikuwa na mapungufu yao lakini ya Magufuli ilitia fora. Kweli maovu makubwa mno yalitendeka na Mungu atukuzwe hakutuacha tuendelee vile.
 
Haujajibu swali.
Tutajie majina ya aliowatukana na kuwakashifu.
Hapa unataka kuleta ubishi usio na tija! Mtu yoyote anaelewa wastaafu Nchi hii unaposema utajiwe ni unajitoa akili! Pia Samia huko nje hakutaja jina la mtu!!
 
Hapa unataka kuleta ubishi usio na tija! Mtu yoyote anaelewa wastaafu Nchi hii unaposema utajiwe ni unajitoa akili! Pia Samia huko nje hakutaja jina la mtu!!
Alisema JPM alikufa kwa COVID.

Usijitie kusshau.

Hao wastaafu ambao umewatafsiri wewe hawakutajwa majina na kuna wakati tushawahi kusikia voice note za wastaafu wakimuita huyo mnayemtukana kuwa ni mshamba.

Ubishi ni tafsiri yako
 
Nikimuelezea JPM kwa ufupi, ni kuwa alikuwa kiongozi mchapakazi na mpenda maendeleo.

Lkn upande wa pili, alikuwa mbinafsi, mbaguzi, mkatili na mtu wa visasi na maamuzi ya kukurupuka. Mazuri aliyofanya nikiyaweka kwenye mizani yanazidiwa uzito na uovu alioufanya.

Mtu mwenye ego, upendeleo(double standard) na asiyependa kushauriwa sembuse kukosolewa.

Alifanikiwa kwa propaganda kiasi cha kuaminisha wengi kuwa kabla yake viongozi hawakufanya chochote; fedheha iliyoje kwa watangulizi wake.

Aliamini katika umasikini na kuwachukia matajiri. Akajinadi kuwa Rais wa wanyonge ilhali matajiri pia ni wake. Aliahidi hadharani kuwa matajiri atawafanya chochote, na wataishi kama shetani. Katika akili yake iliyoathiriwa na chuki, aliamini kila tajiri ni mwizi na fisadi, jambo ambalo si kweli.

Hakuamini ama hakujua kuwa uchumi imara unategemea pia mlinganyo kati ya matajiri na maskini.

Watanzania wengi kwa asili ni wabinafsi. Ni furaha kwa kapuku mmoja kushuhudia anguko la aliye juu yake kiuchumi. Na ndivyo ilivyokuwa kwa wengi wanaojiita wanyonge. Walifurahia zaidi tumbua tumbua, anguko na mateso ya matajiri kama kina Manji nk ilhali maisha yao yakidumu katika umasikini.

Ukiachalia mbali wamachinga walioruhusiwa kufanya biashara hadi barabarani, the rest hakuna kilichobadilika kwenye maisha yao, lkn ajabu nao wanamlilia mwamba!

Kila nikiitazama miaka hii miwili bila JPM siamini macho yangu.Jambo kubwa na muhimu ni kuwa Mungu aliamua kuingilia na kumpenda zaidi. Ndiyo maana naimba nikisema, Hakuna Mungu kama wewe Baba!!
 
Hata madikteta walipendwa na watu wao,Tanzania ina wajinga wengi wasiojua haki zao ila kwa nchi za watu werevu magufuli ni shetani asiyestahili kusogelea ofisi ya umma
 
Hata madikteta walipendwa na watu wao,Tanzania ina wajinga wengi wasiojua haki zao ila kwa nchi za watu werevu magufuli ni shetani asiyestahili kusogelea ofisi ya umma
Wewe ni nani hadi uhukumu? Acha uchawa,ujinga na udangaji ukalime.
 
Samia hana boss nchi hii, yeye ndiye top boss.
 
Yes.

But ukweli unabaki kwa wananchi hipo hivi wao watatumia leadership power of killing rested state naona haitawezekana.

Ni hawaelewi kuwa mtu aliyegusa na kuona ni tofauti na aliyesikia ambaye ataamini kutokana na kuambia hata kama ni uongo mtukufu.
 
Kuna opinion, halafu kuna fact.

Fact ni kwamba, Magufuli was a country bumpkin.
Sawa kabisa comrade kwa mawazo yako ila wakati mnatumia nguvu kubwa sana kufanya haya mnayofanya, nakukumbusha jambo hapa, wengi wa kizazi hiki wao wameona na kugusa.

Hiyoan awkward person mnayoitumia kwa nguvu inapaswa ukiwa hai for 40yrs ndipo uanze kudanganya hao utakaokuwa nao but for this touched generation!.
 
Waloliopo jamii forum tu ni wachache wa walamba asali .ila ukienda utube.instra. mtaani ni wengi mno wa magu Iko ndio kinacho wachanganya wahafidhina wake awaelewi wazuie midia zote zisimuonesha ila ashukuliwe mitandao kwakweli imefulika

Angekuwa na watu wengi hivyo angenajisi uchaguzi? Matokeo ya kweli ya uchaguzi aliyoonyeshwa hata yeye alichoka kabisa. Kipimo halisi cha kiongozi kukubalika ni kuheshimu uchaguzi. Haya ya kutuambia alikuwa anakubalika sana huko mitaani, kisha akapora uchaguzi ni vichekesho.
 
Sasa kwa nini uchaguzi wa 2020 ulifinyangwa vile??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…