Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe unataka mimi tu nijibu swali, wewe hujibu?Adika au jibu swali chief.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka mimi tu nijibu swali, wewe hujibu?Adika au jibu swali chief.
Basi na mimi nitakujibu baada ya miezi 10 tuende sawa. Usijione wewe tu ndiye unayeweza kujibu watu baada ya miezi 10 na ukategemea mazungumzo yaendelee tu.Hukuniuliza swali ila umenipiga na msonobali kisa sijasoma l na r, nasubiri kusoma hayo matatizo ya late mwamba!.
Acha hasira kijana wangu, nilisafiri plus majukumu hatari hivyo nimerudi nyumbani Tanganyika, twende kazi.Basi na mimi nitakujibu baada ya miezi 10 tuende sawa. Usijione wewe tu ndiye unayeweza kujibu watu baada ya miezi 10 na ukategemea mazungumzo yaendelee tu.
Kuwarudidhia wezi hela zao!, na kuwarudisha kazini majizi woote waliotumbuliwa na magufuli!?.Mkuu, Rais SSH anachokifamya toka alipokabidhiwa madaraka ni "paradigm shift" kutoka mfumo uliokuwepo wa "one man show" pale alipohudumu chini ya aliyekuwa bosi wake, na sasa anajitahidi kuendesha serikali yake katika mfumo wa kitaasisi zaidi.