Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Ni mbaya pia kujua kama hujui ni mbishi! Nn unapinga kua hakuwasema wastaafu wana washwawashwa? Yaan unataka uamunishe jukwaa kua hakuwahi kuwasema vby ila yeye ndo anasemwa vby? Not on that way u think!!Alisema JPM alikufa kwa COVID.
Usijitie kusshau.
Hao wastaafu ambao umewatafsiri wewe hawakutajwa majina na kuna wakati tushawahi kusikia voice note za wastaafu wakimuita huyo mnayemtukana kuwa ni mshamba.
Ubishi ni tafsiri yako
Pia kufa kwa COVID sio kusemwa vby! Wao waliokua kweny system ndio wanajua, sasa unalalamika nn mkuu? Kufa kwa COVID sio tusi wala sio ubaya ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Ni vzr ulete alilosemwa vby na Rais Samia!!Alisema JPM alikufa kwa COVID.
Usijitie kusshau.
Hao wastaafu ambao umewatafsiri wewe hawakutajwa majina na kuna wakati tushawahi kusikia voice note za wastaafu wakimuita huyo mnayemtukana kuwa ni mshamba.
Ubishi ni tafsiri yako
Haki au uhuru wa maoni ya mwananchi umeutendea vizuri, sihitaji kukukatisha tamaa wala kujibu kwa mtazamo wako ila najibu kulingana na uongo unaotaka sijui kumuaminisha nani!.Kiongozi mmoja alisema "Mwananchi mmoja akiumia nisooote tumeumia, haki yakila mmoja nimsingi wa haki zetu sooote"
Sijahukumu mtu ila anayemshabikia magufuli kama sio mjinga basi alifaidika na ukatili wakeWewe ni nani hadi uhukumu? Acha uchawa,ujinga na udangaji ukalime.
FakeNa wewe je,hii ID yako ni fake au halisia?
Laana kulingana na maovu yake wakati yuko haiKumbe wanaokufa ni laana. Hujawahi kufiwa au hata wewe ni laana sababu ipo siku utakufa? Au ndiyo madhara ya vyeti feki dada?
Nitautoa wapi mrija ili hali mimi ni cheti fakeSawa mlamba asali.
Samia hana boss nchi hii, yeye ndiye top boss.
Hatuhitaji kutumia nguvu kubwa kueleza ubaya wa Magufuli, kwa sababu yeye mwenyewe alifanya kazi kubwa na ya wazi kuonesha hayo.Sawa kabisa comrade kwa mawazo yako ila wakati mnatumia nguvu kubwa sana kufanya haya mnayofanya, nakukumbusha jambo hapa, wengi wa kizazi hiki wao wameona na kugusa.
Hiyoan awkward person mnayoitumia kwa nguvu inapaswa ukiwa hai for 40yrs ndipo uanze kudanganya hao utakaokuwa nao but for this touched generation!.
Mkuu kuna ethics fulani nadhani uhifaham but naomba leo nikifahamishe.Angekuwa na watu wengi hivyo angenajisi uchaguzi? Matokeo ya kweli ya uchaguzi aliyoonyeshwa hata yeye alichoka kabisa. Kipimo halisi cha kiongozi kukubalika ni kuheshimu uchaguzi. Haya ya kutuambia alikuwa anakubalika sana huko mitaani, kisha akapora uchaguzi ni vichekesho.
watanzania wengi wanapenda kupigwapigwa, ndivyo walivyolelewa.Kwa kifupi Jiwe alikuwa laana kwa taifa
Legacy moja kubwa ya Magufuli ni kutoheshimu utawala wa sheria.Mkuu kuna ethics fulani nadhani uhifaham but naomba leo nikifahamishe.
Unaweza usikubalike au kupendwa siku ya kwanza kazini kwako na hiyo itatokana na ulivyokataliwa vyovyote vile.
°But ukiwa kwa hao wasiokupenda ukatengeneza legacy yako hao hao waliokukataa wanakuja na watakuelewa ipasavyo, hicho ndicho kilichotokea -pinga (kwa sababu una uhuru)
Utakuwa mwandishi mzuri sana, but na huyu ni nani sasa 👇🏾aliyeruhusu kujengwa kwa hili dege?Hatuhitaji kutumia nguvu kubwa kueleza ubaya wa Magufuli, kwa sababu yeye mwenyewe alifanya kazi kubwa na ya wazi kuonesha hayo.
Sisi tunafanya marejeo tu.
Tatizo tuna uelewa tofauti. Sasa unategemea mimi nifikiri sawa na mtu ambaye hajui uhuru wake, hajui haki za binadamu, hajui sheria, hajui historia, hajasoma, hajui Kiingereza kupanua wigo wa mawazo, hajasafiri kufika hata Kenya?
Watanzania wengi ndio wapo katika kundi hilo, wajinga, wanaridhika kirahisi, wanaongozwa na woga, wanataka mbabe fulani na kuona ubabe ndiyo uongozi mzuri, hawataki kutetea uhuru wao.
Sasa watu hao wakimpenda mtu kwa ujinga wao, wingi wao ndio unafanya waliposimama pawe sawa?
Unaweka hoja kwamba wingi ndiyo kuwa sawa, nchi yenye wajinga wengi wajinga wengi wanaweza kupenda kitu kibaya kinachowaumiza wao wenyewe.
Magufuli kanunua ndege za dola milioni 726, katika nchi ambayo haina hata business plan ya kuendesha biashara ya ndege.
Halafu tunaambiwa kilimo ndiyo uti wa mgongo wa Tanzania, na bajeti ya kilimo cha umwagiliaji ni dola za Marekani milioni 16, hiyo bei ya nyumba moja tu hapo Malibu.
Yani tuendelee kulima kwa kutegemea mvua za kudra wakati hela zote hizo tunanunulia ndege!
Tena ndege zenyewe zinaishia kukamatwa huko nje kwa madeni. No staregic planning at all.
Wewe unamuona huyo mtu anajua priorities za nchi?
Air Tanzania Buys 4 New Boeing Planes at USD 726 Million
Tanzania announced an order for a 787-8 Dreamliner, a 767-300 Freighter, and two 737 MAX jets at the 2021 Dubai Airshow.www.tanzaniainvest.com
That's logical non sequitur.Utakuwa mwandishi mzuri sana, but na huyu ni nani sasa 👇🏾aliyeruhusu kujengwa kwa hili dege?
ATCL’s first cargo plane almost ready for delivery
The cargo plane is among the four Boeing planes that was ordered by the Tanzania government in 2021www.thecitizen.co.tz
Yaani huo ndiyo ukweli, wanaomkubali Hayati Magufuli ni majority kubwa kuliko hawa hawa wanaorusha mawe na mikuki kwa marehemu.
😂 Ahahahhaaaaa, imebidi nicheke kwanza maana kuna wkt unaweza kuisi kama dunia si mahali salama pa kuishi.Rais gani anazuia upinzani kufanya mikutano ya hadhara inayoruhusiwa kikatiba?