Ukweli Kuhusu Wahafidhina Wanaomnanga Hayati Magufuli


Uchaguzi wa 2020 ni miaka mitano baada ya yeye kwa rais, ni kukubalika kupi huko alikuwa bado hadi akapora uchaguzi? Narudia tena, kipimo cha kukubalika ni kuheshimu uchaguzi, kutuambia kuwa alikuwa anakubalika, wakati hakuwa tayari kuheshimu kipimo cha kukubalika, ni kutupotezea muda.
 
Kusema Magufuli hakuwa Dikiteta ni kujidanganya nafsi.
 
Nyie ata Leo lowekwe jina la magufuli na chama chenu kwenye uchaguzi anashinda magufuli
 
Mbuka pia watanzania asilimia tisini ni darasa la saba na hawana elimu na hawajui chochote. Hawa wahafidhina uliowasema ndo angalau Wana elimu ya kujitambua na kujua mema na mabaya na angalu wamevuka elimu ya darasa la saba. Hivyo Hawa asilimia tisini wao wanaongozwa na emotions tu hata hawajua wanampendea Nini jpm Bali watakwambia tu kwamba alikuwa anataka kuwafilisi wenye kujituma kutafuta pesa
 
Nyie ata Leo lowekwe jina la magufuli na chama chenu kwenye uchaguzi anashinda magufuli

Hakuna anayekataa, tulitaka tu alipokuwa hai aheshimu uchaguzi, kisha ungekuja kuleta mrejesho hapa. Sio mnasema angeshinda tu uchaguzi, lakini yeye mwenyewe akawa hataki kura za halali zifahamike.
 
😂 Ahahahhaaaaa, imebidi nicheke kwanza maana kuna wkt unaweza kuisi kama dunia si mahali salama pa kuishi.

Unaweza kutafuta new logical fallacy kutuambia Magu ndiye Rais wa kwanza kuvunja katiba yetu, ahahahaa.
That is an old logical fallacy, not a new one.

That is whataboutism and a straw man fallacy.

Kwa hiyo Magu akiua atakuwa hana hatia ya kuua kwa sababu waliomtangulia waliua?

Do you know the meaning of "two wrongs do not make a right"?

Unajua hapo hujatoa utetezi, umekubali kwamba alivunja katiba?
 
Hata hii inahusiana, kama watu wengi zaidi wanampenda sana kiongozi inamaanisha hawezi kuwa na wasiwasi katika sanduku la kura na kucheza faulo
Issue ya uchaguzi tutaiangalia kwenye mada ijayo now tunasema "Ukweli kuhusu Wahafidhina Wanaomnanga Magufuri"
 
Hivi, unataka kusema toka nchi hii ifanye chaguzi ni zoote ccm imekuwa ikishinda zote ila ule wa Magufuri tu ndiyo alishindwa?.
 
Hivi, unataka kusema toka nchi hii ifanye chaguzi ni zoote ccm imekuwa ikishinda zote ila ule wa Magufuri tu ndiyo alishindwa?.

Acha upotoshaji, uchaguzi wa mwisho CCM kushinda wangalau kihalali baada ya mfumo wa vyama vingi, ni wa 2005, baada ya hapo CCM imekuwa ikitegemea wizi wa kura. Ila uchaguzi wa 2020 hakukuwa na wizi, bali ilikuwa ni advance level ya wizi, pale mchakato wa uchaguzi uliporwa. Ingia leo kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule yapo, kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Unajua hapo hujatoa utetezi, umekubali kwamba alivunja katiba?
Utanitoa kwenye reli chief, sijaanzisha mada kwa ajili ya kumtetea mtu, na nilikujibu hilo but seems unapenda mjadara aina hiyo ambapo I'm not familiar on that episode.
 
Acha upotoshaji
😂😂😂😆😆😆 Da nacheka sana asee!.

Upotoshaji wangu uko wapi hapo au hujanielewa nimeandika kitu gani wewe!.
 
Dunia nzima inajua, Africa ni shuhuda na Tanzania ndiko alikoishi huku akiacha alama zisizofutika milele....Wakigusa barabara wataambiwa Waziri alikuwa JPM, wakiangalia infrustructure kubwa kubwa ambazo hatutaweza kuzijenga hata kwa miaka 20 ijayo jina lake litatajwa...Uchumi wa kati ni landmark ambayo dunia yote imeshuhudia hata tukikataa...Lakini cha zaidi ni kuwa pale wanapomsema vibaya watu wanawakumbuka akina Patrice Lumumba, Mandela, Samora Machel, Ghadaff n.k so hata kifo chake wanakichukulia kwa mrengo huo huo hata kama si hivyo, lakini pattern inapeleka huko...Ningekuwa mimi ningekubali tu a rest in peace, ama kupotezea ili kutoenda against the gravity kwakua huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono...JPM kama alikuwa tapeli basi aliimudu kazi hiyo kwakua kila tunachomshtaki nacho kina backfire
 
😂😂😂😆😆😆 Da nacheka sana asee!.

Upotoshaji wangu uko wapi hapo au hujanielewa nimeandika kitu gani wewe!.

Jiangalie upya, kama kila kitu unaandika na hueleweki.
 
Ahsante kwa andiko lako maridhawa Mungu akupe neema juu yako hakika MAGUFULI ni kiongozi bora kuwahi kutokea full stop
 
Utanitoa kwenye reli chief, sijaanzisha mada kwa ajili ya kumtetea mtu, na nilikujibu hilo but seems unapenda mjadara aina hiyo ambapo I'm not familiar on that episode.
You are not familiar with a lot it seems, even the difference between "mjadara" and "mjadala".

Wewe na Magufuli wote ni wa caliber moja ya watu wasiojua tofauti ya l na r, wakuja fulani washambashamba bado.

Ndiyo maana nikikueleza matatizo ya Magufuli huwezi kuyaelewa.

You are clearly out of your depth here.
 
Huo ndo ukweli
 
Haya ni malalamiko au hoja??
Haya ndio madhara ya kuzaliwa Kwa bahati mbaya... Tunachambua mambo Kwa hisia na sio Uhalisia: Changamoto kubwa sana hii
 
...
Ndiyo maana nikikueleza matatizo ya Magufuli huwezi kuyaelewa.

You are clearly out of your depth here.
Sawa msomi, sasa eleza hayo unayoelewa kuhusu mwamba alafu nikuelewe, otherwise utakuwa saea na nyoka aliyeingia ndani ya shimo akaacha mkia nje!.
 
Sawa msomi, sasa eleza hayo unayoelewa kuhusu mwamba alafu nikuelewe, otherwise utakuwa saea na nyoka aliyeingia ndani ya shimo akaacha mkia nje!.
Post ya March 19 2023 unaijibu leo.

Ya leo utaijibu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…