Basi na mimi nitakujibu baada ya miezi 10 tuende sawa. Usijione wewe tu ndiye unayeweza kujibu watu baada ya miezi 10 na ukategemea mazungumzo yaendelee tu.
Basi na mimi nitakujibu baada ya miezi 10 tuende sawa. Usijione wewe tu ndiye unayeweza kujibu watu baada ya miezi 10 na ukategemea mazungumzo yaendelee tu.
Mkuu, Rais SSH anachokifamya toka alipokabidhiwa madaraka ni "paradigm shift" kutoka mfumo uliokuwepo wa "one man show" pale alipohudumu chini ya aliyekuwa bosi wake, na sasa anajitahidi kuendesha serikali yake katika mfumo wa kitaasisi zaidi.