Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

unaujua mwanzo wa kanisa katolik vizuri? au unaongea tu
Hebu tujuze..daaah


kanisa la kirumi = kanisa katolik in recent time, kwa sababu lilikuwa kanisa la kiselikari ndio maana likawa na nguvu kudominate majority, ukihitaji zaidi nijulishe tuelimishane vzr mkuu
Unaposema ku-dominate majority unamaanisha nini...??
 
MANENO MENGI LAKIN BADO NI MBWEMBWE .....IMEANDIKWA USIVISUJUDIE YAAN USIVIABUDU NAPIA IKAANDIKWA USIVITUMIKIE YAAN HAKUNA KUVIFUTA VUMBI..KUVIWEKEA VITAMBAA AU KUVIKARABATI ..NDO MAANA YA USIVITUMIKIE.
 
Hebu nifafanulie hapa!!!
katika agano jiya umesoma ni dhambi gani ambayo Mungu ame muexcommunicate mtu aliyeenda kutubu, wakati unajua kabisa dhambi isiyosameheka mbele za Mungu ni kufuru kwa Roho Mtakatifu pekee, sasa kanisa lim excommunicate mtu kwa dhambi gani? na mamlaka hayo kanisa la Kristo ambalo ni upendo limeyatoa wapi? na kama lina mamlaka hayo kwa nn Mungu aseme hivi ktk Joel 2: 12 Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;
 
mkuu kama mtu hataki kutumia biblia achananae uzuri ni kwamba maandiko ndio kitu cha msingi kabisa ambacho mtu apaswa kukifuata na si vinginevyo.
Biblia sio Neno pekee la Mungu..jiulize walinukuu wapi ktk Biblia hadi kina Mt, Lk, Mk, Jn, Paul..hadi wakaandika? tuwekee humu Yesu aliagiza Mafundisho yake yaandikwe?!
 
Unaweza kuendelea kuamini hicho unachofikiria, maelezo yaliyotolewa hapa yapo wazi kabisa bila na hiki ndicho kinachofanyika. Kunatofauti kubwa sn kati ya kuheshimu na kuabudu. Mfano mdogo tu je wewe kwenye ofisi nyingi za serikali na mashirika mbalimbali kunapicha ya Rais je nini maana ya hiyo picha kuwa hapo, au nini maana ya kuwa na bendera za vyama au taifa. Kama huelewi ni vema ukakaa kimya kuliko kuleta pumba zako hapa
 
katika agano jiya umesoma ni dhambi gani ambayo Mungu ame muexcommunicate mtu aliyeenda kutubu, wakati unajua kabisa dhambi isiyosameheka mbele za Mungu ni kufuru kwa Roho Mtakatifu pekee, sasa kanisa lim excommunicate mtu kwa dhambi gani?
Hivi unafahamu maana ya kuwa ex-communicated...?

Hilo swala La kumkufuru Roho Mt...halihusiani na ex-communication ila linahusiana na kusamehewa na kutosamehewa..?

Vipi unasoma Biblia ukiwa umelewa nini...?
 
na mamlaka hayo kanisa la Kristo ambalo ni upendo limeyatoa wapi? na kama lina mamlaka hayo kwa nn Mungu aseme hivi ktk Joel 2: 12 Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;

Sasa kabla wahuni wenye roho za kipepo hawajaliangamiza Kanisa tunawawai mara moja...

Hata Martin Luther na wenzake baada ya kukaidi na kueleweshwa na wao kuwa na vichwa vigumu kilichofuta ni kuwa Ex-communicated....
 
MANENO MENGI LAKIN BADO NI MBWEMBWE .....IMEANDIKWA USIVISUJUDIE YAAN USIVIABUDU NAPIA IKAANDIKWA USIVITUMIKIE YAAN HAKUNA KUVIFUTA VUMBI..KUVIWEKEA VITAMBAA AU KUVIKARABATI ..NDO MAANA YA USIVITUMIKIE.
Hiyo amri umeielewa maana yake...? Hivi mbona hujajiuliza huyo huyo Mungu mbele kidogo kwenye hiyo Kut 20:4 anamruhusu Musa Achonge sanamu ya shaba...?
 
Hivi unafahamu maana ya kuwa ex-communicated...?

Hilo swala La kumkufuru Roho Mt...halihusiani na ex-communication ila linahusiana na kusamehewa na kutosamehewa..?

Vipi unasoma Biblia ukiwa umelewa nini...?
Una matatizo kwa sababu mtu aliyeko sawa kiakili hawezi tumia lugha za kejeli kama zako ili kuleta ushindi wa hoja zake ni sawa na rais kuwambia watu wa Kagera kuwa hakuahidi kupeleka tetemeko wakati angewafariji tu na wakaridhika kwamba anawajali

excommunication—a removal from the local church.
wewe unasemaje ili tusiwe tuna uelewa tofauti ili tuanze kufungua biblia kwa pamoja kupata majibu yetu tuyahitajiyo
 
kama selikari hajajitenga na dini, mf papa akawa ndiye raisi unategemea majority ya wananchi watakua wa dini gani?
Hivi unatumia akili unapoandika...? Papa ni Rais wa nchi gani au alishawahi kuwa Rais wa nchi gani..?
 
kama selikari hajajitenga na dini, mf papa akawa ndiye raisi unategemea majority ya wananchi watakua wa dini gani?
Hivi unatumia akili unapoandika...? Papa ni Rais wa nchi gani au alishawahi kuwa Rais wa nchi gani..?
 
Hivi unatumia akili unapoandika...? Papa ni Rais wa nchi gani au alishawahi kuwa Rais wa nchi gani..?
hujajua vzr historia ya kanisa lako ndo maana umejaa jazba
hivi ntapost kitu hapa bila kutumia akili ?
kweli? jaribu kuwa mstarabu basi hili ni jukwaa la kuelimishana kama kanisa linafanya vbaya sisi ndo wa kuyaona hayo mabaya na kuyasawazisha
 
Hate is a such a weak emotion
 
Unachefukwa peke yako! Pilipili usiyoila inakuwashia nini!

Ulifuata nini huko kanisani kwao mpaka kukutana na hayo masanamu.

Unajua maana ya kuabudu wewe? au unaandika usichokijua, au kiswahili kigumu...!

Kalale
 
Una matatizo kwa sababu mtu aliyeko sawa kiakili hawezi tumia lugha za kejeli kama zako ili kuleta ushindi wa hoja zake
Unafahamu kejeli wewe au unabwabwaja...???

wewe unasemaje ili tusiwe tuna uelewa tofauti ili tuanze kufungua biblia kwa pamoja kupata majibu yetu tuyahitajiyo
Hakuna haja ya kwenda huko...ipo wazi...Sheria za kuendesha taasisi fulani usipozifuata na kutaka kuleta zao njia iliyobaki ni kufukuzwa/kuondolewa...ili uwe huru kufanya unayoyataka...

Fr. Nkewera alifukuzwa, Fr. Kibwetere alifukuzwa...Kufukuzwa ni kitu cha kawaida ili walengwa wasiliharibu kanisa...
 
Ah! Roma basi makafiri wanatengeneza sanamu halafu wanaziabudu.
 
toa definition ya excommunication ili tuanzie hapo kwa nn uogope biblia wakt ndo tuitumiayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…