Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Aliyeielewa aitafasiri kiswahili nichangie na mimi 😀.
 
Huwezi ukawa mkatoliki halafu usiunge mkono ukatoliki. Wewe ni mnafiki mkubwa tu. Hata huko uliko hapakufai kwani hujui unachojua na usichojua.
Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo... ndivyo tulivyofunzwa sisi kuwajibu watu wa namna yako.
 
Katika moja ya apparitions za mama Maria alisema ilipo sanamu yake ni sawa na kuwepo kwake yeye mwenyewe. Nilizaliwa m-Katoliki na nitakufa m-Katoliki. Ninasali rosary tena raha kukutana na watu wa mataifa mbali mbali mnasali international rosary.
moja ya point yangu ambayo huwa napenda kuitumia sana ni hii hapa.

"worshipping" Mary, of course, most Catholics do such thing. To "worship" someone not image implies that one recognizes in the object of worship the source of all worth and goodness. But the Catholic Church teaches that Mary is certainly not the source of all worth and goodness in the universe; she is just a creature, a channel and vessel of God's grace. We call her "Holy Mary" in much the same way that all Christians speak of the "Holy Bible," because the Bible, too, is a vessel, a channel of God's grace to us. As St. Ambrose (340-397) once wrote: "Mary is the Temple of God, not the God temple"
 
Kasome Yakobo 1:26-27, utaijua dini iliyosafi mbele za Mungu
mkuu kama mtu hataki kutumia biblia achananae uzuri ni kwamba maandiko ndio kitu cha msingi kabisa ambacho mtu apaswa kukifuata na si vinginevyo.
 
mkuu kama mtu hataki kutumia biblia achananae uzuri ni kwamba maandiko ndio kitu cha msingi kabisa ambacho mtu apaswa kukifuata na si vinginevyo.
Hahahaha....Huyo mbumbumbu mwenzako alisema Duniani hakuna dini ya kweli....

Nisome hapa!!!
Maandiko yanasemaje kuhusu DINI
Kamata hii
Yak 1:27
Dini iliyo safi ni Kwenda kuwatizama Yatima na Wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa...

Vipi unapingana na maandiko..?
 
Swali langu ni la msingi mno...

Unashikaje Biblia...? Unashika kwa mkono..? Unahifadhi akilini maandiko(Unakariri)
Jifafanue nikuelewe
1.wewe biblia unaishikaje ?

2.je link niliyokupa Jana uliifugua ukaisoma ? na kama ulisoma ilikusaidiaje.

3.kilichoandikwa hapo juu kinaeleweka sasa kwanini unabisha au wewe unaufahamu zaidi kuliko wao.

4.nyie ndio mnao kashifu dini za watu wakati papa John Paul ii alifanya kazi kubwa kuleta ulafiki na dini zingine.
 
Back
Top Bottom