Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Go read your scriptures! Dharau, kiburi, wivu, chuki, ni ibada kamili ya masanamu sawa sawa na kuabudu fedha, magari, majengo, ngono, ushirikina, mavazi n.k!Hivi kwa mstari huo ndio wanataka kuwaaminisha watu kwamba wanalo lifanya ni la Kibiblia? Nina amini viongozi wa RC ni wasomi sana kulinganisha na madhehebu mengi ya Kikristo; that scripture was the image or sign of Jesus Christ who was coming, baada ya ujio wa Yesu hilo jambo la nini tena? Well, hivi baada ya kuusoma huo mstari (kwa wasio jua Biblia, tukio hilo lilifanyika wakati wana Israel wapo njiani kutoka Misri kwenda hapo walipo leo, yaani Kaanani) ndio unaweza kuja na coclusion ya namna hiyo kweli? Je Wana Israel baada ya kufika Israel kwenye majengo yao ya Ibada walikua na kitu/vitu vya namna hiyo kweli? If yes the Roman Cathoric they are right from what they are doing but if the answer is NO then where are they getting from?
Wasikwepe, hapo hua wanaa budu sanamu na sio vinginevyo. Vitu kama Rozari (ni kama tasbihi tu kwa Waislamau) na hayo manembo ya sijui MAriamu, PEtrol au hata Yesu mwenyewe, ni masanamu tu kama mengine. HAyawezi kutakaswa tu kwasababu eti yapo kanisani.
Nahisi wewe utakuwa umejichongea masanamu mengi sana. Na katika ulimwengu wa Roho utakuwa unaviabudu kikamilifu!