Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Uko sahihi mimi ni mtupu kwako,kwa sababu naongea vitu ambavyo huvielewi.Mkuu tulia kwanza naona kama kuna vitu umepata sasa unataka kunidisturb ili niharibu noo brother,loose your temper not.Usifanye hivyo,kwa hiyo rafiki umenielewa au nikuache upumzike kesho niendelee kukuelimisha?Unajua tena brain ya mwanadamu ina kiwango maximum cha kupokea kikifikiwa unakuta mtu anakuwepo ila haelewi somo.
huyu jamaa nafikili si muelewa kabisa anashindwa kuleta ushahidi wa kimaandiko kabisa
 
kwa mkristu mkatoliki haitaji maelezo ya muanzisha uzi ili kuelewa aamini kipi kati ya hayo mnayo bishana

namuomba Mungu atupe Imani na hekima maana wengi hatujui kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
hiyo habari nimeikopi kutoka chombo cha habari cha vatikani kinaitwa Catholic news agency (CNA) kupesti humu jamii forum tu mkuu sasa naona wakatoliki wingine wanaipinga
 
Mtu ambaye ni Mkatoliki na amepitia mafundisho ya ekaristi na kipaimara. Hawez kaa na kuanza kuuliza picha za kanisani ni za nini au rozali ni kitu gani. Nyie mnao question hivyo vitu sio wakatoliki nyie ni mamluki tu.
 
kweli kabisa mkuu.
 
Ndugu kuwa na utaratibu wa kusoma biblia kila siku,kabla ya kusomwa mwombe Mungu nakusaidie kuelewa.Ukisoma biblia utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru.Wengi hawasomi biblia wanasubilia viongozi wao wasome waje wawaelezee na wengi wao wakikutana na watoto wa ma mdogo wanachukuliwa kirahisi kwa sababu hawalijui neno.
 
soma vizuri hiyo mada halafu uje na conclusion yako kama unaipinga au vipi sio unacomment kabla ya kuisoma
 
huyu jamaa nafikili si muelewa kabisa anashindwa kuleta ushahidi wa kimaandiko kabisa
Siyo kosa lake wala usione ni yeye,kuna roho zinazotenda kazi ndani ya watu,zikiwafunga ufahamu hata uwaelezee vipi.Naamini unajua anayeokoa ni Mungu na si mwanadamu.Usimlaumu wakati wa bwana ukifika ataijua kweli,mwombee tu.Wewe panda mbengu,mwingine ataimwagilia maji kisha mwishoni atavunwa.
 
Uko sahihi mimi ni mtupu kwako,kwa sababu naongea vitu ambavyo huvielewi.Mkuu tulia kwanza naona kama kuna vitu umepata sasa unataka kunidisturb ili niharibu noo brother,loose your temper not.Usifanye hivyo,kwa hiyo rafiki umenielewa au nikuache upumzike kesho niendelee kukuelimisha?Unajua tena brain ya mwanadamu ina kiwango maximum cha kupokea kikifikiwa unakuta mtu anakuwepo ila haelewi somo.

Wewe nadhani hunifahamu...Huwa sibabahiki..naelewa nichoandika...

Ila nimependa njia yako ya ku-escape mada....
Good escapism mechanism
 
we jamaa ubishi wako siuweliwi kabisa unafikili nimejitungia hayo au unafikili kila mmoja unaweza kumshinda kirahisi na hiyo information ni kutoka CNA chombo cha habari kutoka Vatican na sijui kama umeisoma na kuielewa vizuri.
Aliyekuambia Catholic News Agency ni Chombo cha habari kutoka Vatican ni nani...?
 
Ndugu kuwa na utaratibu wa kusoma biblia kila siku,kabla ya kusomwa mwombe Mungu nakusaidie kuelewa.Ukisoma biblia utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru.Wengi hawasomi biblia wanasubilia viongozi wao wasome waje wawaelezee na wengi wao wakikutana na watoto wa ma mdogo wanachukuliwa kirahisi kwa sababu hawalijui neno.
Wewe unaesoma ndio ulipata maarifa kuwa hakuna dini ya kweli duniani..?

Unashangaza kweli...
 
nachukia dhehebu...sijataja mtu..
uwege unasoma vizur basi kabla hujajibu..
ila hapa kila mtu ana uhuru wa kueleza yake ya moyoni
KAMA NIMEKUKERA AM SOREEE[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sasa wakiabudu sanamu we inakukera nini kipi kinakufanya uchukie wakati unadhehebu lako?? Kwann usiwe bize na dhehebu lako tu..kama wanakuchefua hicho ni kiherehere chako umeyataka mwenyewe chefuka vzur
 
soma vizuri hiyo mada halafu uje na conclusion yako kama unaipinga au vipi sio unacomment kabla ya kuisoma
Kwani nimequote post yako au naongelea wanaocrush ivyo vitu? Sijahangaika kuisoma iyo post sababu sijui hiyo lugha mimi nmesoma comments na ndicho nikichokiandika kutokana na comments
 
Aliyekuambia Catholic News Agency ni Chombo cha habari kutoka Vatican ni nani...?
haya niilekeze ni cha wapi sasa na kwa nini kijiite Catholic news agency(CNA) halafu umeifungua hiyo link kama nilivyokuelekeza mkuu
 
Kwa mkomavu kiroho hawezi kumwita mtu pepo,wakati mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Ushahidi gani..? Kwa hoja ipi uliyoniomba andiko nikupe..?
Hebu nioneshe hiyo hoja yako niione..
zipinge hoja sasa za Catholic news agency kimaandiko na si vinginevyo siumesema sio chombo cha habari cha Vatican mkuu
 
Kwani nimequote post yako au naongelea wanaocrush ivyo vitu? Sijahangaika kuisoma iyo post sababu sijui hiyo lugha mimi nmesoma comments na ndicho nikichokiandika kutokana na comments
Sorry kama nimekukwaza but hiyo post ilikuwa inajieleza ndio maana niliandika vile.
 
haya niilekeze ni cha wapi sasa na kwa nini kijiite Catholic news agency(CNA) halafu umeifungua hiyo link kama nilivyokuelekeza mkuu
Hiyo ni web site kubwa inayomilikiwa na Padre mmoja wa Kimarekani...
Nafikiri ni Fr Barron...

Vatican inavyombo vyake vya Habari...Ni sawa na kusema gazeti la Kiongozi lina milikiwa na Vatican
 
Back
Top Bottom