Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Andiko ni nini..? Na Neno ni nini..?
Wanaojua wamenielewa.Sasa tofauti ya andiko na neno nenda kamwulize katikista wako,kwani moja ya kazi yake ni kujibu maswali ya waumini au hujui kama ni kazi yake?Akikujibu leta jibu lake hapa
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Huwezi ukawa mkatoliki halafu usiunge mkono ukatoliki. Wewe ni mnafiki mkubwa tu. Hata huko uliko hapakufai kwani hujui unachojua na usichojua.
 
Mtu asijidanganye anayo dini ya kweli....Hakuna dini iliyo ya kweli duniani.
Dini ni nini...? Huenda umeandika usichokielewa...?

Maandiko yanasemaje kuhusu DINI
Kamata hii
Yak 1:27
Dini iliyo safi ni Kwenda kuwatizama Yatima na Wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa...

Vipi unapingana na maandiko..?
 
Wanaojua wamenielewa
Kina nani hao...? Usipende kusemea watu...jisemee wewe na nafsi yako....Maswali yangu yana mantiki sana..

.Sasa tofauti ya andiko na neno nenda kamwulize katikista wako,kwani moja ya kazi yake ni kujibu maswali ya waumini au hujui kama ni kazi yake?Akikujibu leta jibu lake hapa
Hahahaha....Sasa mkuu kama umesrma Hakuna dini ya kweli duniani....kisha maandiko yakakuumbua Yak 1:27
Una uhalali gani wa kuendelea kujadiliana..? Maana hujielewi wewe....

Bure kabisa
 
Sipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Kilichokushangaza ni kitu gani wakati kunywa siyo dhambi?
Hahaaa nilishangaa siku moja kwenye sinod naona maasikufu wanapiga john Walker na jack Daniel
 
Mungu huyo kwenye Kut 20:8.... nakuendela anatoa amri ya Katazo...

Ila mbele kidogo anamwamuru Mussa Achonge Sanamu...?

Huyo Huyo Mungu...Anamwagiza wana wa Lawi wachonge Serafi Mbili na Kerubi mbili moja kulia na moja kushoto zikizunguka sanduku la Agano na kupamba hekalu...

Je! Umejiuliza ni kwanink huyo Mungu akataze na kusha aje kuruhusu baadae.. ?
Mkuu wewe ni msomaji wa biblia?Yesu alulizwa swali la waume kuwapa taraka wake zao,wale jamaa wakamwambia(Marko 10)

Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.Ndiyo maana tunasisitiza mjazwe roho matakatifu,yeye atawafundisha.Sasa wachanga wakikutana na maandiko kama hayo wanasema biblia inajipinga au Mungu anachanganya.
 
Bandiko lako ulilileta kama kuwaandikia Wasabato.....

Hapo kwenye Red!!! Njia ya muongo ni fupi...nimeshawaambia huitaji kujiita Mkatoliki ili ukamate attention ya watu humu JF...vitu vidogo tu tunakukamata....Sasa hili bandiko lako peleka kwenye makambi na lessoni ukawafundishe..

Halafu hebu nipe hiyo link ya Vatican....

Umekosa uhalali wa kujadiliana kwa upuuzi ulioandika hapo juu
Catholic News Agency :: CNA

hiyo link ikifuguka angalia kile kitufe cha kutafutia then andika neno hili"GRAVEN IMAGE" baada ya hapo utapa jibu lako mkuu na zaidi utapunguza ujinga baati njema mkuu.
 
Mkuu wewe ni msomaji wa biblia?Yesu alulizwa swali la waume kuwapa taraka wake zao,wale jamaa wakamwambia(Marko 10)

Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.Ndiyo maana tunasisitiza mjazwe roho matakatifu,yeye atawafundisha

Wewe ni mtupu....Kamlete mchungaji wako aje ajadiliane na mimi..? Wewe size yako ni vijiwe vya kahawa kule
 
Huu mstari ndio ulimfanya Martin Luther kuondoa kitabu cha Yakobo kwenye Agano Jipya...

Unaelewa ulichoandika...?
Mkuu mimi nataka kwanza wewe upone,akija mwingine nitamjibu kutokana na uhitaji wake.Martin Luther si sehemu ya elimu yangu leo.Wewe kama umeelewa na unataka nikuongoze sara ya toba sema.
 
Mkuu mimi nataka kwanza wewe upone,akija mwingine nitamjibu kutokana na uhitaji wake.Martin Luther si sehemu ya elimu yangu leo.Wewe kama umeelewa na unataka nikuongoze sara ya toba sema.
Vipi! Eti duniani hakuna dini ya kweli ehh..
 
Mkuu mimi nataka kwanza wewe upone,akija mwingine nitamjibu kutokana na uhitaji wake.Martin Luther si sehemu ya elimu yangu leo.Wewe kama umeelewa na unataka nikuongoze sara ya toba sema.
Nimekuuli hicho ulichikisndika umekielewa...??
 
Wewe ni mtupu....Kamlete mchungaji wako aje ajadiliane na mimi..? Wewe size yako ni vijiwe vya kahawa kule
Uko sahihi mimi ni mtupu kwako,kwa sababu naongea vitu ambavyo huvielewi.Mkuu tulia kwanza naona kama kuna vitu umepata sasa unataka kunidisturb ili niharibu noo brother,loose your temper not.Usifanye hivyo,kwa hiyo rafiki umenielewa au nikuache upumzike kesho niendelee kukuelimisha?Unajua tena brain ya mwanadamu ina kiwango maximum cha kupokea kikifikiwa unakuta mtu anakuwepo ila haelewi somo.
 
Wewe ni mtupu....Kamlete mchungaji wako aje ajadiliane na mimi..? Wewe size yako ni vijiwe vya kahawa kule
we jamaa ubishi wako siuweliwi kabisa unafikili nimejitungia hayo au unafikili kila mmoja unaweza kumshinda kirahisi na hiyo information ni kutoka CNA chombo cha habari kutoka Vatican na sijui kama umeisoma na kuielewa vizuri.
 
Nimekuuli hicho ulichikisndika umekielewa...??
Mkuu kwani kinaonekana kama ni mecopy na kupaste?Ninaandika ninavyovielewa kama kitu sikijui nitakufahamisha sikijui.
kaka naona upumzike,tuendelee kesho.Kesho tutaendelea tuombe uzima.nahukuru kwa kuja darasani leo,kafanyie kazi haya uliyojifunza leo.Mwanafunzi mzuri hufanyia kazi anachofundishwa na mwalimu wake.Pia ni muda mzuri kwako ukaonane na katikista kwa habari ya lile swali.
 
kwa mkristu mkatoliki haitaji maelezo ya muanzisha uzi ili kuelewa aamini kipi kati ya hayo mnayo bishana

namuomba Mungu atupe Imani na hekima maana wengi hatujui kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
 
Sipend na ninachukizwa na uwepo wa sanamu kanisani, mm ni mroma pyua ila vitu vingi mm sivifuati kama kwenda kukaa mbele ya sanamu la bikra maria, kwenywe sanamu la mtoto yesu x mass, na kubusu sanamu siku ya ijumaa kuu
Mroma?? Ndugu unamaanisha wewe unatokea roma
 
Back
Top Bottom