Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,231
Wanaojua wamenielewa.Sasa tofauti ya andiko na neno nenda kamwulize katikista wako,kwani moja ya kazi yake ni kujibu maswali ya waumini au hujui kama ni kazi yake?Akikujibu leta jibu lake hapaAndiko ni nini..? Na Neno ni nini..?