Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Ubarikiwe sasa itafika Nakuombea ili ukiongoka uwaimarishe na ndugu zako.
 
Sometimes Roman tunakosea sana ila haina jinsi maana hakuna mkamirifu
Hata waislamu na waprotestant wanakosea sana lakini Mungu anawajua walio wake na kwa majira yake kweli za biblia zitafunuliwa wazi kwetu maana ukweli utatuweka huru
 
Kwahiyo we unapenda dhehebu gani??
 
Ukikataa kuyafanya hayo unaanza kuwa mprotestant walioprotest zaman ilibidi watoke nje ya rome ndipo ukapata wana matengenezo reformers kama martin luther john huss knox calvin ambao waliyakataa mafundisho ya mapokeo traditions kama ulivyosema kwenye ukaja mwangaza wa ulaya na kwingineko
 
Katekesisi yako ni duni kwa viwango vya Bashite....Sidhani hata kama Biblia unayo wewe..?
Biblia wameanza kusoma juzijuzi kwa hiyo usimhukumu it was a mortal sin to read that holy book kwa madai kwamba askofu sijui padre ndie mwenye uwezo wa kuyafafanua ya humo.
 
Dada embu nenda kalale bana...!!!
 
Sio wewe tu, mko wengi...
Kanisa limejengwa juu ya mwamba imara, wala milango ya kuzimu haitalishinda...
Rejea injili ya Mathayo 16:18
 
Biblia wameanza kusoma juzijuzi kwa hiyo usimhukumu it was a mortal sin to read that holy book kwa madai kwamba askofu sijui padre ndie mwenye uwezo wa kuyafafanua ya humo.
We mwenyewe mtupu kama yeye...

Umeshajipimia teyari...Jipime vizuri usijepata maruwenge kama Ellen maana inaelekea Mr. James White alikuwa atimizi wajibu wake..bibie akawa anapata njozi za kuzimu..

Kalale bana
 
Sio wewe tu, mko wengi...
Kanisa limejengwa juu ya mwamba imara, wala milango ya kuzimu haitalishinda...
Rejea injili ya Mathayo 16:18
Hivi mtu anaanzaje kulichukia kanisa Katoliki aliloluanzisha Yesu ...? Hawajui wanachokiongea
 
Dada embu nenda kalale bana...!!!
Ndio nimeaka sahivi nakutana na mafundisho ya uwongo ya genge lako bwana otoronģonģo hata hivyo nakuombea ili Kwa kadri ya ufahamu wako kidogo umjue Mungu wa kweli wa Maandiko ya biblia nimekuwekea video kule umeiangalia?
 
Mtoa mada ana hoja dhaifu sana kutetea ibada yao ya sanamu. ni sawa na mtu anakwambia sili nyama ila nakula mchuzi tu.
 
We mwenyewe mtupu kama yeye...

Umeshajipimia teyari...Jipime vizuri usijepata maruwenge kama Ellen maana inaelekea Mr. James White alikuwa atimizi wajibu wake..bibie akawa anapata njozi za kuzimu..

Kalale bana
Ubarikiwe
 
Hayo ya eti ni msimamo wa kanisa kutomlazimisha mtu yoyote kushiriki sala za wafu,rozari na kula kitubio n.k
 
Wewe nonda ni mpinga kristo ni wa kupuuzwa umeanza kuleta hayo mavideo na malink yako ya kishetan, zile maada ya dini yako ya kiisilamu umezikimbia umekuja huku kwenye maada za iman za kikristo
Yesu anasema. John 17:3 Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.

Unafahamu maana ya "Wakutambue wewe the only true God na waupokee ujumbe wako uliowaletea kupitia kwa Yesu?

Na pia aliwaambia jamaa, ndugu na rafiki zake. John 20:17 KJV: Jesus saith unto her, Touch me not; for I am not yet ascended to my Father: but go to my brethren, and say unto them, I ascend unto my Father, and your Father; and to my God, and your God.

Imeandikwa Yesu alihitaji msaada wa Mungu. Matthew 27:46 About three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, "Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").

Wewe ndio mpinga Kristo. Umeweka mafundisho ya Yesu kapuni badala yake unawahubiria kondoo mafundisho ya Paulo.
Jitafakari nanyupu,ndugu na Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…