cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikimaliza kunywa nitarudi.![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikimaliza kunywa nitarudi.![]()
Ubarikiwe sasa itafika Nakuombea ili ukiongoka uwaimarishe na ndugu zako.Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...
Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Hata waislamu na waprotestant wanakosea sana lakini Mungu anawajua walio wake na kwa majira yake kweli za biblia zitafunuliwa wazi kwetu maana ukweli utatuweka huruSometimes Roman tunakosea sana ila haina jinsi maana hakuna mkamirifu
Kwahiyo we unapenda dhehebu gani??hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Ukikataa kuyafanya hayo unaanza kuwa mprotestant walioprotest zaman ilibidi watoke nje ya rome ndipo ukapata wana matengenezo reformers kama martin luther john huss knox calvin ambao waliyakataa mafundisho ya mapokeo traditions kama ulivyosema kwenye ukaja mwangaza wa ulaya na kwinginekomambo ya kutafsili huwa yananishinda mkuu lakini hiyo ni moja ya sehemu ya article hapo juu kuhusu msimamo wa Roman katika kupinga kuabudu zile sanamu zilizopo makanisani
" The Church does NOT compel her members to kneel or pray before images. No one is allowed by the Church to pray to images since they have no ears to hear or power to help us. The Church allows for the veneration of images as long as the honor is directed towards Christ and His saints."
Mungu awabariki sanakumbe tupo wengi aisee nilikuwa sijui kabisa mambo ya kubusu sanamu hapana ila jumapili kama kawaida church naingia.
Biblia wameanza kusoma juzijuzi kwa hiyo usimhukumu it was a mortal sin to read that holy book kwa madai kwamba askofu sijui padre ndie mwenye uwezo wa kuyafafanua ya humo.Katekesisi yako ni duni kwa viwango vya Bashite....Sidhani hata kama Biblia unayo wewe..?
Dada embu nenda kalale bana...!!!Ukikataa kuyafanya hayo unaanza kuwa mprotestant walioprotest zaman ilibidi watoke nje ya rome ndipo ukapata wana matengenezo reformers kama martin luther john huss knox calvin ambao waliyakataa mafundisho ya mapokeo traditions kama ulivyosema kwenye ukaja mwangaza wa ulaya na kwingineko
Sio wewe tu, mko wengi...hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
We mwenyewe mtupu kama yeye...Biblia wameanza kusoma juzijuzi kwa hiyo usimhukumu it was a mortal sin to read that holy book kwa madai kwamba askofu sijui padre ndie mwenye uwezo wa kuyafafanua ya humo.
Hivi mtu anaanzaje kulichukia kanisa Katoliki aliloluanzisha Yesu ...? Hawajui wanachokiongeaSio wewe tu, mko wengi...
Kanisa limejengwa juu ya mwamba imara, wala milango ya kuzimu haitalishinda...
Rejea injili ya Mathayo 16:18
Ndio nimeaka sahivi nakutana na mafundisho ya uwongo ya genge lako bwana otoronģonģo hata hivyo nakuombea ili Kwa kadri ya ufahamu wako kidogo umjue Mungu wa kweli wa Maandiko ya biblia nimekuwekea video kule umeiangalia?Dada embu nenda kalale bana...!!!
Hebu ainisha uongo huo ili tuujadili..Ndio nimeaka sahivi nakutana na mafundisho ya uwongo ya genge lako
UbarikiweWe mwenyewe mtupu kama yeye...
Umeshajipimia teyari...Jipime vizuri usijepata maruwenge kama Ellen maana inaelekea Mr. James White alikuwa atimizi wajibu wake..bibie akawa anapata njozi za kuzimu..
Kalale bana
Umeelewa alichokiandika..??Mtoa mada ana hoja dhaifu sana kutetea ibada yao ya sanamu. ni sawa na mtu anakwambia sili nyama ila nakula mchuzi tu.
Weka hoja zako vizuri..hueleweki wewe....halafu kama unani-quote..quote ionekane...Hayo ya eti ni msimamo wa kanisa kutomlazimisha mtu yoyote kushiriki sala za wafu,rozari na kula kitubio n.k
Yesu anasema. John 17:3 Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.Wewe nonda ni mpinga kristo ni wa kupuuzwa umeanza kuleta hayo mavideo na malink yako ya kishetan, zile maada ya dini yako ya kiisilamu umezikimbia umekuja huku kwenye maada za iman za kikristo
Sawa mkuu hiyo hoja ni yakoWeka hoja zako vizuri..hueleweki wewe....halafu kama unani-quote..quote ionekane...