Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Acha upimbi ww kila mtu aamin iman yake xio unatukana tu ovyo by the way roman catholic ndo chimbuko la all other related religions isipokuwa muslims tu...xo next time watch out
Umelioni hilo hapo jinga eti linachukia dhehebu lamtu"kwakuwa tayali ameona yeye nibora kuliko wengine"hakili zanamna hiyo nihazifai kubishana nazo even a singleday.
 
Watoto wa hellen g white naona mnatoka povu si kosa lenu mmekalilishwa maandiko na kumbiwa kua mkitaka waamini bs washambulieni wakatoliki tu.mbona musa alichonga sanamu ya nyoka waisrael walipoumwa na nyoka waliangalia sanamu wakapona je waliiabudu nyoka?waisrael waliongozwa na sanduku LA agano jangwani je waliabudu sanduku LA agano?hekaru kuu LA wayahadu kuna mahali panaitwa patakatifu pa patakatifu ni marufuku MTU au kuhani kuingia bila kujitakasa je wanapaabudu hapo mahali na hata wanaposali wanaangalia mashariki je no kuabudu mashariki?hakika mmeksa maarifa kwa kuchelewa kwenu kuwa kanisa mmekuta wenzenu wamechukua mazuri yt.na kuiga mnaogopa mana ni waasi.tuachieni kanisa letu takatifu katoliki LA mitume ambapi Petri alipewa na yesu mwenyewe kwa kumwambia petro wanipenda?chunga kondoo wangu.he Helleni alipewa na nani??
 
Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
Waambie wajue maana kubishana na mtu asiejua kitu,huenda hata unae elewa ukaitwa huelewi".Kwataarifa yao kama wanaamini Elim ni hitaji la kila mahali..Sisi RC hatuna padre au askofu asie na degree...
 
Katoliki maana yk mahali pote na kweli lipo mahali pote na bilioni na point 5 sasa lilianzisha na yesu mwenyewe kwa kumuachia funguo petro sasa wasabato Manisa ln ht miaka 200 hamjafikisha acheni chuki zenu.utafuteni ukweli kwa maarifa si kwa chuki na kutukana makanisa ya wenzenu.huburini kwa upendo msibague wenzenu mtapata waamini mn injili bd inatakiwa nendeni HK China Japan I Mongolia Korea kaskazini mkahubiri huko so kijifanya wahubiri mahiri humu.kanisa katoliki lilipoteza watu wengi sana wengi walijtoa maisha yao kueneza dini duniani .
 
Nina maswali mengi sana kwenye post yako hii lakini naanza na swali la kwanza....

Ni wapi Biblia imeliita kanisa la Roma kuwa ni "Babeli mkuu"?
 
Akili za kisabato hizi! Huwa mnajitahidi kuonesha kuwa ninyi ni watu safi ila mnaharibu kabisa kwenye chuki na roho mbaya kama ulivyotuonesha hapa.

Ninaishi na wasabato muda mrefu, asilimia kubwa wapo namna hii. Ukikutana na msabato asiye na chuki, roho mbaya & ubaguzi (hasa kwa wakatoliki) basi huyo hajaishika sana dini yake. Hata katika mahubiri yenu mnatumia muda mwingi kushambulia Roman Catholic, sijui ni kwanini!!!
 
Fundisho la msingi la Kanisa la Wasabato ni
Kuwashutumu Wakatoriki.
Vitabu vyao wanavyovipenda ni
Danieli
Ufunuo

Dhehebu la Kisabato lilianzishwa kwa lengo kuu la kulipinga dhehebu la Roman Cathoric

Hivyo hiyo ni Sera yao

Na sio kuhubiri Injili, jambo ambalo wanalifanya kwa shingo upande.
Lengo kuu ni kuwahukumu Waroman Katholic kuwa ni Wapinga Kristo.
Hakuna andiko kwenye biblia linalosema
Babeli Mkuu ni Roman Catholic,
ni majungu ya kujitungia

Ukisoma kwa kuelewa Kitabu Cha ufunuo wa yohana 13.
Kinaeleza wazi mpinga kristo ni nani, kimeonyesha hadi alama za wanaompinga Kristo ambazo zipo kwenya paji la uso na mkononi.

Roman Kathoric imefanya kazi kubwa sana ya kueneza Neno la Mungu Duniani.
Imefungua milango katika nchi nyingi ambazo Ukristo ulipigwa Marufuku na serikali za huko
Nchi za Cuba, Saudi Arabia, Iraq, Kuwait nk, ni baadhi tu ambazo RC ilifanikiwa kupata kibali cha kuhubiri Injili.
Kwa sasa RC inafanya kazi kubwa ili kufanikisha Korea ya Kaskazini iruhusu kuhubiriwa Injili
Utashanga RC wakifanikiwa kuishawishi Korea Kaskazini na kuruhusu huduma ya uinjilisti. Hapo utaona Wasabato wanaenda na kuanza kuwatukana Waroman Katholic huko huko Korea. sasa hivi huko hawapo wanasubiri juhudi za RC zifanikiwe

Wasabato toeni kwanza boriti katika jicho lenu halafu mkione kibanzi katika Kanisa Katoriki.

Boriti la Uzinzi, Ulevi, Kuhukumu, Uchawi, Fitina, Majungu, Wivu, na dhambi nyingine nyingi mnazofanya huku mtaani tukiwashudia kwa macho yetu mawili.
Kwani mnastahili kutubu ili muirithi nchi takatifu

Tumewachoka kila siku RC, RC,RC......

Wasabato wengine mnajiita Sabato Masalia,
Hubirini Injili ya kuacha dhambi na msamaha hasa kwa jamii zisizo amini Neno la Kristo,
kama Wabudha, Wapagani, Wahindu, Warastafari, Warusiferi, Wasiomjua Kristo Yesu nk,

kama mmeshakuwa watakatifu tutawaona kwa matendo yenu na sio kwa kuwasema Wakatoriki

Badilikeni Wasabato,
Kama hamtaki kwakuwa Nabii wenu Ellen G White aliwaachia agizo la kuwahukumu Wakatoriki basi endeleeni kumtii White badala ya Kristo Yesu.
Maana Kristo aliagiza. "Msihukumu"
"Mhubiri yale niliyowaagiza"

Naomba radhi kama nimewakwaza baadhi yenu.
 
Roman Catholic inapingwa ? Maajabu ya dunia haya! Kanisa hili ndilo linapinga ibada ya kweli ndio maana akina Padri Luther walijitoa baada ya kuona uasi umezidi, halafu leo mmejivika ngozi ya kondoo! The devil is a lier!
 
Catholic ni zaidi ya dini, ni serikali ya Dunia, manake inachopanga ndo hicho hicho wakristu wengine wanafuata, angalia Pasaka.. ipo kwenye kalenda za vitabu vya kikatoliki na ndo hiyo hiyo wanasherekea wakristu wote!
Siyo hilo tu, kuna mengi sana tena sana. Baadhi ya sera zinazotekelezwa duniani ni za RC. Ki ukweli, RC wana POWER kubwa sana duniani.
Hata kalenda inayotumika leo duniani ilianzishwa na Kanisa katoliki. Iliasisiwa na Papa Gregory ndiyo maana inaitwa GREGORIAN CALENDAR.
 
Roman Catholic inapingwa ? Maajabu ya dunia haya! Kanisa hili ndilo linapinga ibada ya kweli ndio maana akina Padri Luther walijitoa baada ya kuona uasi umezidi, halafu leo mmejivika ngozi ya kondoo! The devil is a lier!
Martin Luther alihama kanisa katoliki baada ya kutawaliwa na ROHO YA UZINZI ndiyo maana alimtorosha sister akaenda kuanzisha kanisa jingine la waoaji.
 
Nimepata mwanga sasa sababu hili swala lilikuwa linaniumiza kichwa sana
 
Wewe si mkatoliki hebu fanya yako.. huwezi kuwazidi watu waliyoyajua haya toka Enzi za yesu
wakati baba yako anazaliwa alinikuta ukatolikini. Ni mkatoliki mjinga, mpumbavu na mshenzi anayeandika "yesu" badala ya "Yesu" akimaanisha anamtaja yule Simba wa Yuda......shwain...
 
Ushahidi mkuu tafadhali maana maandiko hayajamtaja mtu wala kanisa
 
Mkuu unaweza ukaweka link au source nami niweze kupitia kwa kina
 
Ushahidi mkuu tafadhali maana maandiko hayajamtaja mtu wala kanisa
Usitegemee kukuta neno Roman Catholic Church ndani ya Biblia. Kipindi hicho hakukuwa na hayo majina. Kinachoangaliwa ni sifa za hilo kanisa,
1. Limebadiri amri za Mungu
2.Limetesa na kuua watu wa Mungu waliokataa mafundisho ya uongo
3. Limetengeneza sanamu ya mnyama ambayo ni ibada ya Jumapili kinyume na Sabato ya Mungu Jumamosi ambayo ni mhuri wa Mungu.

Kwa ufupi kanisa lenye sifa hizo hapo juu ndilo huitwa kahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…