Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Hahahaha povu la nini?? Mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa, kubatizwa na saktramenti zote nimepata ukatolikini. Hakuna wa kunitoa. Na ningetaka kuondoka ningeshaondoka... sioni sababu ya kutoka, ntabakia na msimamo wangu.

Sibusu msalaba... Period!
Tena mbao mninga uliochongwa na fundi seremala na kuipaka vainish safi kabisa.
 
Ndio maana Biblia inasema kanisa hili lililoitwa "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi".Ufunuo 17:5.
ni kanisa mama na lina watoto wanaofuata nafundisho yake.Linaitwa babeli baada ya kubadili amri za Mungu pamoja na majira rejea Daniel 7:25. " Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake aliye juu, naye ataazimu kubadili majira na sheria, nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, nyakati na nusu wakati"

Anayezungumziwa hapo ni utawala wa kipapa wa kanisa la Roman Catholic.kanisa limetesa watakatifu wa Mungu kama ilivyotabiliwa kwa siku 1260 (ufunuo 11:3: ufunuo 12:6)au miezi 42 (ufunuo 11:2), au miaka mitatu na nusu (Daniel 7:25). Hiki ndicho kipindi cha zama za giza. Biblia haikiruhusiwa kusomwa na waumini wa kawaida isipokuwa misale ya waumini ambayo tayari ilikuwa imepotishwa. Ni kipindi hiki waliibuka wana matengenezo wakiwemo Martin Luther, Jan Huss, Jerome na wengineo ambao walianza kupinga mafundisho potofu ikiwemo kutubu dhambi kwa padri na kupewa cheti cha msamaha., ibada za wafu n.k. mambo haya yaliamsha mateso kwa hawa watakatifu wa Bwana kama ilivyotabiriwa kuwa watatiwa mikononi mwa huyu mnyama, ama pembe ndogo iliyozuka katika pembe za huyu mnyama yaani Rumi ama Babeli Mkuu yule kahaba wa Ufunuo 17:5.

Haya mambo yako wazi, historia iko wazi na Biblia imetoa nuru ya kutosha kuhusu uasi wa Roman Catholic, jambo lililopelekea kuitwa "Mama wa Makahaba na machukizo ya nchi". Nawasihi turejee mafungu hayo niliyotoa kwa kupata maarifa ya kutusaidia katika wokovu wetu.
Barikiwa mtumishi
 
Usitegemee kukuta neno Roman Catholic Church ndani ya Biblia. Kipindi hicho hakukuwa na hayo majina. Kinachoangaliwa ni sifa za hilo kanisa,
1. Limebadiri amri za Mungu
2.Limetesa na kuua watu wa Mungu waliokataa mafundisho ya uongo
3. Limetengeneza sanamu ya mnyama ambayo ni ibada ya Jumapili kinyume na Sabato ya Mungu Jumamosi ambayo ni mhuri wa Mungu.

Kwa ufupi kanisa lenye sifa hizo hapo juu ndilo huitwa kahaba.
Asante kwa kunielewesha ila hili swala la kuua watu nimelisikia sana japo kila nikiuliza hao watu waliouwawa ni kinanani na wamekosea nini huwa sipati majibu unaweza kunisaidia na taarifa hizo pia mkuu
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Wewe ni kivuli cha imani yangu. Nilisoma kuwa padri na ibaada ya ijumaa kuu, sakramenti ya kitubio ni baadhi ya mambo ambayo mpaka sasa zaidi ya miaka 25 kuacha useminari - sijaelewa kwanini yanafanyika. Hata hivo, ukatoliki ulioa afrika ni tofauti sana na ulio ulaya na marekani. Huko hawana masanamu bali mosaics za kioo na hawana sanamu. Hata hivo mimi bado ni mkatoliki. Ninaamini katika matendo na imani. Si katika madhehebu!!
 
Kwa mie naejua kusoma kiswahili tu sijafaidika na mada jitahidi utumie kiswahili kwa faida ya wengi!!
 
Kujipa moyo tu. Haina maana kbs kusema ipo lakini haimaanishi kuabudiwa. Sasa ya nin mle ndani?!! Kubusu,kupiga ishara ya msalaba huku unaiangalia sanamu au picha nini maana yeke km sio kuabudu?! Heshima,mazoea,taratibu?!!
Mambo ya imani yana mengi ya kuhoji ila majibu yapo kwenye biblia
Hakuna kijipa moyo huo ndio ukweli usiotaka kusikia kwasababu umeishalishwa sumu.
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Uliyakuta utakufa utayaacha nachuki zako utakufa nazo hujui hata ekaristi nini?
 
Ni bora kuabudu sanamu zinazoonekana, kuelezeka na kuyumkinika kuliko Mungu asiyeonekana, kuelezeka wala kuyumkinika.
 
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
Musa aliambiwa tengeneza nyoka wa shaba kaambiwa na nani? Soma kwa uelewa huwezi kuabudu kwa kuangalia, au nawewe unamwabudu mchungaji kwakuwa anakuwa mbele yako.?
 
Hivi kwa mstari huo ndio wanataka kuwaaminisha watu kwamba wanalo lifanya ni la Kibiblia? Nina amini viongozi wa RC ni wasomi sana kulinganisha na madhehebu mengi ya Kikristo; that scripture was the image or sign of Jesus Christ who was coming, baada ya ujio wa Yesu hilo jambo la nini tena? Well, hivi baada ya kuusoma huo mstari (kwa wasio jua Biblia, tukio hilo lilifanyika wakati wana Israel wapo njiani kutoka Misri kwenda hapo walipo leo, yaani Kaanani) ndio unaweza kuja na coclusion ya namna hiyo kweli? Je Wana Israel baada ya kufika Israel kwenye majengo yao ya Ibada walikua na kitu/vitu vya namna hiyo kweli? If yes the Roman Cathoric they are right from what they are doing but if the answer is NO then where are they getting from????
Wasikwepe, hapo hua wanaa budu sanamu na sio vinginevyo. Vitu kama Rozari (ni kama tasbihi tu kwa Waislamau) na hayo manembo ya sijui MAriamu, PEtrol au hata Yesu mwenyewe, ni masanamu tu kama mengine. HAyawezi kutakaswa tu kwasababu eti yapo kanisani.
Mbona jaziba? Unaambiwa kuwa kilichokatazwa ni kuabudu sanamu sio kutengeneza kama unavyoamini wewe. 2Sanduku la agano nini? Makerubi nini?
 
Mimi ni mkatoliki nisiyeunga mkono uwepo wa masanamu kanisani... Na ijumaa kuu huwa sijiangaishi kubusu msalaba. Sisali rozari kwakuwa naamini bikira Maria hawezi kusikia sala zangu...

Ntabakia mkatoliki kwa msimamo wangu.
Unajichanganya.
 
Wewe ni kivuli cha imani yangu. Nilisoma kuwa padri na ibaada ya ijumaa kuu, sakramenti ya kitubio ni baadhi ya mambo ambayo mpaka sasa zaidi ya miaka 25 kuacha useminari - sijaelewa kwanini yanafanyika. Hata hivo, ukatoliki ulioa afrika ni tofauti sana na ulio ulaya na marekani. Huko hawana masanamu bali mosaics za kioo na hawana sanamu. Hata hivo mimi bado ni mkatoliki. Ninaamini katika matendo na imani. Si katika madhehebu!!
Mimi nimezaliwa mkatoliki kwa maana wazazi wangu wote wawili ni Wakatoliki,nikalelewa kwa mafundisho ya kikatoliki kanisani catekisimu nikapata kipaimara ....nilivyokuja kusoma huku n'gambo nikakuta bible knowledge kama somo la ziada.. . Nikasoma bible kuanzia genesis mpaka revelation.....nikakutana na Wataalamu wa bible....anyway baada ya kumaliza kozi...ninaona aibu kuingia kanisa la roma nafsi inanisuta....mpaka Leo hii mtu akiniita mkatoliki naona amenitukana...naamini bible na yesu kristu utatu mtakatifu....naomba wakatoliki wasome bible na sio kusubiri wasomewe mistari michache na padri siku ya jumapili...ukatoliki hauendani ma maandiko matakatifu....
 
Mimi nimezaliwa mkatoliki kwa maana wazazi wangu wote wawili ni Wakatoliki,nikalelewa kwa mafundisho ya kikatoliki kanisani catekisimu nikapata kipaimara ....nilivyokuja kusoma huku n'gambo nikakuta bible knowledge kama somo la ziada.. . Nikasoma bible kuanzia genesis mpaka revelation.....nikakutana na Wataalamu wa bible....anyway baada ya kumaliza kozi...ninaona aibu kuingia kanisa la roma nafsi inanisuta....mpaka Leo hii mtu akiniita mkatoliki naona ameitukana...naamini bible na yesu kristu utatu mtakatifu....naomba wakatoliki wasome bible na sio kusubiri wasomewe mistari michache na padri siku ya jumapili...ukatoliki hauendani ma maandiko matakatifu....
Tukutane mbinguni.
 
pope-francis-sits-silently-trance-like-state-before-virgin-mary-guadalupe-mexico-catholic-church-nteb-01.jpg
 
Back
Top Bottom