Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Swala siyo kuabudu,ukisoma biblia Kutoka 20:1-4 Neni la Mungu linasema usijifanyie ya kuchonga....JE RC WANAJIFANYIA SANAMU ZA KUCHONGA AU HAWAFANYI? na kama wanafanya hapo wamemtii Mungu au wamwmpuuza? Vilevile ameagiza kuwa tusivisujudie wala kuvitumikia, NAKUULIZA TENA JE UNAPOTENGENEZA SANAMU YAKO UKAIBEBA BEGANI AU KWENYE GARI HAPO UNAFANYA KITU GANI KAMA SIYO KUTUMIKA
,UNAPOPIGA MAGOTI NA KUUBUSU MSALABA KUNA TOFAUTI GANI NA KUSUJUDU?.. Mungu Anasrma kuwa Yeye ni Mungu Mwenye wivu.kuwa atawapatiliza wana mahovu ya baba zao,hata kizazi cha tatu na cha NNE cha wamchukiao na anawarehemu maelfu elfu wampendao na kuzishika amri zake.
KWA HAKLI YA KAWAIDA TU JE RC WANAZISHIKA AMRI ZA MUNGU? JIBU NI HAPANA. WATU WATAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA NA KUFUATA MKUMBO TU.
 
Ufunuo 5:8 majibu yapo..
Hiyo aya inazungumzia viumbe wenye uhai wanne na wazee ishirini na nne wakisujudi mbele ya mwanakondoo wakiwa na vinubi ambavyo ni maombi ya watakatifu. Haina uhusiano na kumuomba Maria wala ibada ya wafu. Hao viumbe wana uhai sio wafu
 
Bikira Maria ni Mtakatifu....Watakatifu wanakazi moja tu, kutuombea
 
Bikira Maria ni Mtakatifu....Watakatifu wanakazi moja tu, kutuombea
Watakatifu ni wale wanaomwamini Yesu na kufuata mafundisho yake. Ikiwa watakufa bado majina yao yako kitabu cha uzima, kwa hiyo tumaini la kuishi milele bado lipo kupitia ufufuo siku za mwisho. Kwa hiyo neno mtakatifu halisubiri ufe ndipo uitwe mtakatifu. Kumbuka mitume walikuwa wakiitana watakatifu ama saints kipindi wako hai.
 
So whats the problem...? Wakristo tunaamini maisha baada ya kufo..wapinga kristo hawaani maaisha baada ya kifo...
 
So whats the problem...? Wakristo tunaamini maisha baada ya kufo..wapinga kristo hawaani maaisha baada ya kifo...
Hapo lengo lako haliko wazi. Yeyote anayeamini kuwa Kristo alikuja katika mwili akafa na kufufuka ili awakomboe wadhambi huyo ndiye mkristo. Mkristo huamini kuwa hata akifa, Yesu atamfufua kwa uzima wa milele siku ya mwisho.
 
Na Mkristo anaamini baada ya kifo(Soon) kuna maisha mengine....kama huamini wewe si Mkristo
 
huyu jamaa ananyanyua kombe LA dunia halafu nimlevi sana huyu shame to her
Hivi kinchowasumbua nini kitu gani kuhusu wakatoliki? Si mliona Halifai mkatoka, nani amewaambia mrudi, nani amewafuata huko? Jengeni kanisa lenu. Tafuteni watu wasio mjua kristo wafundishe kuhusu Kristo uwabatize uwafanye wasabato kwa jinsi unavyoamini. Unasumbuka nini na wakatoliki? Tatizo haujiamini. Mlizani mtakapojitoa katoliki litakufa. Ndoto za mchana. Kanisa katoliki limejengwa na Kristo Chini ya Mwamba imara Petro.
 
Roman Catholic inapingwa ? Maajabu ya dunia haya! Kanisa hili ndilo linapinga ibada ya kweli ndio maana akina Padri Luther walijitoa baada ya kuona uasi umezidi, halafu leo mmejivika ngozi ya kondoo! The devil is a lier!
Yes, the devil is lire. Nawe ni malaika wake. Mnajitahidi kuupotosha ukweli huku mkisema kanisa katoliki ni ovu. Jichunguzeni sana, shetani amewateka. Kristi alisema vyema juu yenu, aliposema watakuja wengi kwa jina langu, wataenda miujiza lakini sio wangu, jihadharini nao kwakuwa wanatoka kwa yule mwovu. Nani alikuambia Padre Martin Luther alikuwa sahihi? Kuwa na mtazamo na maoni tofauti na main stream hakumfanyi mtu kuwa sahihi. No mwasi tu kama hellen white na wenzake.
 
Kwa sababu ukatoliki ni mali ya babu yako?
Wewe si mkatoliki kwakuwa hujui kitu chochote kihusu ukatoliki. Kama unakukera, sasa unafanya nini humo? Sioundoke ukajiunge na wasabato unaowaamini? Au unadhani kwa kungangania kwako utalibadilisha?
 
Back
Top Bottom