Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Dini zimeingiza wengi kuzimu na zinazidi kupeleka wengi kuzimu.Kutokusoma Biblia kumakuwa ni tatizo la wengi matokeo yake mmetengnezewa vijitabu vingine kwani mkiachwa msome Biblia mtaujua ukweli.Huu ushabiki wa dini bila kuchunguza utakupeleka Jehanamu ,unaweza zania unaiponya nafsi yako kumbe unaiangamiza.
Yesu alikuwa wazi kwa habari ya hizi dini alisema "mtawatambua kwa matunda yao".Leo anngalia wafuasi wa hizo zinazosemwa ni dini za Mungu,tabia zao zikoje na je maisha yao katika jamii yakoje?
Huko disco wanaoenda ni wapagani?Je vilabuni?Vipi fiesta nako wote ni wapagani?
Umekaa kwenye dini yako miaka kibao lakini haijakusaidia hata kuishinda dhambi ya kusema uongo.
Muda wa kujilisha upepo umeisha,wengi mnatetea dini zenu kwa sababu hazijawabana na wala haziwakemei kwa habari ya dhambi.Time will tell,kweli mtu unashindwa kujua dini yako ulaya wanafanya nini?na wakileta hayo mambo na huku africa utapona?Mwenye masikio na asikie.Hatuingii mbinguni kwa sababu ya dini,mbinguni vinaingia vilivyo vitakatifu.
Sasa naanza kumwelewe yule mtumishi aliyekutwa amelewa alisema "mambo mengine inategemea kanisa wamekubalianaje" akimanisha kanisa fulani wanaweza kukubaliana jambo fulani si dhambi ingawa kwa kanisa jingine ni dhambi.Hapo inaonyesha Mungu hana nafasi bali ni makubaliano ya wanadamu,wengine wamekubaliana kunywa pombe kidogo si dhambi.
Wana waupotevu sometime wanachekesha utawasikia "mimi nikinywa bia yangu,sijamtukana mtu naenda nyumbani nalala kwani nitakuwa nimetenda dhambi".Jameni tutumie akilizetu haya mwanamke mzinzi naye atasema "mimi nikizini,nikajisafisha nikarudi kwa mme wangu nikampatia haki yake,kwa sababu sijamtukana mtu wala kumwumiza nitakuwa nimefanya dhambi?".
Soma biblia,soma biblia,soma biblia kila siku.
 
Jameni tutumie akilizetu haya mwanamke mzinzi naye atasema "mimi nikizini,nikajisafisha nikarudi kwa mme
Uzinzi na Ulevi zote ni dhambi..

Unafahamu tofauti ya kunywa pombe na kulewa pombe..?7
 
Ile Biblia yenu inayo mkufuru Roho Mtakatifu kwa kusema Utatu ni (Polytheism) imeshafika huku tz..?
Mmeona kila propaganda chafu mnazotunga zinagonga mwamba sasa mnajianika na uongo mwingine. Shetani ameshindwa kwa damu ya Yesu.
 
IMG_5178.JPG
 
Hizi biashara za dini zina lipa sana!
Hongera sana kwa kushika maagizo ya mungu wako anae agiza kuchukia wengine,ila ss wakatoliki MUNGU wetu anatuagiza kuwapenda hata wanaojiinua kuwa adui zetu
hakuna dhehebu nnalolichukia kama waroma...na hayo madude wanayaabudu na kwenda kinyume na amri za Mungu.
imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kitu chochote kilicho mfano mbinguni,baharini,nchi kavu etc...na kukiabudu.
lakini hawa ndo kwanza ukiingia unakuta kila kona wamechonga masanamu ya maria mtakatifu...masanamu ya yesu..hivi mliwah kuwaona? nyie ndo kwanza mmekazana na rozari mnabusu na zina sanamu ya yesu..ni wazima nyie?
mnachefua.
 
Hivi unajia pia wewe ni sanamu kwa mujibu wa biblia?
 
Hivi ufunuo inasemaje kuhusu watakatifu? Naomba mwongozo
 
Hivi ufunuo inasemaje kuhusu watakatifu? Naomba mwongozo
Ufunuo 5:8
Ufunuo wa Yohana 5:8
Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu.
 
Wasabato na kuingilia mambo ya Kiristo wapi na wapi..?

Unataka kuwa Mkristo...?
Yesu ni Mungu na ndiye Mwakozi wetu. Mungu ni mmoja katika Utatu Mtakatifu. Blessed Trinity. Shetani na wakala qake roman catholic wamwshindwa. Wametunga uongo wa kila namna kuchafua Kanisa la Mungu lakini wanazidi kishindwa.
 
1. Wasabato siyo Wkristo...ni cult
2. Wasabato wanapinga Utatu Mtakatifu(Biblia yao inaita Utatu Mt kama Polystheisism)
3. Wasabato wanapinga ufufuko...Wanasema Yesu hakufufuka ila alitorokea patakatifu anafanya Hukumu ya Upelelezi
4. Wasabato wameungana na ndugu zao Waislam kuhakikisha wanaumaliza Ukristo(Hakika mmeshashindwa na juhudi zenu...wana wa Ibilisi yule mwovu)
 
Yesu ni Mungu na ndiye Mwakozi wetu. Mungu ni mmoja katika Utatu Mtakatifu.
Kwataarifa yako mwokozi wenu ni Nabii Mke Ellen Gould White...

Wasabato mna Mungu nyie...? Mungu gani. ? Labda Hiram Edson na John Snow na EGW(Polytheisism)
 
Yesu ni Mungu na ndiye Mwakozi wetu. Mungu ni mmoja katika Utatu Mtakatifu. Blessed Trinity. Shetani na wakala qake roman catholic wamwshindwa. Wametunga uongo wa kila namna kuchafua Kanisa la Mungu lakini wanazidi kishindwa.

Inna lillahi waina lillahi rajiun

upload_2017-5-17_20-9-58.png

upload_2017-5-17_20-10-26.png

upload_2017-5-17_20-10-59.png
 
Back
Top Bottom