Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Sometimes hata papa naona hana lolote kwenye imani yangu mm Bible ndio mwisho wa kila kitu papa uongozi wake misho Vatican sio kwangu
Umekombolewa Hakika wakatoliki wengi hawasomi Biblia hawawezi jua nini hasa Mungu anatutaka tutende!
Kweli itakuweka huru
 
Shikamoo kaka! Ubarikiwe muhimu katika maisha ni kujua Neno linakutaka ufanye nini sio mapokeo ya madhehebu!

Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo halafu kusoma Biblia hawasomi ukitaka kuamini angalia wakatoliki wangapi wanaenda na Biblia kanisani wachache hadi unajiuliza wanaenda kufanya nini ?

Tusome Biblia mana ndiye Mungu mwenyewe.
Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.
 
Ukitaka kuwakimbiza wakatoliki kwenye jukwaa hili waambie wasome Biblia, mtagombana hadi kesho. Ila waambie kubusu sanamu, kusali rozari na sanamu ya bikra maria hapo utakuwa rafiki.
Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?

Unataka kuwa Mkristo...Naona unaranda randa tuuu...
Mimi nipo
 
Wakatoliki gani labda unaowaongelea...?

Unataka kuwa Mkristo...Naona unaranda randa tuuu...
Mimi nipo
Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?
 
Tatizo la wakatoliki wengi wameshika sana mapokeo
Pole sana...msome St. Paul hapa..

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
 
Hakuna anayetaka kukutoa kwenye ukatoliki.....!ila acha kupotosha wakatoliki eti kwamba huungi mkono uwepo wa msalaba kanisani na kuhusiana na Maria....!

Tena nadiriki kusema wewe ni mchanga sana kwenye maandiko

Your really pointless guy never happened under the sun.......!

Ukiulizwa kwann unapingana msalaba kanisani au kwann kuna uwepo wa msalaba kanisani.....?utasemaje.....?

Wewe kama unaona kanisa liko kinyume rukusa kwenda kuanzisha kikundi chako kama vikundi vingine vilivyoanzishwa

Ni vigumu kulitoa Kanisa Katoliki kwenye mood yake kwa pointless kama hizi....
Weka mistari ya Biblia acha blaahblaah
 
Wimbo hauna mwitikiaji huo badilisha tune. Ibada ya sanamu India taxes labda shetani ndo anaikubali upo hapo?
Inashangaza sana kwa mtu asiye Mkristo mda wote yeye ni kurandaranda kwenye mijadala ya Kikiristo..

Maadam upo nitaendelea kukuuliza iwapo unataka kuingia Kundini....ila Kuwa..

Wasabato hamuamini Utatu Mtakatifu...itawapasa muamini..
Wasabato mnapinga Ufufuko..itawapasa muamini kuwa Yesu ni Mungu.
Wasabato hamuamini Yesu kuwa ni Mungu itawapasa Mkiri kuwa Yesu ni Mungu..

Upo hapo
 
Mie ni Mkatoliki pure kabisa yaani kindakindaki,kinachonifariji ktk maisha yangu ya kiimani ni kwamba sijawahi kumuonea mtu kijicho au kuona kama anachoabudu anakosea as long as ndivyo alivyofundishwa na kuamini na mie sicho nilichofundishwa so ni chaguo lake na pia mara nyingi nimekuwa nikijiongeza kwamba Mungu pekee ndiye anayejua huyu yupo sahihi kuniabudu yule anakosea kuniabudu hivyo mimi ninani hadi niseme fulani hajui kuabudu?Ishu kwamba Catholics tunaabudu sanamu inaangukia ktk kauli yangu hapo juu,kwamba wanaopinga hawakufundishwa hivyo wamefundishwa kwa iman zao/laa kuna Mkatoliki mmoja alikengeuka basi hakuiva kiimani ndani ya Kanisa.mimi siabudu sanamu,hakuna Mkatoliki anayeabudu sanamu.Mkatoliki anaposali ile wewe unayoita sanamu yeye pale msalabani kwa jicho la rohoni anauona mwili wa mtu ukidondosha damu kabisa... hili ni vigumu sana kueleweka kwa wasio Wakatoliki na wataishia kutaka kubishana tu hapa.ieleweke vyema...Bible imekataza kuabudu masanamu,itakuwa ajabu kama watu zaidi ya bill1 wote wakaacha maneno Matakatifu ya Mungu wakawa vichaa kuabudu kitu kisichofaa ila kwa7bu wanaelewa wanachokiamini nadhani wangeachwa tu so tuachwe tukajuane na aliyetuumba na kutupa matashi.[HASHTAG]#nitaishi[/HASHTAG] Ukatoliki,nitakufa Mkatoliki,Mungu akipenda nitazikwa Kikatoliki.Ahsanteni.
Kweli Mungu azidi kutufungua unaonekana kujisifia kuwa mkatoliki wakati wenzako wanajisifia kwa sababu majina yao yameandikwa kwenye kitabu cha Uzima! Looh

Ukitaka umjue Mungu usimwekee mipaka sijui mie mkatoliki blah blah Nyingi Mara nitazikwa kikatoliki yafaa nini? Muhimu ni kuruhusu roho Wa Mungu atufundishe na kutuongoza jinsi ya kumcha hata tukifa Neema iwe mbele yetu sio kujisifu kwa kubeba mapokeo ya kikanisa.

Tatizo wakatoliki wengi ni wavivu kusoma Biblia unakuta mtu anaenda kanisani hata Bible hana unawaza kanisani haendi nayo? Je hata nyumbani anaweza hata kukumbuka kujisomea Biblia?

Ndo mana tunang'ang'ania mapokeo ya madhehebu mana hatuijui kweli ipatikanayo katika Biblia mana hatusomi Biblia.
 
Wakatoliki msijiangaishe kupoteza muda na hawa wasabato maana akili zao kama waislam, ata umueleze vipi hawazi kukuelewa kwa sababu ya chuki binafsi,, pili walishajiandaa kisaikolojia kubishi tu,

Kama kua msabato ndo kwenda mbinguni basi, wengi tunapoteza muda, kuwepo hapa duniani,, dini yenyewe imeanzishwa na tapeli la kike.
 
Inashangaza sana kwa mtu asiye Mkristo mda wote yeye ni kurandaranda kwenye mijadala ya Kikiristo..

Maadam upo nitaendelea kukuuliza iwapo unataka kuingia Kundini....ila Kuwa..

Wasabato hamuamini Utatu Mtakatifu...itawapasa muamini..
Wasabato mnapinga Ufufuko..itawapasa muamini kuwa Yesu ni Mungu.
Wasabato hamuamini Yesu kuwa ni Mungu itawapasa Mkiri kuwa Yesu ni Mungu..

Upo hapo
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
 
Wakatoliki msijiangaishe kupoteza muda na hawa wasabato maana akili zao kama waislam, ata umueleze vipi hawazi kukuelewa kwa sababu ya chuki binafsi,, pili walishajiandaa kisaikolojia kubishi tu,

Kama kua msabato ndo kwenda mbinguni basi, wengi tunapoteza muda, kuwepo hapa duniani,, dini yenyewe imeanzishwa na tapeli la kike.
Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
 
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
Yote hayo yanapatikana kwenye Biblia ya Kisabato Clear Word Bible...

Kasome kitabu cha Nabii Mke Ellen G White kiitwa 'Investigative Judgement' uone jinsi Nabii Mke Ellen G White alivyopinga Ufufuko wa Yesu...
 
Back
Top Bottom